Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

Nani amekwambia wale ni Maskini au kwa kua hawafanyi show off za kwenye mitandao

Pamoja na kuelemewa na Case Company zinasonga
Kuna sehemu nimeandika watoto wa Mengi ni masikini?
 
Wengi wanamadawa hao hizo Dili alikuwa nao Babu Sombeki wa Pale Moshi. Hata akikukopesha shilingi 1000 hutaweza rudisha hadi achukue Mali zako. Mungu atusaidie kwa kweli.
Kwa nini mkope pesa nyingi hivyo kwa MTU binafsi c muende bank ,
Dawa ya deni siku zote hua ni kulipa

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 

Dar es Salaam-based multimillionaire Hans Macha gains $1.5 million from stake in CRDB Bank​

Hans Macha.
Tanzania’s leading banking group, CRDB Bank Plc, has returned impressive gains to shareholders and proved to be one of the best performing stocks on the Dar es Salaam Stock Exchange.

Among these fortunate shareholders are the renowned Rajabali brothers and Hans Macha, a reclusive businessman who owns a stakes in the lender worth more than $5 million.

According to data obtained by Billionaires.Africa, Macha, who owns a fractional 1.25-percent stake in the bank, has seen the market value of his shareholding rise by Tsh3.6 billion ($1.55 million) since the start of 2022 due to a double-digit increase in the CRDB share price on the bourse.

Shares in the Tanzanian banking group were trading at Tsh390 ($0.167) as of press time, unchanged from their opening price at the start of trading, as investors continue to closely monitor macroeconomic data and market-wide sentiment on the Dar es Salaam Stock Exchange.

CRDB shares have risen 39.3 percent since the beginning of the year, from Tsh280 ($0.121) per share on Dec. 31 to Tsh390 ($0.167) at the time of writing.

The increase in the bank’s valuation can be attributed to investor reactions to the bank’s stellar performance in the first quarter of 2022, when profit exceeded Tsh90 billion ($38 million).

The market value of Macha’s 1.25-percent stake in the bank has increased by Tsh3.6 billion ($1.55 million) as a result of the surge in the bank’s share price, from Tsh9.17 billion ($3.93 million) at the start of the year to Tsh12.78 billion ($5.48 million) at the time of writing this report.

The increase in the market value of his shareholding solidifies Macha’s position as one of the Dar es Salaam Stock Exchange’s wealthiest investors. His equity positions in publicly traded companies also include a two-percent stake in Maendeleo Bank, a leading financial institution in Tanzania that provides banking products and services to micro, small, and medium-sized business owners.
 
Habari imekaa kimajungu, haina facts ina umbea tu
 
Kama kesi haijaenda MAHAKAMANI au imeshaenda MAHAKAMANI nitakusaidia kupitia mkuuu!!!!Tuwasiliane ndugu yangu
 
Dawa ya deni kulipa kama ulimkopa lazma ulipe

Hivi inaingiaje akilini mtu aje tu buana jengo hilo kuanzia sasa langu? Na anapataje nyaraka?
Matapeli wengine nyaraka wanazichomoa Bank ki Mchongo na watu wa Bank wasio waaminifu na kuwapa matapeli kwa ujira mdogo sana,hasa hii inatokea mwenye Mali anapofariki!!
 
Hao G7 inaonyesha ni hatari
 
Manyumba yote hayo hayana maana. Kwa nini ameamua kudhulumu kibanda cha biashara Mbezi Makonde karibu na Police Post? Ninashawishika kuamini kuwa Kuringe utajiri wake ni USHIRIKINA kwa kuwa hata yeye hana raha na mafedha yote aliyonayo
 
Primu Mushi ana utajiri wa majini tu. Ndiyo maana mwanaye mmoja wa kike ni zombie
 
Mambo haya huishia mpaka damu ya mtu au watu imwagike.

Mmesahau ya kina Ndama ana AM?

AM sasa katubu, kajisalimisha kwa Muumba wake:

 
Tatizo mnakopa, mnaweka rehani hati zenu kwa makubaliano msipolipa linachukuliwa...

Hakuna atayekusaidia hapa, kama umeonewa nenda mahakamani
Baadhi ya watanzania ni wajinga sana wakiona mtu anasonga mbele kutajirika heti yuko nyuma ya nani?kweli wanaenda wenyewe kukopa na kuweka hati hizo pesa wanatumbua mala mjengo unaenda watu wanashidwa kufahamu nguvu ya kiuchumi waliyonayo wachaka kwa tz hii kwa wabatu hakuna kabila linalo tia mguu
 
huwez kuchukua nyuma yenye zaid ya dhamani billion 14 kwa billion moja huyu jamaa kapewa stop order na mahakama lkn kadharau na wanaolalamika ni wengi kutapeliwa na huyu jamaa
Wapumbavu tangu lini masikini akashinda na tajiri?walie tu
 
Kwanini sasa nyie wenye nyumba mnaweka nyumba ya billion 14 kwenye mkopo wa billion 1 ambayo pia mnashindwa kuilipa??
Baadhi ya wamiliki wa majengo kariakoo walilithi hawa jui thamani ya pesa wala nyumba nyumba nyingi za familia wanakopa wanaanza biashara wakidhani biashara kila mtu anaweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…