Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

TAJIRI WA KARIAKOO AJULIKANAYE KAMA PRIMI MUSHI KUNUNUA NA KUTAPELI NYUMBA ZA WATU K/KOO NA MAENEO MENGINE NCHIN YUKO NYUMA YA NAN?

Wanabodi kama uzi ulivyokaa hapo juu huyu ni mfanyabiashara wa vitengee karikoo lkn speed yake ya kuwafua watu nyumba K/Koo inatisha yuko nyuma ya nani ?

Kwasasa anamiliki zaidi ghorofa 10 Karikoo na nyumba za chini za kumwaga hapa miezi miwili iliyopita Maulid Kitenge alirusha habar mzee mmoja wa K/Koo akilalamika kutapeliwa ghorofa yenye floor 7 mtaa wa Nyamwezi na Narungombe je ni haki mtu kuchukua ghorofa K/Koo kwa deni la billion 1 je, Mushi yuko juu ya sheria?

Je, nyumba alochukua Kipata na Congo ni haki embu jamani tuangalie sisi wanyonge twende wapi
 

Attachments

  • 68E9513E-2634-490B-9A5C-D6FA67FF51B6.jpeg
    68E9513E-2634-490B-9A5C-D6FA67FF51B6.jpeg
    98.2 KB · Views: 46
Haya ni mawazo ya kimasikini.
Siku zetu za kuishi ni miaka 70 ikizidi 80,mtu unaiba manyumba ya watu,kana kwamba utaishi nayo milele,mbaya zaidi hata ukija yaacha Kwa laana iliyopo huja kupotea tu Kwa jinsi yoyote,kizazi chako hugeuka cha walevi,Malaya na mabaya yote mwishowe Mali na nyie wote mnaangamia and the all wealth turn O. This is within 60 coming years.
 
Lda unaidaiwa kias gani na kwa muda gani na kwa sasa Amezuia nini kutoka kwako?
 
KWA WASIO JUA, KUNA UJAMBAZI MKUBWA SANA KATI YA MABENKI PALE WANAPOTAKA KUPIGA MNADA NYUMBA ZAWATEJA WAO,WALIOCHUKUA MIKOPO.
KUNA WALE MADALALI WA MAHAKAMA PALE INAPO AMRIWA NYUMBA ZA WANANDOA, AU MIRATHI KUUZWA NA KUGAWANA.
WANA TENGENEZA MAZINGIRA YA MALI KUUZWA KWA BEI NDOGO.HAPA NDIPO HAYA MAJAMBAZI YANAPO INGIA NA KUNUNUA KISHA KUMILIKI MALI NYINGI KWA NJIA HII.
NA KWA AWAMU HII, WENGI WATAUMIZWA!
KAA MBALI NA MIKOPO YA MABENKI, ACHA KUWEKA DHAMANA KUPITIA HATI ZA NYUMBA AU LESENI ZA MAKAZI
NI HABARI NDEFU
 
Haya ni mawazo ya kimasikini.
Sio umasikini,mawazo makubwa ambayo tafakari yake huwezi kuwa nayo katu katu katu, Abadan.hivi unajua mwaka 1850 kulikuwa na watu kama wewe wengi tu,wakifanya shughuli zao,kula kunywa,kucheza mziki na vyote.wakikaa kwenye majumba makubwa Kwa wakati huo waliyaona ndiyo ya kisasa, Generation changes bro,hicho ukionacho kizuri baada ya few days kitakuwa hakifai tena..
Sorry deep attitude!
 
Ukiweza kuishi Kariakoo na hela zao za Moto unaishi popote hapo wale wafanyabiashara wadogo wengi wamepotea na nyumba zao wale wakubwa wamebaki kuwa matajiri hapo walikuwepo wanaopiga hesabu kwenye calculator wakipewa hela wanakimbia wakachukue kipodozi,Chocolate,Pombe au Apple SA ni biashara ya haraka sana ikifika sokoni tena walikua wanapewa hela za 40ft leo hawapo wale jamaa wamewapoteza wengine biashara ya kipodozi cha Drc Kongo wakiona mteja anaweza kulipa riba na hela wao ndio wanachomesha Polisi au TRA ili ukamatwe na hiyo mali watauziwa wao kwa bei pungufu maana mtu kakopa 300m anampa taarifa zote mdau akiamini ni ndugu yake kumbe Nyoka tuu..hapo Kkoo hata utake usd 2m usiku haraka unaipata ila jua hautaweza kuirudisha mpaka unaenda Motoni...
Duhhhhhhhh.... balaa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Bank mchakato mrefusana hadi pesa iive
Mchakato mrefu kwa wafanyakazi sio wafanyabiashara hao walitakiwa wawe na frem moja ya familia kwa ajili ya kukopea kama watahitaji pesa na pia Kkoo unawezz kuwa na fremu tuu bidhaa zote watu wanakuletea wewe ni kuhangaikia leseni na TRA tuu na wengi wamesimama kwa mfumo huu...
 
Ogopa ujinga na njaa/shida
Wanasema shida haina adabu.

Unaweza uza Gari la million 50 Kwa bei ya milioni 10 kisa shida.

Mtoa mada inaonekana walikabiliwa na shida Fulani sasa wakawa wanahitaji pesa za haraka
Mungu akawasaidia kukutana na Mushi, wakachekeana na kumshukuru alivyowapa mkopo😀😀 wakaandikishana na kuekeana mkataba, wakasema haina shida 😂😂 tutajulia mbele Huko ilimdi shida yetu Kwa sasa imepata Sawa.
Unaambiwa walimshukuru Sana huyo Mushi.
Licha ya mushi kuwaambia na kusisitiza mmesoma vizuri mkataba, wakasema ndio.

Muda wa marejesho😂😂😂
Mushi mbaya
Mushi Tapeli
Mushi arudi kwao Moshi😀
Hao akina Mushi wanowalaum then Kila siku wanaoenda kwao kuomba mikopo.
Hakuna mtunzi mzuri WA uongo kama mtu anayedaiwa .
Ndio maana masharti ni .uhimu sana katika mkopo, bila masharti inakua sadaka.
They took that risk let them deal with it
 
Itakuwa yaleyale ya akina Alex Masawe na Pedeshe (PDG) Ndama.

Unakopa pesa kwao halafu dhamana inakuwa nyumba mnawekeana na deadline,muda wa kulipa ukifika wanakukwepa ili muda upite wachukue nyumba kwa bei ya kashata.
Kwani hakuna benki akaunti uweke hela humo?
 
Back
Top Bottom