wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Na watawaoa wanaume wa Dar wote.mchagga ni hatari sana kuishi nae na bado hawaja shika dola je chadema ikishika dola huyo prima mushi atazurumu kariakoo yote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na watawaoa wanaume wa Dar wote.mchagga ni hatari sana kuishi nae na bado hawaja shika dola je chadema ikishika dola huyo prima mushi atazurumu kariakoo yote
WE KAMA UNACHUA NI HELA YA KICHAWI KIHEREHERE GANI KINAKUPEKA KUKOPA. KAA NA UMASKINI WAKO. LAKINI HATA HIVYO HELA KWA WAJINGA NI KAMA UCHAWI MAANA WANAWEHUKA ILA IKIISHA NDO AKILI INAKAA SAWAKuna wakopeshaji wengine wachawi huwa wanaloga mkopaji ili asiweze kulipa wachukue mali zake
Huku waswahili wao wakionyeshana mahali kigodoro kinapoenda kufanyika.mkuu lampard eletronics ni mtoto wa 90
bravo eletronics ni wa 80 mwishon mkuu hawa wapo kwenye vyama hivyo wanakopeshana mitaji na kuonyeshana viwanda huko china
wachagga hawana mkuu kwani wewe hujui mbasaaHuku waswahili wao wakionyeshana mahali kigodoro kinapoenda kufanyika.
magufuli mkuu alimweka lupango wkt wa jiwe alikuwa mpole kama nnPrimo Mushy ni Mfanya biashara anaetumia akili na ushauri mzuri wa kitaalamu ikiwemo wanasheria. Hawezi fanya ujinga na ndio maana hata kichaa wa kisukuma mwendazake hakumgusa. Acha uchawi mleta mada. Akili maskini huzaa umaskini.
Duina yote ndio iko hivyo..bila njia hizo huwezi kupata mali..utaendelea kutia huruma huku wenzako wakifurahia maisha.Mimi nmekuelewa mkuu asielewa atakua ni mbwa amekaa paaale[emoji1485]
Endelea kujifariji..Siku zetu za kuishi ni miaka 70 ikizidi 80,mtu unaiba manyumba ya watu,kana kwamba utaishi nayo milele,mbaya zaidi hata ukija yaacha Kwa laana iliyopo huja kupotea tu Kwa jinsi yoyote,kizazi chako hugeuka cha walevi,Malaya na mabaya yote mwishowe Mali na nyie wote mnaangamia and the all wealth turn O. This is within 60 coming years.
biashara ya eletronics k/koo wameidominate hawataki kabila lingine kabisa na ukingia wanakufanyia vitina unavilisikaYaani hii ni dhulma.
Kuna watu washenzi sana.
Mtaa ukiitwa Kibosho inakukera Nini?alikuwepo kuringe, morio na macha ndio wachagga wamenunua nyumba nyingi kariakoo na kujengesha kwa mikataba ya kitapeli wazair simba wa viwanda na biashara katuita wazawa k/koo diamond jublee kututaka tusiuze nyumba zetu lkn ndugu zangu wazaromo hawakusikia sasa kuna mitaa inaitwa kibosho kariakoo
Wazaramo na wamanyema miaka nenda rudi si walikuwa na majumbaUkweli uko wazi Mchaga kwenye pesa ana akili kuliko kawaida.
Na ndo kabila lenye kuzagaa nchini na nje ya nchi katika tamaduni za kibiashara.
Tofauti kabisa na Wazaramo na Makabila Mengine.
Penye ukweli tuseme.
Biashara ya kukopesha Tanzania ni kufilisika.Safi umegonga msumari wa moyo
mkuu lampard eletronics ni mtoto wa 90
bravo eletronics ni wa 80 mwishon mkuu hawa wapo kwenye vyama hivyo wanakopeshana mitaji na kuonyeshana viwanda huko china
Mnyonge unamiliki ghorofa floor 7?hivi unawajua wanyonge WEWE?TAJIRI WA KARIAKOO AJULIKANAYE KAMA PRIMI MUSHI KUNUNUA NA KUTAPELI NYUMBA ZA WATU K/KOO NA MAENEO MENGINE NCHIN YUKO NYUMA YA NAN?
Wanabodi kama uzi ulivyokaa hapo juu huyu ni mfanyabiashara wa vitengee karikoo lkn speed yake ya kuwafua watu nyumba K/Koo inatisha yuko nyuma ya nani ?
Kwasasa anamiliki zaidi ghorofa 10 Karikoo na nyumba za chini za kumwaga hapa miezi miwili iliyopita Maulid Kitenge alirusha habar mzee mmoja wa K/Koo akilalamika kutapeliwa ghorofa yenye floor 7 mtaa wa Nyamwezi na Narungombe je ni haki mtu kuchukua ghorofa K/Koo kwa deni la billion 1 je, Mushi yuko juu ya sheria?
Je, nyumba alochukua Kipata na Congo ni haki embu jamani tuangalie sisi wanyonge twende wapi
Kina mwengine tena somebody kuringe nae naskia ni hivyo hivuo,,
Yaani wabangladesh sijui kwanini ni wezi weziiiii
Upo hapa unaimba ”WEZI TU WEZI TU” kwanini usiende kuwakamata au kutoa arifa wakakamatwa?au na wewe ukaibe uwe tajiri kama wao?Wezi tu, matajiri wengi wezi tu
Kwa nini asiiuze sasa akapata hizo bilioni 14 ili alipe deni la watu?huwez kuchukua nyuma yenye zaid ya dhamani billion 14 kwa billion moja huyu jamaa kapewa stop order na mahakama lkn kadharau na wanaolalamika ni wengi kutapeliwa na huyu jamaa
Hahaha muache mama yangu sinyaa mama kubwaaa... mamangu amepinda yulee pooh mbaka...Pole LDA company...and Associate....
..Mna Bahati sana kukutana na Primi..angalau ana utu
..Mngekutana na Tumbo (najua unajua naongea nn) mngejuta
..Mna bahati pia Macha (Hans) amefilisika
..uombe MUNGU sana na kuringe (Masai) kahamia moshi ila kanunua corner bar na unaiona ilivyo...
Ushukuru Mzee Asenga MUNGU Alimchukua (wa King Palace)
Na Ole wenu Mzee Kacheli wa Mti Mmoja angekuwepo
Wewe na wenzio hamuwajui wakibosho....hawa kina primi na kina Kiria ni kizazi cha kistaarabu mno...
Ungekutana na kina mzee Kidumbuyo mallya ungejinyonga...
Hawa kina Beda kileo wanawachekea mnakaa kwa uhuru...
LDA... wewe na mzee wako mngekua mmetangulia mbele za haki...nenda muulize gharib na kaka yake said watakueleza huyo Alex Massawe na msofe Hapo kariakoo walinyanyua mkono...bro...
Unawajua G7? Je unawajua KuDa?
Je ukikutana na kina mama wakina sinyaa wa vipodozi we si utawehuka...
Makoi wa mwika je...wanalipa hela ya clearing na tax 2b kama wanacheza...
Bro hiyo ni premier league....
Lala upumzike mpeni primi 1.7 b mpewe mali yenu,kuna mfipa mmoja pale karibu na city style sinza alirudisha hela akarudishiwa ghorofa lake bro...primi ana nyumba hapa dar hazipungui 250 pale mwenge ghorofa ni lake mikocheni ana ghorofa kama nane....
Bado mna bahati sana...pambaneni nyumba za benki hazina lawama benki zinawaita wenyewe..sijui kwann hakwenda na Tumbo swahiba wake...mngenyooka...pole sana mkuu
Wewe ni failure... problem is you.alikuwepo jamaa anaitwa kuringe alipoingia magufuli alikimbia kwenda moshi ndio mwenye red stones club huyu p mushi wkt wa magufuli alikuwa kimya alipokufa anapandisha n=magorofa kama matatu kwa pamoja jiwe alikuwa yuko sahihi kuwachukia hawa jamaa
Kuna ambae hatafuti mali?Hivi hizi Mali wakifa wanaenda nazo au?!!!