Tajiri Temba Watch amchapa risasi kijana huko Kilimanjaro

Sasa kama bwana Temba alikuwa na ugomvi na mkewe huyo kijana alikuwa na maslahi gani!?

labda ana ukaribu na bwana Temba, na alifanya kwa nia njema tu. Bwana Temba kama yuko mikono salama ni jambo la kushukuru.
Ulimbukeni wa wachaga wengi wanaomiliki silaha umepitiliza. Wanajionaga kama ni untouchables....
 
Dogo aache kula mke wa tajili.

Tajili apokonywe silaha.

Mke awe muaminifu kwenye ndoa yake.

Polis waache rushwa. Wampokonye silaha tajili na watekeleze majukumu Yao ipasavyo.

Kesi crosed
 
Hata mimi nimejiuliza hivyo! Mzee unayakumbuka mabasi ya kambaita kwa ajili ya kuchukua wafanyakazi wake
  • Nayakumbuka sana hayo mabasi na ofizi yao ilikuwa jirani kampuni ya PENFOLD
  • Temba watch mwenyewe nimesikis ni yule yule wa zamani aliyekuwa na duka la saa downtown. Kama ni yule yule basi atakuwa sasa hivi ni mzee sana. Sasa sijui wivu wa mapenzi unatoka wapi mpaka kumchapa mtu risasi kwa mtu ambaye sasa hivi atakuwa anaitwa babu au alikuja kuoa dogo dogo?
 
amekupiga risasi ya bega, ukafanikiwa kumpokonya silaha, halafu ukaipeleka polisi. we mpumbavu nini? kwanini usimtwange risadi za kutosha, akafie mbali?
Mpe heshima dogo kaonesha hekima na pia ustahimilivu wa kiwango cha juu ,kiasi kuwa napata mashaka kusema kuwa huyo dogo ni raia
 
Huyo dawa yake ni kumpeleka segerea akaliwe KIBOGA!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…