Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Wala urojo wameingiaje?Acha mambo zako.... Wewe kabila lako ni lipi kwanza tujue...hezakaw ni walewale wala urojo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala urojo wameingiaje?Acha mambo zako.... Wewe kabila lako ni lipi kwanza tujue...hezakaw ni walewale wala urojo
TAJIRI WA KARIAKOO AJULIKANAYE KAMA PRIMI MUSHI KUNUNUA NA KUTAPELI NYUMBA ZA WATU K/KOO NA MAENEO MENGINE NCHIN YUKO NYUMA YA NAN?
Wanabodi kama uzi ulivyokaa hapo juu huyu ni mfanyabiashara wa vitengee karikoo lkn speed yake ya kuwafua watu nyumba K/Koo inatisha yuko nyuma ya nani ?
Kwasasa anamiliki zaidi ghorofa 10 Karikoo na nyumba za chini za kumwaga hapa miezi miwili iliyopita Maulid Kitenge alirusha habar mzee mmoja wa K/Koo akilalamika kutapeliwa ghorofa yenye floor 7 mtaa wa Nyamwezi na Narungombe je ni haki mtu kuchukua ghorofa K/Koo kwa deni la billion 1 je, Mushi yuko juu ya sheria?
Je, nyumba alochukua Kipata na Congo ni haki embu jamani tuangalie sisi wanyonge twende wapi
Siku zetu za kuishi ni miaka 70 ikizidi 80,mtu unaiba manyumba ya watu,kana kwamba utaishi nayo milele,mbaya zaidi hata ukija yaacha Kwa laana iliyopo huja kupotea tu Kwa jinsi yoyote,kizazi chako hugeuka cha walevi,Malaya na mabaya yote mwishowe Mali na nyie wote mnaangamia and the all wealth turn O. This is within 60 coming years.
HIVI NYIE WASWAHILI HAPO KKOvituo vyote vya polis k/koo wanapinga ndangi wao na posho za mafuta
Bhac hiyo 1billion uilipe bhac km unaona ni ndogohuwez kuchukua nyuma yenye zaid ya dhamani billion 14 kwa billion moja huyu jamaa kapewa stop order na mahakama lkn kadharau na wanaolalamika ni wengi kutapeliwa na huyu jamaa
Mama Kilimanjaro hakuna waganga kule kama Sumbawanga na KigomaWachaga wamekuwa wachawi sana sana
Sio umasikini,mawazo makubwa ambayo tafakari yake huwezi kuwa nayo katu katu katu, Abadan.hivi unajua mwaka 1850 kulikuwa na watu kama wewe wengi tu,wakifanya shughuli zao,kula kunywa,kucheza mziki na vyote.wakikaa kwenye majumba makubwa Kwa wakati huo waliyaona ndiyo ya kisasa, Generation changes bro,hicho ukionacho kizuri baada ya few days kitakuwa hakifai tena..Haya ni mawazo ya kimasikini.
Sasa mkopeshaji haonekani na unataka kumlipa deni lake kosa hapo linakuwa ni la nanSiku ukikopa halafu ukaweka bondi nyumba, halafu ukapata pesa ya deni lakini kila ukitafuta mhusika umlipe deni lake humuoni ndio utajua maana ya huu uchokonwa dawa ya deni in kulipa wakati huo umeshapoteza nyumba.
Duhhhhhhhh.... balaaUkiweza kuishi Kariakoo na hela zao za Moto unaishi popote hapo wale wafanyabiashara wadogo wengi wamepotea na nyumba zao wale wakubwa wamebaki kuwa matajiri hapo walikuwepo wanaopiga hesabu kwenye calculator wakipewa hela wanakimbia wakachukue kipodozi,Chocolate,Pombe au Apple SA ni biashara ya haraka sana ikifika sokoni tena walikua wanapewa hela za 40ft leo hawapo wale jamaa wamewapoteza wengine biashara ya kipodozi cha Drc Kongo wakiona mteja anaweza kulipa riba na hela wao ndio wanachomesha Polisi au TRA ili ukamatwe na hiyo mali watauziwa wao kwa bei pungufu maana mtu kakopa 300m anampa taarifa zote mdau akiamini ni ndugu yake kumbe Nyoka tuu..hapo Kkoo hata utake usd 2m usiku haraka unaipata ila jua hautaweza kuirudisha mpaka unaenda Motoni...
Lipa deni la Mushi wewe punguanialikuwepo jamaa anaitwa kuringe alipoingia magufuli alikimbia kwenda moshi ndio mwenye red stones club huyu p mushi wkt wa magufuli alikuwa kimya alipokufa anapandisha n=magorofa kama matatu kwa pamoja jiwe alikuwa yuko sahihi kuwachukia hawa jamaa
Mchakato mrefu kwa wafanyakazi sio wafanyabiashara hao walitakiwa wawe na frem moja ya familia kwa ajili ya kukopea kama watahitaji pesa na pia Kkoo unawezz kuwa na fremu tuu bidhaa zote watu wanakuletea wewe ni kuhangaikia leseni na TRA tuu na wengi wamesimama kwa mfumo huu...Bank mchakato mrefusana hadi pesa iive
Mbona unamtukana mazee kwenye stage ya life hiyo kawaida tuu tena hao wana nyumba Kkoo wakati wengi wetu nyumba za kijijini hata laki mbili upewi..Lipa deni la Mushi wewe punguani
Hao akina Mushi wanowalaum then Kila siku wanaoenda kwao kuomba mikopo.Ogopa ujinga na njaa/shida
Wanasema shida haina adabu.
Unaweza uza Gari la million 50 Kwa bei ya milioni 10 kisa shida.
Mtoa mada inaonekana walikabiliwa na shida Fulani sasa wakawa wanahitaji pesa za haraka
Mungu akawasaidia kukutana na Mushi, wakachekeana na kumshukuru alivyowapa mkopo😀😀 wakaandikishana na kuekeana mkataba, wakasema haina shida 😂😂 tutajulia mbele Huko ilimdi shida yetu Kwa sasa imepata Sawa.
Unaambiwa walimshukuru Sana huyo Mushi.
Licha ya mushi kuwaambia na kusisitiza mmesoma vizuri mkataba, wakasema ndio.
Muda wa marejesho😂😂😂
Mushi mbaya
Mushi Tapeli
Mushi arudi kwao Moshi😀
Kwani hakuna benki akaunti uweke hela humo?Itakuwa yaleyale ya akina Alex Masawe na Pedeshe (PDG) Ndama.
Unakopa pesa kwao halafu dhamana inakuwa nyumba mnawekeana na deadline,muda wa kulipa ukifika wanakukwepa ili muda upite wachukue nyumba kwa bei ya kashata.