Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

Kuna wakopeshaji wengine wachawi huwa wanaloga mkopaji ili asiweze kulipa wachukue mali zake
WE KAMA UNACHUA NI HELA YA KICHAWI KIHEREHERE GANI KINAKUPEKA KUKOPA. KAA NA UMASKINI WAKO. LAKINI HATA HIVYO HELA KWA WAJINGA NI KAMA UCHAWI MAANA WANAWEHUKA ILA IKIISHA NDO AKILI INAKAA SAWA
 
Primo Mushy ni Mfanya biashara anaetumia akili na ushauri mzuri wa kitaalamu ikiwemo wanasheria. Hawezi fanya ujinga na ndio maana hata kichaa wa kisukuma mwendazake hakumgusa. Acha uchawi mleta mada. Akili maskini huzaa umaskini.
magufuli mkuu alimweka lupango wkt wa jiwe alikuwa mpole kama nn
jiwe alikuwa huko sahihi alivyodeal nao
 
Mimi nmekuelewa mkuu asielewa atakua ni mbwa amekaa paaale[emoji1485]
Duina yote ndio iko hivyo..bila njia hizo huwezi kupata mali..utaendelea kutia huruma huku wenzako wakifurahia maisha.

Suala la sijui motoni sijui peponi ni wewe na imani yako.

Kanuni ya maisha ni watu kula watu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Endelea kujifariji..

#MaendeleoHayanaChama
 
Yaani hii ni dhulma.
Kuna watu washenzi sana.
biashara ya eletronics k/koo wameidominate hawataki kabila lingine kabisa na ukingia wanakufanyia vitina unavilisika
mr uk ==mushi
lampard electronics =frank mushi
homebase =ford shiyo
bravo eletronics mtoto wa mwlimu rafaeli
rising eletronics ==alyoce kimbori
sean biano = mallya
mashariki power na good vision = chuwa
g star eletronics massawe
singsung ===mkibosho nk nk
bruhm ==alyoce shayo
 
Mtaa ukiitwa Kibosho inakukera Nini?
Huoni kama wanabidii namikakati ya kuuteka mji?

Je mikakati unaweza kuivunja kwa kulialia?. Hilo jengo analo tuhumiwa kutaperi amejihusishaje nalo kabla ya kulinyakua mojakwamoja?
 
Ukweli uko wazi Mchaga kwenye pesa ana akili kuliko kawaida.

Na ndo kabila lenye kuzagaa nchini na nje ya nchi katika tamaduni za kibiashara.
Tofauti kabisa na Wazaramo na Makabila Mengine.
Penye ukweli tuseme.
Wazaramo na wamanyema miaka nenda rudi si walikuwa na majumba
Huko ya urithi,kwanini hawakutaka kuchukua mikopo benki wasimame wao kama wao!

Ova
 
Safi umegonga msumari wa moyo
Biashara ya kukopesha Tanzania ni kufilisika.
Hata ukimkopesha mtu bila riba na uwezo anao kukurudishia hela yako ni mbinde.
Nadhani ni bora kuwawekea riba kubwa tu.
Kwa sababu hata ukiweka riba ndogo hawakulipi kwa wakati na wanavunja makubaliano.
Mtu anakuja kukopa kwenye kulipa anaanza bibi yangu amefiwa na shangazi yake, atakupa hadithi hatari.
 
mkuu lampard eletronics ni mtoto wa 90
bravo eletronics ni wa 80 mwishon mkuu hawa wapo kwenye vyama hivyo wanakopeshana mitaji na kuonyeshana viwanda huko china

Noma Sana
Hapo dawa Yao ni kuzaa na mabinti zao.

Watu wengi hasa wa kanda ya ziwa wamegundua mbinu hiyo, wengi wanaoa na kuzaa na Wachaga.

Mbinu hiyo itawadhibiti kivyovyote
 
Mnyonge unamiliki ghorofa floor 7?hivi unawajua wanyonge WEWE?
 
Kina mwengine tena somebody kuringe nae naskia ni hivyo hivuo,,
Yaani wabangladesh sijui kwanini ni wezi weziiiii
Wezi tu, matajiri wengi wezi tu
Upo hapa unaimba ”WEZI TU WEZI TU” kwanini usiende kuwakamata au kutoa arifa wakakamatwa?au na wewe ukaibe uwe tajiri kama wao?

Kuwachukia hakukufanyi ufanikiwe tena ndo kutazidi kukufanya uwe maskini.
 
huwez kuchukua nyuma yenye zaid ya dhamani billion 14 kwa billion moja huyu jamaa kapewa stop order na mahakama lkn kadharau na wanaolalamika ni wengi kutapeliwa na huyu jamaa
Kwa nini asiiuze sasa akapata hizo bilioni 14 ili alipe deni la watu?
 
Hahaha muache mama yangu sinyaa mama kubwaaa... mamangu amepinda yulee pooh mbaka...
 
alikuwepo jamaa anaitwa kuringe alipoingia magufuli alikimbia kwenda moshi ndio mwenye red stones club huyu p mushi wkt wa magufuli alikuwa kimya alipokufa anapandisha n=magorofa kama matatu kwa pamoja jiwe alikuwa yuko sahihi kuwachukia hawa jamaa
Wewe ni failure... problem is you.

Sasa wakati unakopa hukujua kwamba ukishindwa kulipa dhamana inachukuliwa?

Inaonekana unachuki na wachaga huna lolote. Hao watu unawachafua humu ni wapambanaji na wala sio walipata pesa zao kwa wizi.. mbona wewe usiibe ukawa tajiri??

Wewe ndo una matatizo
 
Hivi hizi Mali wakifa wanaenda nazo au?!!!
Kuna ambae hatafuti mali?

Huyo uliyem-quote muulize yeye anapotoka asubuhi anaenda kutafuta nini?shida yeye ameji-limit akipata hesabu yake aliyoizoea kwa siku kama ni mapema anaenda kunyoosha miguu bar hao anaowasingizia wizi hapa wakifikisha kiwango chao walichozoea wanabaki kwenye game mpaka muda wao waliouzoea wakitoka wanaenda kulala nyumbani bar wanakaa jumapili tu tena kwa masaa.

Na wao hawaweki kikomo ktk utafutaji that's why wanafanikiwa na Mungu anakupa kadiri ya usivyoridhika na kwa juhudi unazofanya ukiridhika na 100,000/= yako wewe utakuwa wa laki kila siku na usiporidhika na million kumi yako kila siku utakuwa wa million kumi ndo maana unaona gap kubwa kati yako na hao watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…