luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Hahaha vyasaka wanahahaHuwa pesa halali ni chache sana kwenye biashara. Usijisumbue kujua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha vyasaka wanahahaHuwa pesa halali ni chache sana kwenye biashara. Usijisumbue kujua
Msilolijua hawa jamaa wana mbinu kali sana, mtazungushana mahakani sana lkn hutapata ushahidi uliokamilika wa kuwafunga jela, rejea kesi ya rugemalila hata wangemuweka jela miaka 100 hawakua na ushahidi kamili wa kumfunga ndio maana magu alikua akitumia mbinu ya nipe kiasi flani nkuachie huru lkn rugemalila aligoma kutoa hata mia yule seth akatoa ela akaachiwa,Hizi zilikuwa dili pendwa za Marijani Msofe aka Papaa Msofe na mwezie Alex Massawe
Mkono wa JPM ulimnasa Papaa Msofe akafunguliwa mashtaka, ila Mamá alipoingia madarakani akafutiwa mashtaka,, yupo mtaani anajipanga kuendeleza alipoishia
Naona soon huko watu na ma legend wa kko kama wakina Mohamed Said wote watahamishwa hukomkinga mwenye nyumba au gorofa nyingi ni kodetic aliyugua uson na nyumba zake nyingi kanunua kwa mchagga wa rising kimbori mfano juzi kamuuzia nyumba billion 7 mtaaa wa manyema nyuma ya club ya simba kaenda mwanza kaenda kuwavua watu nyumba kama uchafu
Ukiendekeza shida utatoka ila kama ni king'ang'anizi hakuna wa kukutoa ila Mungu peke yake. Wazawa wengi hawana mishe za kueleweka hapo K/koo , shida zikiwa nyingi na pesa huna ni lazima uuze tu ufafute chocho lingine....sasa mtu anakuletea 3-4B umuachie jengo ,kwann usitoke ukafanye maisha sehemu nyingine?
mkuu sio watu wote waliouza nyumba wamechoka familia ya john rupia wanauza nyumba shemeji zake warioba wameuza nyumba kwa mchgga masasi na ndandaUkiendekeza shida utatoka ila kama ni king'ang'anizi hakuna wa kukutoa ila Mungu peke yake. Wazawa wengi hawana mishe za kueleweka hapo K/koo , shida zikiwa nyingi na pesa huna ni lazima uuze tu ufafute chocho lingine....sasa mtu anakuletea 3-4B umuachie jengo ,kwann usitoke ukafanye maisha sehemu nyingine?
Mzawa SABA GENERAL MZARAMO YULE naona kakomaa kwerikweriUkiendekeza shida utatoka ila kama ni king'ang'anizi hakuna wa kukutoa ila Mungu peke yake. Wazawa wengi hawana mishe za kueleweka hapo K/koo , shida zikiwa nyingi na pesa huna ni lazima uuze tu ufafute chocho lingine....sasa mtu anakuletea 3-4B umuachie jengo ,kwann usitoke ukafanye maisha sehemu nyingine?
Kama njia kuelekea Victoria watu walikunja mpk 4bln wakasepaUkiendekeza shida utatoka ila kama ni king'ang'anizi hakuna wa kukutoa ila Mungu peke yake. Wazawa wengi hawana mishe za kueleweka hapo K/koo , shida zikiwa nyingi na pesa huna ni lazima uuze tu ufafute chocho lingine....sasa mtu anakuletea 3-4B umuachie jengo ,kwann usitoke ukafanye maisha sehemu nyingine?
saba generl ni mchagga mkuu wako wawili mzaramo ni salama bearings hawa saba general kwa biashara ya spareparts kwa k/koo wanatisha sana ss hiv ndio mawakala pikipiki za sanlg na hardwre za BNMzawa SABA GENERAL MZARAMO YULE naona kakomaa kwerikweri
Ova
HAPO kwenye spare nako wachagga wamedomidate kama akina kidia spareparts, abc spareparts,hai agency,nk nksaba generl ni mchagga mkuu wako wawili mzaramo ni salama bearings hawa saba general kwa biashara ya spareparts kwa k/koo wanatisha sana ss hiv ndio mawakala pikipiki za sanlg na hardwre za BN
IDD SIMBA akiwa waziri wakati wa mkapa alikuja na sera ya uzawa kwa wanadar es salaam wenyeji wa mji huu haza wazarao kuwa na mikakati ya kujenga magorofa k/koo kwa mikopo yetu wenyewe au kujengesha kwa mkataba ili kuwazuia wachagga lkn ndugu zangu hawakusikia na kumwita simba mbanguz
alikuwepo jamaa anaitwa kuringe alipoingia magufuli alikimbia kwenda moshi ndio mwenye red stones club huyu p mushi wkt wa magufuli alikuwa kimya alipokufa anapandisha n=magorofa kama matatu kwa pamoja jiwe alikuwa yuko sahihi kuwachukia hawa jamaa
.makaburi ya karanga ni ya wachaga? wachaga wanazikwaga migombani hayoo ni makaburi ya waswahili.Huyu Kuringe ni Jambazi sugu , alienda kudhulumu Moshi kwa wachaga wenzie shamba lenye Makabuli kwa Kua lipo bara barani
Kwa Mila za kichaga alichokutana nacho alikimbia shamba
Kuringe ana mkataba gani wa kitapeli?
Kwanini wasiende benki kukopa badala ya kwenda kwa Mushi ili hali Wana dhamana halalihuwez kuchukua nyuma yenye zaid ya dhamani billion 14 kwa billion moja huyu jamaa kapewa stop order na mahakama lkn kadharau na wanaolalamika ni wengi kutapeliwa na huyu jamaa
.makaburi ya karanga ni ya wachaga? wachaga wanazikwaga migombani hayoo ni makaburi ya waswahili.
jamaa kiboko kawatapeli kariakoo adi nyumba za marehemu anatapeli.
Hao wachaga ni washenzi na matapeli sana walishamtapeli mzee wa kizaramo nyumba hapo mtaa wa aggrey, mzee alisainishwa mkataba mwaka 2005 kuwa mchaga ataichukia nyumba kujenga fremu za maduka na mzee atakuwa akilopwa shilingi milioni moja kila mwaka! Kwa muda wa miaka 10, ila mzee.alipokuwa na shida alikuwa akimfata mchaga anampa pesa huku anamuandika kwenye daftari lake ,mwisho mzee anakuja kuambiwa kuwa kashapewa milioni 56. Mchaga akarudi na mkataba mwingine kumwambia mzee kuwa anataka kuibomoa nyumba ajenge ghorofa ila atampa floor mbili na maduka mawili chini ila cha ajabu baada ya kumaliza ujenzi hakuna chochote ambacho mzee aliambulia, sasa hivi mzee kashafariki na mchaga amejimilikisha jumla cuz mzee alimkabidhi hati ya ntumba kama dhamana kila alipokuwa na shida ya pesa. Wanawe wamejaribu kufuatilia lakini wapi wanaishia kuzungushwa tu. Mzee mwenyewe alisainishwa mkataba wa kutia sahihi ya dole gumba maana alikuwa hajui kuandika
Wanazunguka kuchukua hela na wewe unatoa kweli ? Bila ndugu bila kiongozi wao ? Hapo wakigeuka wakaenda Mahakamani unashindwa case mchana kweupeKarakoram ni sehemu ya pilika
Maisha ya kukaa vibarazani kuanzia asubuhi mpaka jioni huko kadri inavyozidi kusogea inapungua
Kariako ishakuwa sehemu ya mishemishe
Ila waambie ndg zenu wawe makini wanapo ingia mikataba na kwenye kundi ya watoto kuna wengine huwa wanawazunguka wenzao wanachkua pesa kwenda kufanyia mambo yao kama kufunga ndoa,kulipia miziki ikeshe
Ova
Nani amekwambia wale ni Maskini au kwa kua hawafanyi show off za kwenye mitandaoNi kweli si umeona kwa watoto wa marehemu mzee Mengi wameshindwa kuwa matajiri kama Mo dewji.