Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

Poleni Sana.

Mmeshamaliza shida zenu sasa mnataka nimpe shida aliyewasaidia mkopo.😀😀

Bakini kwenye Mkataba wenu.

Kama anakiuka mkataba Basi ni Tapeli kama hakiuki basi Acha achue hata magorofa yote nchi nzima Kwa watu wajinga
Warejee kwenye mkataba.
 
kwa sisi tulio kkoo wachagga ndio wanaongoza kwa kuwa na njumba nyingi wakinga hawana miaka 20 kariakoo wakt mchagga wakwanza kununua nyumba ni hugo kisima mwaka 67 mchikichi pamaja n auhuru
mzee mcheli kanunua contenental hotel mtaa wa nkrumah in early 60s
bushtrekkerr posta alikuwa nayo paul lyimo toka uhuru
andrew mushi wa meneja urafik ana gorofa mtaa wa aggrey toka miaka ya 70 mwishoni
 
mtei wa congo au golo store wa mtaa wa congo ananyummba toka in 60s na wengine wengi wakin ni wajuzi
mkinga mwenye nyumba au gorofa nyingi ni kodetic aliyugua uson na nyumba zake nyingi kanunua kwa mchagga wa rising kimbori mfano juzi kamuuzia nyumba billion 7 mtaaa wa manyema nyuma ya club ya simba kaenda mwanza kaenda kuwavua watu nyumba kama uchafu
 
kimbori alitapeliwa na hans macha billion 9 kwenye bureu de charge na akuyumba kwa kariiakoo wakinga watasubiri sana hawa wakibosho wanatisha kuna ambao wameoa mpaka wa china na wahindi kama rahm lema na mohammed lema wake zao ni wahindi
 
Kwa dhamana ya jengo la ghorofa 7 kariakoo inabidi mkopo usiwe chini ya bilioni 10, ili hata ukishindwa kulipa sio mbaya
Inaonekana walikurupuka kwa tamaa ya pesa bila kuchungulia madhara ya mbeleni,inasikitisha sana.
Yaani mtu una ghorofa kariakoo unashindwa kulitumia kuingiza mapato unaenda kukopea,hapo walibugi sana na kifupi wamechezea shilingi chooni.
 
kimbori alitapeliwa na hans macha billion 9 kwenye bureu de charge na akuyumba kwa kariiakoo wakinga watasubiri sana hawa wakibosho wanatisha kuna ambao wameoa mpaka wa china na wahindi kama rahm lema na mohammed lema wake zao ni wahindi
sasa wanahamia kwenye internal decor na sanitary ware wambako mkinga hawezi kufika kabisa
 
sasa wanahamia kwenye internal decor na sanitary ware wambako mkinga hawezi kufika kabisa
watu kama hawapo juu ni matycoon wanaotishia k/koo mtu kama herman woisoo wa woisoo original keshamaliza mtaa wa kipata
Mbona stori za watu zimekuwa nyingi haujatapeliwa ghorofa wewe
 
Bab angu aliwai kopa mahali kwa mam wa kichag na akaweka Bondi aridhi hati ya kiwanja ilikuwa around mwaka 2000 HV mkp kile kiwanja kimeshinikna kurudi siyo bure Kuna madawa wanawwka Hawa ndug zangu wachaga ili amuachie Mali

Inaniuma San kiwanja kipo sehemu nzuri snaaa ktk nnchi hi hapa tz dhamani yake kwa sasa HV Ni milio 80 q

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hamna chá madawa wachaga Huwa ni watafutaji tangu enz
 
Back
Top Bottom