Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dawa gani bhana, hata hayo Mabenki yanawadai Watu kibao nao wamewapa dawa?.Wengi wanamadawa hao hizo Dili alikuwa nao Babu Sombeki wa Pale Moshi. Hata akikukopesha shilingi 1000 hutaweza rudisha hadi achukue Mali zako. Mungu atusaidie kwa kweli.
Waziri kawaita "wazawa wa Kariakoo" huyo Bw ndio wale wale wa kupalilia tu ukabila/udini...Wazawa ndio nini?.alikuwepo kuringe, morio na macha ndio wachagga wamenunua nyumba nyingi kariakoo na kujengesha kwa mikataba ya kitapeli wazair simba wa viwanda na biashara katuita wazawa k/koo diamond jublee kututaka tusiuze nyumba zetu lkn ndugu zangu wazaromo hawakusikia sasa kuna mitaa inaitwa kibosho kariakoo
Jidanganye tu, kuna mtu anakukopesha 1000 na huwezi rudisha. Ukikua utaelewa namaanisha nini ila kwa kuwa sasa unakula na kushiba bure huelewi.Dawa gani bhana, hata hayo Mabenki yanawadai Watu kibao nao wamewapa dawa?.
wachagga wan kiu arithi kama wakenya ni kwasasabu kwao hakuna arithiWatu wanaabudu mali watakazoziacha duniani
hicho kiwanja cha mafia na jagwani hapo kwenye vipodoz unajua alivokipata mkuu au unsifia tu dhuluma hawa jamaa hawa hawafia kbisa primi mushi ,morio,hans macha, massawe tumbo,kuringe,kimbori, mama chuwa mohammed lema au mokha wameshamaliza kariakooJamaa mwenyewe anashangaa haya madai[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Soon anaangusha ghorofa jingine Mafia na jangwani
Endeleen kupiga mdomo msifanye kazi [emoji28][emoji28]
hawa n wakenyawachagga wan kiu arithi kama wakenya ni kwasasabu kwao hakuna arithi
sisi tukifanya vikao wakabila ila wao wanakutana kila jumapili kupanga kuchukua aridhi za watu co wakabila akhasnte mkuuWaziri kawaita "wazawa wa Kariakoo" huyo Bw ndio wale wale wa kupalilia tu ukabila/udini...Wazawa ndio nini?.
Kama Wamiliki walikuwa wanaweza kubaki na miliki zao nani angewarubuni?....maendeleo yakija kama hamkujiandaa mtasogezwa tu.
Huyo Waziri angetaka kuwasaidia angewakopesha pesa z kutatua matatizo yenu badala ya storti tupu ili hali njaa haijui stori.
unafurahia dhulumaChaggaz 💪 💪
Sijaona dhuluma. Kama walikopa walipe na kama hawajaridhika waende mahakamaniunafurahia dhuluma
ujaona dhuluma wewe mchagga coSijaona dhuluma. Kama walikopa walipe na kama hawajaridhika waende mahakamani
hicho kiwanja cha mafia na jagwani hapo kwenye vipodoz unajua alivokipata mkuu au unsifia tu dhuluma hawa jamaa hawa hawafia kbisa primi mushi ,morio,hans macha, massawe tumbo,kuringe,kimbori, mama chuwa mohammed lema au mokha wameshamaliza kariakoo
hicho kiwanja cha mafia na jagwani hapo kwenye vipodoz unajua alivokipata mkuu au unsifia tu dhuluma hawa jamaa hawa hawafia kbisa primi mushi ,morio,hans macha, massawe tumbo,kuringe,kimbori, mama chuwa mohammed lema au mokha wameshamaliza kariakoo
Huyuu mzee kama namfahamu alikuwa muislamu?Inaitwa pesa ya Moto. Mimi Mzee wangu alishanionya SANA kutochukua hela ya Riba kutoka mikononi mwa Mtu yeyote.
Ile hela ina balaa na mikosi na huwezi kuirejesha, na ni kweli huwa wanaitoa kuanzia saa 12 mpaka saa 2 usiku.
Kuna Mzee mmoja Sakina Arusha sasahivi ni Marehemu, yeye alikuwa anakopesha hela halafu ukishindwa kuirejesha kwa wakati anachukua gari...alikuwa na magari mengi mno ameyapaki tu.
🤣🤣🤣🤣🤣Hata na wewe best? Unakuwa low namna hii? Walikufanya nini?