Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

Wengi wanamadawa hao hizo Dili alikuwa nao Babu Sombeki wa Pale Moshi. Hata akikukopesha shilingi 1000 hutaweza rudisha hadi achukue Mali zako. Mungu atusaidie kwa kweli.
Tutasingizia uchawi bule wengi wetu biashara hatuwezi mfano mtu anakopa pesa kuanzisha biashara tena hasio ijui kisa kaona watu wanafanya wengine wanakopa kupeleka watoto shule kwa mkumbo kwa ukopaji huo huo mkopa utaludishaje?kama sio kuchukuliwa nyumba
 
Hamko serios, yaani tatizo la kifamilia mkope 1b? Hiyo hela lazima ingewashinda kulipa tu maana hiyo mtakuwa mliitumbua kwa bata huku mkiwa mmeweka rehani jengo...!
Hiyo 1b maana yake haikuingia kwenye biashara badala yake mlitatulia tatizo na chenchi mkamwagilia moyo.... mngewezaje kulipa? Msitafute huruma wakati mlikoroga nyie!
Na probably walihamisha deni
 
juzi waziri wa fedha mwingulu nchemba kawaita wafanyabiasha wote wa kichagga waliopo k/koo usiku serena na kuwaimbia mama yupo pamoja naa hukuna sehem hatujaenda lkn hatusikilizwi cha ajabu mpaka tra wanamkingia kifua kwasababu nyumba zake nyingi kuna branch za benk na juu kafanya magodown wkt sheria hairusuu kuweka godonwn ktk ya mji
Utasema yote we twende tu
 
TAJIRI WA KARIAKOO AJULIKANAYE KAMA PRIMI MUSHI KUNUNUA NA KUTAPELI NYUMBA ZA WATU K/KOO NA MAENEO MENGINE NCHIN YUKO NYUMA YA NAN?

Wanabodi kama uzi ulivyokaa hapo juu huyu ni mfanyabiashara wa vitengee karikoo lkn speed yake ya kuwafua watu nyumba K/Koo inatisha yuko nyuma ya nani ?

Kwasasa anamiliki zaidi ghorofa 10 Karikoo na nyumba za chini za kumwaga hapa miezi miwili iliyopita Maulid Kitenge alirusha habar mzee mmoja wa K/Koo akilalamika kutapeliwa ghorofa yenye floor 7 mtaa wa Nyamwezi na Narungombe je ni haki mtu kuchukua ghorofa K/Koo kwa deni la billion 1 je, Mushi yuko juu ya sheria?

Je, nyumba alochukua Kipata na Congo ni haki embu jamani tuangalie sisi wanyonge twende wapi
Yaani unaghorofa kariakoo ya daslamu alafu unajiita wewe mnyonge!?
 
Lkn kama kanunua nakuwalipa hakuna tabu haki imetendeka
 
Siku zetu za kuishi ni miaka 70 ikizidi 80,mtu unaiba manyumba ya watu,kana kwamba utaishi nayo milele,mbaya zaidi hata ukija yaacha Kwa laana iliyopo huja kupotea tu Kwa jinsi yoyote,kizazi chako hugeuka cha walevi,Malaya na mabaya yote mwishowe Mali na nyie wote mnaangamia and the all wealth turn O. This is within 60 coming years.
Miaka 60? Mbona umewapendelea na kuwapa miaka mingi sana kaka?
 
Back
Top Bottom