Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

Kabila kila mtu Tanzania hii anajua lilivyo utakuwa kipofu wewe
Huna lolote njaa na umaskini unakusumbua.

Siku zote njaa na umaskini vikichanganyika na ukosefu wa akili ya utafutaji huzaa roho mbaya na chuki dhidi ya waliofanikiwa, ukweli ni “chuki dhidi ya waliofanikiwa hakuna siku itakupa mkate still utahangaika na wewe kutoboa utatoboa kwa tabu sana sababu umevunja kanuni ya utafutaji ya MUHESHIMU MPINZANI WAKO badala yake wewe unamchukia"
 
gorofa la hugo kisima liko barabara ya uhuru floor ya chini kuna equity bank mkuu
emma aliambiwa asiweke pombe kwa sababu ile ni nyumba ya sheah mkuu
huyo mbokumu naye alikuwa ni mwizi zaman mkuu akaiba sana chuma za wahindi mpka katajirika
Kuna vitu unavijua ila kwa makusudi unaandika kwa kupotosha... ulisema baa ya mzee hugo kuwa ipo Livingstone Street ndo nikakukatalia na kukueleza mzee hugo hana baa mtaa huo ila ana baa mtaa wa mchikichi opp na nbc kkoo, suala la kuwa na nyumba kkoo, huyo kifaru ana miliki nyumba nyingi tuu.... Haijalishi uwe shehe wala kadinari, ukishauza huna uhalali wa kumpangia mnunuzi cha kufanya, kama alikuwa anataka kusiwe kunauzwa pombe angeacha chuki zake angemuuzia SSB, ila kwa chuki za kizaramo aliona akimuuzia Saidi eti atazidi kuwa tajiri akaona bora amuuzie Imma...
 
Hahah achukue vyake!!!

Hii alikuwaga nayo Masawe Alex nae,uliposikia Msofe amekaa ndani alijichanganya akanunua nyumba iliyokuwa bond kwa mgongo wa Masawe yaani mmiliki halali alikopa hela akapitisha siku moja akiwa safarini south kurudi akakuta nyumba imeuzwa akatakiwa ahamishe kila kilichokuwa chake akagoma akaishia kuuwawa.
Duh kumbe ni hatari
 
TAJIRI WA KARIAKOO AJULIKANAYE KAMA PRIMI MUSHI KUNUNUA NA KUTAPELI NYUMBA ZA WATU K/KOO NA MAENEO MENGINE NCHIN YUKO NYUMA YA NAN?

Wanabodi kama uzi ulivyokaa hapo juu huyu ni mfanyabiashara wa vitengee karikoo lkn speed yake ya kuwafua watu nyumba K/Koo inatisha yuko nyuma ya nani ?

Kwasasa anamiliki zaidi ghorofa 10 Karikoo na nyumba za chini za kumwaga hapa miezi miwili iliyopita Maulid Kitenge alirusha habar mzee mmoja wa K/Koo akilalamika kutapeliwa ghorofa yenye floor 7 mtaa wa Nyamwezi na Narungombe je ni haki mtu kuchukua ghorofa K/Koo kwa deni la billion 1 je, Mushi yuko juu ya sheria?

Je, nyumba alochukua Kipata na Congo ni haki embu jamani tuangalie sisi wanyonge twende wapi
Primi Mushi au you mean Eugen Mushi Masaai!!??
 
alikuwepo jamaa anaitwa kuringe alipoingia magufuli alikimbia kwenda moshi ndio mwenye red stones club huyu p mushi wkt wa magufuli alikuwa kimya alipokufa anapandisha n=magorofa kama matatu kwa pamoja jiwe alikuwa yuko sahihi kuwachukia hawa jamaa
Aisee
 
Harafu hizo hela hawatoi muda wowote wanatoa sana kuanzia jioni na usiku huku watoaji wakiwa na wenge la hatari...jamaangu ashawahi kopa hizo hela alipokuja kunipa story na hela hajazitumia nikamwambia mrudishie hizo hela daah kila akipigiwa simu hapokei maana alianza kwa kumwambia amepata hela anataka azirudishe zile kwanza akamwambia hata siku mbili alipe sijui na riba ya mwezi waliendeshana ila kwa muda kidogo mpaka kufikia makubaliano ya kupokea ile hela yake...yeye anasema kaiweke bank mlipaji anagoma anamwambia mbona wewe ulikataa ishu ya bank yaani baadae ndio akaja kuamini mambo ya watu kutumia ushirikina kwenye hizo hela gari yake ilikua inapotea kwa Tsh 6m kwa dhamana ya hilux pick up double cab..
Huyo jamaa ni noma pesa yake ni ya mapaka. Mimi mwenyewe nilishawahi pewa pesa na huyo jamaa. Kuna kazi nilifanya nae Mpaka leo sijui ile pesa yake aliyonilipa nilitumia kwenye nini full mawenge
 
Pesa zao nyingi zinaenda kwenye mashuguli mara harusi ya mtoto wa fulani,mara sijuwi kuna ngoma inakesha....
Mara sijuwi kuna ngoma ya kumtoa mtoto

Ova
Duuh mtu unakopa bilioni kwa ajili ya shughuli,

kuna kipindi tulifanya biashara ma mama mmoja wa kariakoo, anauza nyumba yake, tumepambana sana kwenye terms, akaanza kupambana na madalali hataki kuwalipa chao, mpaka wanaelewana ni saa kumi na nusu jioni, hapo tumesign makubaliano ya kuuziana inabidi tuwaekee chao, option zilizopo ni transfer kupitia TISS, (Mfumo wa kuhamisha hela kwa mabank ya ndani siyo ile taasisi ule wa kuhamishia kwenda nje unaitwa TT), kwa huo muda wangeipata siku inayofuata ambayo isingewezekana pia kwa sababu ni sikukuu na siku zinazofuatia ni weekend, Cheque same same, Cash withdrawal kwa amount wanayostahili hamna namna tukawaambia hapa hadi sikukuu iishe, tuchane mikataba, kama mna wasi wasi.

Yule mama aliangua kilio anapiga magoti anaomba apewe chochote ameshaahidi msikitini atalisha watu biariani na wameshaomba kibali cha kufunga mtaa, anahitaji milioni 15 nyingine 5 anazo, busara ikatumika akapatiwa 10 pale pale kutoka kwenye jopo hapo hadi mwanasheria wake na wetu alitoa...Binafsi nikajiuliza mtu unauza nyumba milioni 260, unatumia zaidi ya 20M kwenye sherehe na kuwapa ma sheikh ni akili au matope, hujalipa madalali 10% yao, bado ndugu hawajakuandama lazima uwatoe kidogo...daah

Baada ya biashara kukamilika mtoto wa mama akavuta subaru, kazama dubai kuagiza spear za magari, yule mama ni tajiri wa mali alizoachiwa na mumewe ila hana akili ya kucontrol mali, hapo kariakoo anapokaa ni kwenye apartment wamenunua ni zile za kulipia service charge, nikajuuliza yani wanauza nyumba nzuri mbezi ambapo wangeweza kuweka garden nzuri matunda na mboga mboga, wanakaa kariakoo sema vioo vinawasaidia kelele, hamna parking hamna ustaarabu, ukisema hata ufungue kioo ni matusi tupu....mimi nasema wacha wapigwe kwa kweli, hadi akili iwakae sawa
 
Back
Top Bottom