Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

Wengi wanamadawa hao hizo Dili alikuwa nao Babu Sombeki wa Pale Moshi. Hata akikukopesha shilingi 1000 hutaweza rudisha hadi achukue Mali zako. Mungu atusaidie kwa kweli.
Dawa gani bhana, hata hayo Mabenki yanawadai Watu kibao nao wamewapa dawa?.
 
alikuwepo kuringe, morio na macha ndio wachagga wamenunua nyumba nyingi kariakoo na kujengesha kwa mikataba ya kitapeli wazair simba wa viwanda na biashara katuita wazawa k/koo diamond jublee kututaka tusiuze nyumba zetu lkn ndugu zangu wazaromo hawakusikia sasa kuna mitaa inaitwa kibosho kariakoo
Waziri kawaita "wazawa wa Kariakoo" huyo Bw ndio wale wale wa kupalilia tu ukabila/udini...Wazawa ndio nini?.

Kama Wamiliki walikuwa wanaweza kubaki na miliki zao nani angewarubuni?....maendeleo yakija kama hamkujiandaa mtasogezwa tu.

Huyo Waziri angetaka kuwasaidia angewakopesha pesa z kutatua matatizo yenu badala ya storti tupu ili hali njaa haijui stori.
 
Jamaa mwenyewe anashangaa haya madai[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Soon anaangusha ghorofa jingine Mafia na jangwani

Endeleen kupiga mdomo msifanye kazi [emoji28][emoji28]
hicho kiwanja cha mafia na jagwani hapo kwenye vipodoz unajua alivokipata mkuu au unsifia tu dhuluma hawa jamaa hawa hawafia kbisa primi mushi ,morio,hans macha, massawe tumbo,kuringe,kimbori, mama chuwa mohammed lema au mokha wameshamaliza kariakoo
 
Waziri kawaita "wazawa wa Kariakoo" huyo Bw ndio wale wale wa kupalilia tu ukabila/udini...Wazawa ndio nini?.

Kama Wamiliki walikuwa wanaweza kubaki na miliki zao nani angewarubuni?....maendeleo yakija kama hamkujiandaa mtasogezwa tu.

Huyo Waziri angetaka kuwasaidia angewakopesha pesa z kutatua matatizo yenu badala ya storti tupu ili hali njaa haijui stori.
sisi tukifanya vikao wakabila ila wao wanakutana kila jumapili kupanga kuchukua aridhi za watu co wakabila akhasnte mkuu
 
hicho kiwanja cha mafia na jagwani hapo kwenye vipodoz unajua alivokipata mkuu au unsifia tu dhuluma hawa jamaa hawa hawafia kbisa primi mushi ,morio,hans macha, massawe tumbo,kuringe,kimbori, mama chuwa mohammed lema au mokha wameshamaliza kariakoo

Kadhulumu ujenge na wewe Kama ni rahisi

Wabongo ukipiga hatua utaundiwa zengwe mpaka ushangae
 
hicho kiwanja cha mafia na jagwani hapo kwenye vipodoz unajua alivokipata mkuu au unsifia tu dhuluma hawa jamaa hawa hawafia kbisa primi mushi ,morio,hans macha, massawe tumbo,kuringe,kimbori, mama chuwa mohammed lema au mokha wameshamaliza kariakoo

Si mlisema kariakoo imetekwa na wakinga?

Sasa hivi mmewageukia wachaga?

Pigeni maneno humu watu wanapiga kazi
 
Inaitwa pesa ya Moto. Mimi Mzee wangu alishanionya SANA kutochukua hela ya Riba kutoka mikononi mwa Mtu yeyote.

Ile hela ina balaa na mikosi na huwezi kuirejesha, na ni kweli huwa wanaitoa kuanzia saa 12 mpaka saa 2 usiku.

Kuna Mzee mmoja Sakina Arusha sasahivi ni Marehemu, yeye alikuwa anakopesha hela halafu ukishindwa kuirejesha kwa wakati anachukua gari...alikuwa na magari mengi mno ameyapaki tu.
Huyuu mzee kama namfahamu alikuwa muislamu?
 
Bab angu aliwai kopa mahali kwa mam wa kichag na akaweka Bondi aridhi hati ya kiwanja ilikuwa around mwaka 2000 HV mkp kile kiwanja kimeshinikna kurudi siyo bure Kuna madawa wanawwka Hawa ndug zangu wachaga ili amuachie Mali

Inaniuma San kiwanja kipo sehemu nzuri snaaa ktk nnchi hi hapa tz dhamani yake kwa sasa HV Ni milio 80 q

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom