Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

Hizi zilikuwa dili pendwa za Marijani Msofe aka Papaa Msofe na mwezie Alex Massawe

Mkono wa JPM ulimnasa Papaa Msofe akafunguliwa mashtaka, ila Mamá alipoingia madarakani akafutiwa mashtaka,, yupo mtaani anajipanga kuendeleza alipoishia
Msilolijua hawa jamaa wana mbinu kali sana, mtazungushana mahakani sana lkn hutapata ushahidi uliokamilika wa kuwafunga jela, rejea kesi ya rugemalila hata wangemuweka jela miaka 100 hawakua na ushahidi kamili wa kumfunga ndio maana magu alikua akitumia mbinu ya nipe kiasi flani nkuachie huru lkn rugemalila aligoma kutoa hata mia yule seth akatoa ela akaachiwa,
Ndio maana samia alisema kuna kesi nyingi tu zipo mahakani lkn uwezekano wa serikali kushinda ni mdogo sana, na takwimu zilisema 60% ya kesi serikali iliangukia pua ndio maana akasema hakuna haja ya kua na kesi za ushahidi wa kufikirika.



Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
 
Naona soon huko watu na ma legend wa kko kama wakina Mohamed Said wote watahamishwa huko

Ova
 
Naona soon huko watu na ma legend wa kko kama wakina Mohamed Said wote watahamishwa huko

Ova
Ukiendekeza shida utatoka ila kama ni king'ang'anizi hakuna wa kukutoa ila Mungu peke yake. Wazawa wengi hawana mishe za kueleweka hapo K/koo , shida zikiwa nyingi na pesa huna ni lazima uuze tu ufafute chocho lingine....sasa mtu anakuletea 3-4B umuachie jengo ,kwann usitoke ukafanye maisha sehemu nyingine?
 
hisa na makapuni mbalim
mkuu sio watu wote waliouza nyumba wamechoka familia ya john rupia wanauza nyumba shemeji zake warioba wameuza nyumba kwa mchgga masasi na ndanda
 
Mzawa SABA GENERAL MZARAMO YULE naona kakomaa kwerikweri

Ova
 
Kama njia kuelekea Victoria watu walikunja mpk 4bln wakasepa
Wakawaachia wengine washushe maghorofa

Ova
 
saba generl ni mchagga mkuu wako wawili mzaramo ni salama bearings hawa saba general kwa biashara ya spareparts kwa k/koo wanatisha sana ss hiv ndio mawakala pikipiki za sanlg na hardwre za BN
HAPO kwenye spare nako wachagga wamedomidate kama akina kidia spareparts, abc spareparts,hai agency,nk nk
 
Matapeli wa Nyumba za kariakoo kuna huyo na Kuringe Mushi hawa jamaa wana undugu ? Wote ni Mushi na wote ni matapeli wakubwa wa nyumba za wajane na wafu serikali inawaangalia bila kufanya chochote
 


Hiyo ya kujenga kwa Mikataba ndio wanapopigiwa mkataba ukiisha Mara nyingi hao matapeli uwa hawataki kukabidhi nyumba Za watu
 
alikuwepo jamaa anaitwa kuringe alipoingia magufuli alikimbia kwenda moshi ndio mwenye red stones club huyu p mushi wkt wa magufuli alikuwa kimya alipokufa anapandisha n=magorofa kama matatu kwa pamoja jiwe alikuwa yuko sahihi kuwachukia hawa jamaa


Huyu Kuringe ni Jambazi sugu , alienda kudhulumu Moshi kwa wachaga wenzie shamba lenye Makabuli kwa Kua lipo bara barani

Kwa Mila za kichaga alichokutana nacho alikimbia shamba
 
Huyu Kuringe ni Jambazi sugu , alienda kudhulumu Moshi kwa wachaga wenzie shamba lenye Makabuli kwa Kua lipo bara barani

Kwa Mila za kichaga alichokutana nacho alikimbia shamba
.makaburi ya karanga ni ya wachaga? wachaga wanazikwaga migombani hayoo ni makaburi ya waswahili.


jamaa kiboko kawatapeli kariakoo adi nyumba za marehemu anatapeli.
 
huwez kuchukua nyuma yenye zaid ya dhamani billion 14 kwa billion moja huyu jamaa kapewa stop order na mahakama lkn kadharau na wanaolalamika ni wengi kutapeliwa na huyu jamaa
Kwanini wasiende benki kukopa badala ya kwenda kwa Mushi ili hali Wana dhamana halali
 
.makaburi ya karanga ni ya wachaga? wachaga wanazikwaga migombani hayoo ni makaburi ya waswahili.


jamaa kiboko kawatapeli kariakoo adi nyumba za marehemu anatapeli.


Hiyo ni Migombani shamba la familia lenye makabuli na nyumba za familia sio karanga

Wameshafanya matambiko Mengi wana familia kwenye hilo eneo mabibi na mababu enzi na Enzi kilichomkuta alikimbia akaacha shamba la watu
 

Ndio kawaida Yao , halafu darasa la saba wametoka kibosho miguu imeliwa na funza sana wanaenda ku tapeli watoto wa down town

Hao watoto wakikomaa nae watashinda case Kuringe Mwepesi , ameshindwa case nyingi za utapeli anategemea Uchawi na alikua anapata back up ya mstaafu kamanda sirro kumpa back up ya kuwatishia aliowadhulumu

Watafute vielelezo waende kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa au kinana wapate Msaada hao ndio watu ninaowaamini wamenyooka
 
Wanazunguka kuchukua hela na wewe unatoa kweli ? Bila ndugu bila kiongozi wao ? Hapo wakigeuka wakaenda Mahakamani unashindwa case mchana kweupe

Na hawazunguki na wanadanganywa na hao hao matapeli
 
Ni kweli si umeona kwa watoto wa marehemu mzee Mengi wameshindwa kuwa matajiri kama Mo dewji.
Nani amekwambia wale ni Maskini au kwa kua hawafanyi show off za kwenye mitandao

Pamoja na kuelemewa na Case Company zinasonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…