25000q
JF-Expert Member
- Dec 27, 2022
- 4,805
- 3,762
Hilo nalo ntatizo ukizingatia nyumba nyingi dar za urithi za familia hawajue biashara wala nini wanakulupuka mitaji inakufaUnakopa hujui biashara unafikili mchanga atakuacha !!??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo nalo ntatizo ukizingatia nyumba nyingi dar za urithi za familia hawajue biashara wala nini wanakulupuka mitaji inakufaUnakopa hujui biashara unafikili mchanga atakuacha !!??
Tutasingizia uchawi bule wengi wetu biashara hatuwezi mfano mtu anakopa pesa kuanzisha biashara tena hasio ijui kisa kaona watu wanafanya wengine wanakopa kupeleka watoto shule kwa mkumbo kwa ukopaji huo huo mkopa utaludishaje?kama sio kuchukuliwa nyumbaWengi wanamadawa hao hizo Dili alikuwa nao Babu Sombeki wa Pale Moshi. Hata akikukopesha shilingi 1000 hutaweza rudisha hadi achukue Mali zako. Mungu atusaidie kwa kweli.
Yakujitakia hayana majuto. Hata akienda mahakamani atashindwa kesi hiyo. Walishakubaliana kwa hiari wakati wanakopeshana.Ukikopa lipa deni kamath mkataba unavyotaka iwe.
Hapa hakuna kesi zaidi wakati nae awaongezee kidogo achukue nyumba mala nyingi nyumba za urithi upotea kwa njia hiyo kulipukaChief kaeni kama familia muende mahakamani kama kweli mnaamini mmedhulumiwa.
Mkataba wenu unasema hivyo?au malipo ona pesa akili zikawatoka ukizingatia nyumba hamkujenga nyie mlilirithikulikuwa na tatizo la kifamilia tukahitaji mkopo wa fasta na mubaliano achukue baadhi ya fremu ili ajilipe
Huyu tumbo ndiye ambaye mtt wake amemuoa mtt wa kiria juzi kati hapa sherehe ikafanyika mcity aisee sendoff pamoja na harusi zilikuwa 🔥🔥🔥🔥🔥..Mngekutana na Tumbo (najua unajua naongea nn) mngejuta
Mwanae yupi huyo acha uongo wanae wote wapo vizuri hadi upstairsPrimu Mushi ana utajiri wa majini tu. Ndiyo maana mwanaye mmoja wa kike ni zombie
Na probably walihamisha deniHamko serios, yaani tatizo la kifamilia mkope 1b? Hiyo hela lazima ingewashinda kulipa tu maana hiyo mtakuwa mliitumbua kwa bata huku mkiwa mmeweka rehani jengo...!
Hiyo 1b maana yake haikuingia kwenye biashara badala yake mlitatulia tatizo na chenchi mkamwagilia moyo.... mngewezaje kulipa? Msitafute huruma wakati mlikoroga nyie!
Sema alikuwa mchaga. Ila sasa ni marehemu, COVID-19 ilipita naye kizembe mwaka 2021Mkuu saba general ni mchagga
Huyu msichana huwezi kumjua kwa vile hatoki nyumbani. Ndiye anayevuta mahelaMwanae yupi huyo acha uongo wanae wote wapo vizuri hadi upstairs
Utasema yote we twende tujuzi waziri wa fedha mwingulu nchemba kawaita wafanyabiasha wote wa kichagga waliopo k/koo usiku serena na kuwaimbia mama yupo pamoja naa hukuna sehem hatujaenda lkn hatusikilizwi cha ajabu mpaka tra wanamkingia kifua kwasababu nyumba zake nyingi kuna branch za benk na juu kafanya magodown wkt sheria hairusuu kuweka godonwn ktk ya mji
Sio kweli. Hiv kwanini wanaume siku hiz mnakuwa waongo sana. Inakusaidia nini sasa.Huyu msichana huwezi kumjua kwa vile hatoki nyumbani. Ndiye anayevuta mahela
We kama hatoki nyumbani umemwonea wapi sasa?Huyu msichana huwezi kumjua kwa vile hatoki nyumbani. Ndiye anayevuta mahela
Yaani unaghorofa kariakoo ya daslamu alafu unajiita wewe mnyonge!?TAJIRI WA KARIAKOO AJULIKANAYE KAMA PRIMI MUSHI KUNUNUA NA KUTAPELI NYUMBA ZA WATU K/KOO NA MAENEO MENGINE NCHIN YUKO NYUMA YA NAN?
Wanabodi kama uzi ulivyokaa hapo juu huyu ni mfanyabiashara wa vitengee karikoo lkn speed yake ya kuwafua watu nyumba K/Koo inatisha yuko nyuma ya nani ?
Kwasasa anamiliki zaidi ghorofa 10 Karikoo na nyumba za chini za kumwaga hapa miezi miwili iliyopita Maulid Kitenge alirusha habar mzee mmoja wa K/Koo akilalamika kutapeliwa ghorofa yenye floor 7 mtaa wa Nyamwezi na Narungombe je ni haki mtu kuchukua ghorofa K/Koo kwa deni la billion 1 je, Mushi yuko juu ya sheria?
Je, nyumba alochukua Kipata na Congo ni haki embu jamani tuangalie sisi wanyonge twende wapi
Lkn kama kanunua nakuwalipa hakuna tabu haki imetendekaTAJIRI WA KARIAKOO AJULIKANAYE KAMA PRIMI MUSHI KUNUNUA NA KUTAPELI NYUMBA ZA WATU K/KOO NA MAENEO MENGINE NCHIN YUKO NYUMA YA NAN?
Wanabodi kama uzi ulivyokaa hapo juu huyu ni mfanyabiashara wa vitengee karikoo lkn speed yake ya kuwafua watu nyumba K/Koo inatisha yuko nyuma ya nani ?
Kwasasa anamiliki zaidi ghorofa 10 Karikoo na nyumba za chini za kumwaga hapa miezi miwili iliyopita Maulid Kitenge alirusha habar mzee mmoja wa K/Koo akilalamika kutapeliwa ghorofa yenye floor 7 mtaa wa Nyamwezi na Narungombe je ni haki mtu kuchukua ghorofa K/Koo kwa deni la billion 1 je, Mushi yuko juu ya sheria?
Je, nyumba alochukua Kipata na Congo ni haki embu jamani tuangalie sisi wanyonge twende wapi
Miaka 60? Mbona umewapendelea na kuwapa miaka mingi sana kaka?Siku zetu za kuishi ni miaka 70 ikizidi 80,mtu unaiba manyumba ya watu,kana kwamba utaishi nayo milele,mbaya zaidi hata ukija yaacha Kwa laana iliyopo huja kupotea tu Kwa jinsi yoyote,kizazi chako hugeuka cha walevi,Malaya na mabaya yote mwishowe Mali na nyie wote mnaangamia and the all wealth turn O. This is within 60 coming years.