Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

Wengi wanamadawa hao hizo Dili alikuwa nao Babu Sombeki wa Pale Moshi. Hata akikukopesha shilingi 1000 hutaweza rudisha hadi achukue Mali zako. Mungu atusaidie kwa kweli.
Tutasingizia uchawi bule wengi wetu biashara hatuwezi mfano mtu anakopa pesa kuanzisha biashara tena hasio ijui kisa kaona watu wanafanya wengine wanakopa kupeleka watoto shule kwa mkumbo kwa ukopaji huo huo mkopa utaludishaje?kama sio kuchukuliwa nyumba
 
Na probably walihamisha deni
 
Utasema yote we twende tu
 
Yaani unaghorofa kariakoo ya daslamu alafu unajiita wewe mnyonge!?
 
Lkn kama kanunua nakuwalipa hakuna tabu haki imetendeka
 
Miaka 60? Mbona umewapendelea na kuwapa miaka mingi sana kaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…