macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Hata na wewe best? Unakuwa low namna hii? Walikufanya nini?Wachaga wamekuwa wachawi sana sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata na wewe best? Unakuwa low namna hii? Walikufanya nini?Wachaga wamekuwa wachawi sana sana
Alfajiri hii uliyopost. hulali?
Weka mkataba wa. Makubaliano hapa tujue namna ya kukusaidia msaada wa sheriakulikuwa na tatizo la kifamilia tukahitaji mkopo wa fasta na mubaliano achukue baadhi ya fremu ili ajilipe
Na siku ukipoteza nyumba kwa kukopa vichochoroni namna hii ndiyo utajua kuna sehemu rasmi za kukopa kama benki.Siku ukikopa halafu ukaweka bondi nyumba, halafu ukapata pesa ya deni lakini kila ukitafuta mhusika umlipe deni lake humuoni ndio utajua maana ya huu uchoko wa dawa ya deni in kulipa wakati huo umeshapoteza nyumba.
Baki na ujinga wako sikulazimish.Acheni imani potofu. Siku zote saa yoyote fedha za kukopa zina uwezekano mkubwa wa kuisha kwa sababu mara nyingi wakopaji wanakuwa hawana malengo maalum au kama wana malengo, ni yakwenye daftari na siyo uhasilia.
Kabila kila mtu Tanzania hii anajua lilivyo utakuwa kipofu weweHuyu Kunguru wa Manzese obviously ni Mzaramo maana ni mmoja kati ya watu wanaoteseka sana wakisikia Mchagha anashambuliwa.
Though siyo Mchagha ila sipendi kuona watu wanashambuliwa kwa sababu ya juhudi zao.
Nakazia.Matako yako. Umetawaliwa na chuki. Kuringe aheshimiwe sana
Mjinga anajigeuza kuwa mjanja na mjanja anageuzwa kuwa mjinga. Haya twende kazi!Baki na ujinga wako sikulazimish.
Huwezi kuweka PESA juu ya chochote ukiwemo ubinadamu halafu ukawa na akili. Soon utainamishwa migombani ili upewe pesa
Kukopa = kufeli. Ukishashafeli siyo rahisi kunyanyuka.Kuna wakopeshaji wengine wachawi huwa wanaloga mkopaji ili asiweze kulipa wachukue mali zake
Najua kuliko wewe .. jiulize mbona mwakinyo walizuie begi lake uingereza yaani wanaamini ushirikina we kijana wa kweny vumbi huamini😂😂😂..kajifunze muulize mkubwa kwenu hili swali we hujui kitu.Mjinga anajigeuza kuwa mjanja na mjanja anageuzwa kuwa mjinga. Haya twende kazi!
TUMALIZANE = ? Mkuu unatuacha kwenye mataaDaaah mdau uyo jamaa ni buree kabisa.wanapenda Bata kinoma noma hapa kkoo tunawatizama tu.mambo yakiwa magumu wanareta ukabila mala mwizi mala mchawi.
Aseme ukweli tu. Pesa ya mkopo ni for bznes tu. Wao wanaenda mpk sauzi kula maisha.
Kuna dogo mmoja kutoka kigoma yupo kkoo hii anapambana kinouma kwa style ya TUMALIZANE anapata pesa na mtaji unakua after 3 Yrs akiwa tajili ss hatuta shangaa.
Kaenda kenya [emoji1139] kujifunza kwa gharama zake jinsi ya ku impliment uku TZ alikaa mwezi mzima. Na imekubali TUMALIZANE. Watu wa mombasa wanaijua hii.
Mambo ya kijiweni haya.Najua kuliko wewe .. jiulize mbona mwakinyo walizuie begi lake uingereza yaani wanaamini ushirikina we kijana wa kweny vumbi huamini😂😂😂..kajifunze muulize mkubwa kwenu hili swali we hujui kitu.
Yes boss it's like Favour of the fittestSurvive of the fittest..
#MaendeleoHayanaChama
Bado hujajitambua 😂😂😂Mambo ya kijiweni haya.
Ni bora achukue maghorofa yote tu. Mmeachiwa urithi mnashindwa kutumia majengo kuzalisha pesa, mnakuja kulialia hapa JF?TAJIRI WA KARIAKOO AJULIKANAYE KAMA PRIMI MUSHI KUNUNUA NA KUTAPELI NYUMBA ZA WATU K/KOO NA MAENEO MENGINE NCHIN YUKO NYUMA YA NAN?
Wanabodi kama uzi ulivyokaa hapo juu huyu ni mfanyabiashara wa vitengee karikoo lkn speed yake ya kuwafua watu nyumba K/Koo inatisha yuko nyuma ya nani ?
Kwasasa anamiliki zaidi ghorofa 10 Karikoo na nyumba za chini za kumwaga hapa miezi miwili iliyopita Maulid Kitenge alirusha habar mzee mmoja wa K/Koo akilalamika kutapeliwa ghorofa yenye floor 7 mtaa wa Nyamwezi na Narungombe je ni haki mtu kuchukua ghorofa K/Koo kwa deni la billion 1 je, Mushi yuko juu ya sheria?
Je, nyumba alochukua Kipata na Congo ni haki embu jamani tuangalie sisi wanyonge twende wapi
Hapana Ni mchaga wa kibosho Hilo jina mmasai wamempachika tu ameuza mtumba sana tu kwenye minada ya shinyanga kabla hajaenda Dar na kutusua maishaKuringe ni Masai
Kabisa huku kukopakwetu ndokunatugharimuSANATatizo mnakopa, mnaweka rehani hati zenu kwa makubaliano msipolipa linachukuliwa...
Hakuna atayekusaidia hapa, kama umeonewa nenda mahakamani