Warejee kwenye mkataba.Poleni Sana.
Mmeshamaliza shida zenu sasa mnataka nimpe shida aliyewasaidia mkopo.ππ
Bakini kwenye Mkataba wenu.
Kama anakiuka mkataba Basi ni Tapeli kama hakiuki basi Acha achue hata magorofa yote nchi nzima Kwa watu wajinga
kwa sisi tulio kkoo wachagga ndio wanaongoza kwa kuwa na njumba nyingi wakinga hawana miaka 20 kariakoo wakt mchagga wakwanza kununua nyumba ni hugo kisima mwaka 67 mchikichi pamaja n auhuruKwahiyo wanaomiliki magorofa siku hizi ni wachaga sio tena wakinga?
mzee mcheli kanunua contenental hotel mtaa wa nkrumah in early 60skwa sisi tulio kkoo wachagga ndio wanaongoza kwa kuwa na njumba nyingi wakinga hawana miaka 20 kariakoo wakt mchagga wakwanza kununua nyumba ni hugo kisima mwaka 67 mchikichi pamaja n auhuru
mtei wa congo au golo store wa mtaa wa congo ananyummba toka in 60s na wengine wengi wakin ni wajuzimzee mcheli kanunua contenental hotel mtaa wa nkrumah in early 60s
bushtrekkerr posta alikuwa nayo paul lyimo toka uhuru
andrew mushi wa meneja urafik ana gorofa mtaa wa aggrey toka miaka ya 70 mwishoni
mkinga mwenye nyumba au gorofa nyingi ni kodetic aliyugua uson na nyumba zake nyingi kanunua kwa mchagga wa rising kimbori mfano juzi kamuuzia nyumba billion 7 mtaaa wa manyema nyuma ya club ya simba kaenda mwanza kaenda kuwavua watu nyumba kama uchafumtei wa congo au golo store wa mtaa wa congo ananyummba toka in 60s na wengine wengi wakin ni wajuzi
kimbori alitapeliwa na hans macha billion 9 kwenye bureu de charge na akuyumba kwa kariiakoo wakinga watasubiri sana hawa wakibosho wanatisha kuna ambao wameoa mpaka wa china na wahindi kama rahm lema na mohammed lema wake zao ni wahindimkinga mwenye nyumba au gorofa nyingi ni kodetic aliyugua uson na nyumba zake nyingi kanunua kwa mchagga wa rising kimbori mfano juzi kamuuzia nyumba billion 7 mtaaa wa manyema nyuma ya club ya simba kaenda mwanza kaenda kuwavua watu nyumba kama uchafu
Inaonekana walikurupuka kwa tamaa ya pesa bila kuchungulia madhara ya mbeleni,inasikitisha sana.Kwa dhamana ya jengo la ghorofa 7 kariakoo inabidi mkopo usiwe chini ya bilioni 10, ili hata ukishindwa kulipa sio mbaya
sasa wanahamia kwenye internal decor na sanitary ware wambako mkinga hawezi kufika kabisakimbori alitapeliwa na hans macha billion 9 kwenye bureu de charge na akuyumba kwa kariiakoo wakinga watasubiri sana hawa wakibosho wanatisha kuna ambao wameoa mpaka wa china na wahindi kama rahm lema na mohammed lema wake zao ni wahindi
watu kama hawapo juu ni matycoon wanaotishia k/koo mtu kama herman woisoo wa woisoo original keshamaliza mtaa wa kipatasasa wanahamia kwenye internal decor na sanitary ware wambako mkinga hawezi kufika kabisa
wakinga ni kabila dogo sanaSi mlisema kariakoo imetekwa na wakinga?
Sasa hivi mmewageukia wachaga?
Pigeni maneno humu watu wanapiga kazi
wakinga ni kabila dogo sana wanaosumba k/koo ni wakibosho na wa rombo ambao kwa mkoa wa kilimanjaro ndio masikin hao wamarangu na wamachame ni level za mareal estate ,viwanda ,magari,logistics clearing and fowarding banking insurance
sasa wanahamia kwenye internal decor na sanitary ware wambako mkinga hawezi kufika kabisa
Mbona stori za watu zimekuwa nyingi haujatapeliwa ghorofa wewewatu kama hawapo juu ni matycoon wanaotishia k/koo mtu kama herman woisoo wa woisoo original keshamaliza mtaa wa kipata
Ulitaka awe analia muda wote? Amesamehe na kumuachia MunguMbona stori za watu zimekuwa nyingi haujatapeliwa ghorofa wewe
Kweli kabs yaliyopita si ndwele....Ulitaka awe analia muda wote? Amesamehe na kumuachia Mungu
Hamna chΓ‘ madawa wachaga Huwa ni watafutaji tangu enzBab angu aliwai kopa mahali kwa mam wa kichag na akaweka Bondi aridhi hati ya kiwanja ilikuwa around mwaka 2000 HV mkp kile kiwanja kimeshinikna kurudi siyo bure Kuna madawa wanawwka Hawa ndug zangu wachaga ili amuachie Mali
Inaniuma San kiwanja kipo sehemu nzuri snaaa ktk nnchi hi hapa tz dhamani yake kwa sasa HV Ni milio 80 q
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mkinga aliyekuja juz ashindane na wachaga waliopo hapo tangu 1960's? Hebu acheni vichekeshoKwahiyo wanaomiliki magorofa siku hizi ni wachaga sio tena wakinga?
Kweli kabisakwa sisi tulio kkoo wachagga ndio wanaongoza kwa kuwa na njumba nyingi wakinga hawana miaka 20 kariakoo wakt mchagga wakwanza kununua nyumba ni hugo kisima mwaka 67 mchikichi pamaja n auhuru
Amenunua majumba?watu kama hawapo juu ni matycoon wanaotishia k/koo mtu kama herman woisoo wa woisoo original keshamaliza mtaa wa kipata
NaamMajungu at work. Jamaa mpambanaji longtime sana kkoo kwa taarifa yako vitenge vyote unavyoona vinauzwa hapa. Nchin yeye ndio anaingiza, jamaa ana hela kitambo sana .... kama huyu mzee ameonewa aende mahakamani
Akili mingiushaona ubini wa Mushi. Kaa kwa kutulia