miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Kuringe ana manyumba ya kutosha hapo kkoo. Ya kushato. Yeye anajua kuchezesha mwali tu na nduguzeNakazia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuringe ana manyumba ya kutosha hapo kkoo. Ya kushato. Yeye anajua kuchezesha mwali tu na nduguzeNakazia.
Tena mkibosho typical. Mkibosho haswaaaa.Hapana Ni mchaga wa kibosho Hilo jina mmasai wamempachika tu ameuza nyumba sana tu kwenye minada ya shinyanga kabla hajaenda na kutusua maisha
Huna lolote njaa na umaskini unakusumbua.Kabila kila mtu Tanzania hii anajua lilivyo utakuwa kipofu wewe
Unataka kututapeli sio? Umeona fursa kwenye huu uzi? Hatutapeliki mkoposhe Samia ili aache kukopa huko EU, IMF na WB ili wewe uichukue Ikulu akishindwa kulipaHii dawa yakumkopesha mtu ili ukichukue alichoweka zamana ninayo.
Kuna vitu unavijua ila kwa makusudi unaandika kwa kupotosha... ulisema baa ya mzee hugo kuwa ipo Livingstone Street ndo nikakukatalia na kukueleza mzee hugo hana baa mtaa huo ila ana baa mtaa wa mchikichi opp na nbc kkoo, suala la kuwa na nyumba kkoo, huyo kifaru ana miliki nyumba nyingi tuu.... Haijalishi uwe shehe wala kadinari, ukishauza huna uhalali wa kumpangia mnunuzi cha kufanya, kama alikuwa anataka kusiwe kunauzwa pombe angeacha chuki zake angemuuzia SSB, ila kwa chuki za kizaramo aliona akimuuzia Saidi eti atazidi kuwa tajiri akaona bora amuuzie Imma...gorofa la hugo kisima liko barabara ya uhuru floor ya chini kuna equity bank mkuu
emma aliambiwa asiweke pombe kwa sababu ile ni nyumba ya sheah mkuu
huyo mbokumu naye alikuwa ni mwizi zaman mkuu akaiba sana chuma za wahindi mpka katajirika
Habebi kibabe bali anachujua kilicho chake halalihii ishu ya huyu jamaa kutapeli watu magorofa niliiiona hapo nyamwezi tena zilikuja fifenda 3 kumsaidia jamaa kuzuia fujo hapo zilipaki siku nzima jiulize , naskia huwa anakopesha watu ukishindwa kulipa anakuja kubeba mali zako kibabe
Duh kumbe ni hatariHahah achukue vyake!!!
Hii alikuwaga nayo Masawe Alex nae,uliposikia Msofe amekaa ndani alijichanganya akanunua nyumba iliyokuwa bond kwa mgongo wa Masawe yaani mmiliki halali alikopa hela akapitisha siku moja akiwa safarini south kurudi akakuta nyumba imeuzwa akatakiwa ahamishe kila kilichokuwa chake akagoma akaishia kuuwawa.
Acha tu best, tozo zinanifanya nisilaleAlfajiri hii uliyopost. hulali?
Kwamba mushi amefanyaje?
kwani nyie wachagga humna ngoma mbasaaa wewe unaijuaKuringe ana manyumba ya kutosha hapo kkoo. Ya kushato. Yeye anajua kuchezesha mwali tu na nduguze
Primi Mushi au you mean Eugen Mushi Masaai!!??TAJIRI WA KARIAKOO AJULIKANAYE KAMA PRIMI MUSHI KUNUNUA NA KUTAPELI NYUMBA ZA WATU K/KOO NA MAENEO MENGINE NCHIN YUKO NYUMA YA NAN?
Wanabodi kama uzi ulivyokaa hapo juu huyu ni mfanyabiashara wa vitengee karikoo lkn speed yake ya kuwafua watu nyumba K/Koo inatisha yuko nyuma ya nani ?
Kwasasa anamiliki zaidi ghorofa 10 Karikoo na nyumba za chini za kumwaga hapa miezi miwili iliyopita Maulid Kitenge alirusha habar mzee mmoja wa K/Koo akilalamika kutapeliwa ghorofa yenye floor 7 mtaa wa Nyamwezi na Narungombe je ni haki mtu kuchukua ghorofa K/Koo kwa deni la billion 1 je, Mushi yuko juu ya sheria?
Je, nyumba alochukua Kipata na Congo ni haki embu jamani tuangalie sisi wanyonge twende wapi
Ni Eugen Mushi!!..ama ni watu tofautiMushi/Msoffe/Massawe= matapeli
Aiseealikuwepo jamaa anaitwa kuringe alipoingia magufuli alikimbia kwenda moshi ndio mwenye red stones club huyu p mushi wkt wa magufuli alikuwa kimya alipokufa anapandisha n=magorofa kama matatu kwa pamoja jiwe alikuwa yuko sahihi kuwachukia hawa jamaa
Huyo jamaa ni noma pesa yake ni ya mapaka. Mimi mwenyewe nilishawahi pewa pesa na huyo jamaa. Kuna kazi nilifanya nae Mpaka leo sijui ile pesa yake aliyonilipa nilitumia kwenye nini full mawengeHarafu hizo hela hawatoi muda wowote wanatoa sana kuanzia jioni na usiku huku watoaji wakiwa na wenge la hatari...jamaangu ashawahi kopa hizo hela alipokuja kunipa story na hela hajazitumia nikamwambia mrudishie hizo hela daah kila akipigiwa simu hapokei maana alianza kwa kumwambia amepata hela anataka azirudishe zile kwanza akamwambia hata siku mbili alipe sijui na riba ya mwezi waliendeshana ila kwa muda kidogo mpaka kufikia makubaliano ya kupokea ile hela yake...yeye anasema kaiweke bank mlipaji anagoma anamwambia mbona wewe ulikataa ishu ya bank yaani baadae ndio akaja kuamini mambo ya watu kutumia ushirikina kwenye hizo hela gari yake ilikua inapotea kwa Tsh 6m kwa dhamana ya hilux pick up double cab..
Usitete usichokijuaUna ushahidi gan anahonga Sana,
Tatizo hapo naona madai yenu hayana msingi
Duuh mtu unakopa bilioni kwa ajili ya shughuli,Pesa zao nyingi zinaenda kwenye mashuguli mara harusi ya mtoto wa fulani,mara sijuwi kuna ngoma inakesha....
Mara sijuwi kuna ngoma ya kumtoa mtoto
Ova