jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Kuna sehemu nimeandika watoto wa Mengi ni masikini?Nani amekwambia wale ni Maskini au kwa kua hawafanyi show off za kwenye mitandao
Pamoja na kuelemewa na Case Company zinasonga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna sehemu nimeandika watoto wa Mengi ni masikini?Nani amekwambia wale ni Maskini au kwa kua hawafanyi show off za kwenye mitandao
Pamoja na kuelemewa na Case Company zinasonga
Kwa nini mkope pesa nyingi hivyo kwa MTU binafsi c muende bank ,Wengi wanamadawa hao hizo Dili alikuwa nao Babu Sombeki wa Pale Moshi. Hata akikukopesha shilingi 1000 hutaweza rudisha hadi achukue Mali zako. Mungu atusaidie kwa kweli.
Triple MMushi/Msoffe/Massawe= matapeli
Ila hajawaibia, ananunua.watu kama hawapo juu ni matycoon wanaotishia k/koo mtu kama herman woisoo wa woisoo original keshamaliza mtaa wa kipata
Umekurupuka shimoni nini Mkuu. Uzi wa Mwezi wa 9 wewe unakuja niqoute mwezi wa 10. Alafu mimi nimekopa wapi mkuu? Yameshapita hayo mkuuKwa nini mkope pesa nyingi hivyo kwa MTU binafsi c muende bank ,
Dawa ya deni siku zote hua ni kulipa
Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Mkuu saba general ni mchaggaMzawa SABA GENERAL MZARAMO YULE naona kakomaa kwerikweri
Ova
Habari imekaa kimajungu, haina facts ina umbea tuTAJIRI WA KARIAKOO AJULIKANAYE KAMA PRIMI MUSHI KUNUNUA NA KUTAPELI NYUMBA ZA WATU K/KOO NA MAENEO MENGINE NCHIN YUKO NYUMA YA NAN?
Wanabodi kama uzi ulivyokaa hapo juu huyu ni mfanyabiashara wa vitengee karikoo lkn speed yake ya kuwafua watu nyumba K/Koo inatisha yuko nyuma ya nani ?
Kwasasa anamiliki zaidi ghorofa 10 Karikoo na nyumba za chini za kumwaga hapa miezi miwili iliyopita Maulid Kitenge alirusha habar mzee mmoja wa K/Koo akilalamika kutapeliwa ghorofa yenye floor 7 mtaa wa Nyamwezi na Narungombe je ni haki mtu kuchukua ghorofa K/Koo kwa deni la billion 1 je, Mushi yuko juu ya sheria?
Je, nyumba alochukua Kipata na Congo ni haki embu jamani tuangalie sisi wanyonge twende wapi
Kama kesi haijaenda MAHAKAMANI au imeshaenda MAHAKAMANI nitakusaidia kupitia mkuuu!!!!Tuwasiliane ndugu yanguTAJIRI WA KARIAKOO AJULIKANAYE KAMA PRIMI MUSHI KUNUNUA NA KUTAPELI NYUMBA ZA WATU K/KOO NA MAENEO MENGINE NCHIN YUKO NYUMA YA NAN?
Wanabodi kama uzi ulivyokaa hapo juu huyu ni mfanyabiashara wa vitengee karikoo lkn speed yake ya kuwafua watu nyumba K/Koo inatisha yuko nyuma ya nani ?
Kwasasa anamiliki zaidi ghorofa 10 Karikoo na nyumba za chini za kumwaga hapa miezi miwili iliyopita Maulid Kitenge alirusha habar mzee mmoja wa K/Koo akilalamika kutapeliwa ghorofa yenye floor 7 mtaa wa Nyamwezi na Narungombe je ni haki mtu kuchukua ghorofa K/Koo kwa deni la billion 1 je, Mushi yuko juu ya sheria?
Je, nyumba alochukua Kipata na Congo ni haki embu jamani tuangalie sisi wanyonge twende wapi
Hati aliipata wapi hadi akamuuzia hiyo Nyumba!!?massawe tumbo namjua vizuri mkuu ndio mwenye valentino na ndio primi anasema amemuuzia nyumba yetu
Matapeli wengine nyaraka wanazichomoa Bank ki Mchongo na watu wa Bank wasio waaminifu na kuwapa matapeli kwa ujira mdogo sana,hasa hii inatokea mwenye Mali anapofariki!!Dawa ya deni kulipa kama ulimkopa lazma ulipe
Hivi inaingiaje akilini mtu aje tu buana jengo hilo kuanzia sasa langu? Na anapataje nyaraka?
Hao G7 inaonyesha ni hatariPole LDA company...and Associate....
..Mna Bahati sana kukutana na Primi..angalau ana utu
..Mngekutana na Tumbo (najua unajua naongea nn) mngejuta
..Mna bahati pia Macha (Hans) amefilisika
..uombe MUNGU sana na kuringe (Masai) kahamia moshi ila kanunua corner bar na unaiona ilivyo...
Ushukuru Mzee Asenga MUNGU Alimchukua (wa King Palace)
Na Ole wenu Mzee Kacheli wa Mti Mmoja angekuwepo
Wewe na wenzio hamuwajui wakibosho....hawa kina primi na kina Kiria ni kizazi cha kistaarabu mno...
Ungekutana na kina mzee Kidumbuyo mallya ungejinyonga...
Hawa kina Beda kileo wanawachekea mnakaa kwa uhuru...
LDA... wewe na mzee wako mngekua mmetangulia mbele za haki...nenda muulize gharib na kaka yake said watakueleza huyo Alex Massawe na msofe Hapo kariakoo walinyanyua mkono...bro...
Unawajua G7? Je unawajua KuDa?
Je ukikutana na kina mama wakina sinyaa wa vipodozi we si utawehuka...
Makoi wa mwika je...wanalipa hela ya clearing na tax 2b kama wanacheza...
Bro hiyo ni premier league....
Lala upumzike mpeni primi 1.7 b mpewe mali yenu,kuna mfipa mmoja pale karibu na city style sinza alirudisha hela akarudishiwa ghorofa lake bro...primi ana nyumba hapa dar hazipungui 250 pale mwenge ghorofa ni lake mikocheni ana ghorofa kama nane....
Bado mna bahati sana...pambaneni nyumba za benki hazina lawama benki zinawaita wenyewe..sijui kwann hakwenda na Tumbo swahiba wake...mngenyooka...pole sana mkuu
Manyumba yote hayo hayana maana. Kwa nini ameamua kudhulumu kibanda cha biashara Mbezi Makonde karibu na Police Post? Ninashawishika kuamini kuwa Kuringe utajiri wake ni USHIRIKINA kwa kuwa hata yeye hana raha na mafedha yote aliyonayoPole LDA company...and Associate....
..Mna Bahati sana kukutana na Primi..angalau ana utu
..Mngekutana na Tumbo (najua unajua naongea nn) mngejuta
..Mna bahati pia Macha (Hans) amefilisika
..uombe MUNGU sana na kuringe (Masai) kahamia moshi ila kanunua corner bar na unaiona ilivyo...
Ushukuru Mzee Asenga MUNGU Alimchukua (wa King Palace)
Na Ole wenu Mzee Kacheli wa Mti Mmoja angekuwepo
Wewe na wenzio hamuwajui wakibosho....hawa kina primi na kina Kiria ni kizazi cha kistaarabu mno...
Ungekutana na kina mzee Kidumbuyo mallya ungejinyonga...
Hawa kina Beda kileo wanawachekea mnakaa kwa uhuru...
LDA... wewe na mzee wako mngekua mmetangulia mbele za haki...nenda muulize gharib na kaka yake said watakueleza huyo Alex Massawe na msofe Hapo kariakoo walinyanyua mkono...bro...
Unawajua G7? Je unawajua KuDa?
Je ukikutana na kina mama wakina sinyaa wa vipodozi we si utawehuka...
Makoi wa mwika je...wanalipa hela ya clearing na tax 2b kama wanacheza...
Bro hiyo ni premier league....
Lala upumzike mpeni primi 1.7 b mpewe mali yenu,kuna mfipa mmoja pale karibu na city style sinza alirudisha hela akarudishiwa ghorofa lake bro...primi ana nyumba hapa dar hazipungui 250 pale mwenge ghorofa ni lake mikocheni ana ghorofa kama nane....
Bado mna bahati sana...pambaneni nyumba za benki hazina lawama benki zinawaita wenyewe..sijui kwann hakwenda na Tumbo swahiba wake...mngenyooka...pole sana mkuu
Primu Mushi ana utajiri wa majini tu. Ndiyo maana mwanaye mmoja wa kike ni zombieOgopa ujinga na njaa/shida
Wanasema shida haina adabu.
Unaweza uza Gari la million 50 Kwa bei ya milioni 10 kisa shida.
Mtoa mada inaonekana walikabiliwa na shida Fulani sasa wakawa wanahitaji pesa za haraka
Mungu akawasaidia kukutana na Mushi, wakachekeana na kumshukuru alivyowapa mkopo😀😀 wakaandikishana na kuekeana mkataba, wakasema haina shida 😂😂 tutajulia mbele Huko ilimdi shida yetu Kwa sasa imepata Sawa.
Unaambiwa walimshukuru Sana huyo Mushi.
Licha ya mushi kuwaambia na kusisitiza mmesoma vizuri mkataba, wakasema ndio.
Muda wa marejesho😂😂😂
Mushi mbaya
Mushi Tapeli
Mushi arudi kwao Moshi😀
Baadhi ya watanzania ni wajinga sana wakiona mtu anasonga mbele kutajirika heti yuko nyuma ya nani?kweli wanaenda wenyewe kukopa na kuweka hati hizo pesa wanatumbua mala mjengo unaenda watu wanashidwa kufahamu nguvu ya kiuchumi waliyonayo wachaka kwa tz hii kwa wabatu hakuna kabila linalo tia mguuTatizo mnakopa, mnaweka rehani hati zenu kwa makubaliano msipolipa linachukuliwa...
Hakuna atayekusaidia hapa, kama umeonewa nenda mahakamani
Wapumbavu tangu lini masikini akashinda na tajiri?walie tuhuwez kuchukua nyuma yenye zaid ya dhamani billion 14 kwa billion moja huyu jamaa kapewa stop order na mahakama lkn kadharau na wanaolalamika ni wengi kutapeliwa na huyu jamaa
Baadhi ya wamiliki wa majengo kariakoo walilithi hawa jui thamani ya pesa wala nyumba nyumba nyingi za familia wanakopa wanaanza biashara wakidhani biashara kila mtu anawezaKwanini sasa nyie wenye nyumba mnaweka nyumba ya billion 14 kwenye mkopo wa billion 1 ambayo pia mnashindwa kuilipa??