Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

Nimekuambia kuwa binti yake ndiyo mtambo wa hela kama huamini sikulazimishi. Ila ukisoma posts za watu kuanzia mwanzo utagundua kuwa analipa hela kati ya saa 12 jioni na usiku. Jiulize kwa nini?

Kama ni juhudi basi jaribu na wewe kama utamfikia
Huna akili mimi nimekaa kkoo na nimefanya biashara kkoo nawajua wauza vitenge wote pamoja ni mushi acha uboya wewe kama umeuza mali ya urithi tulia imeenda hiyo
 
Sema alikuwa mchaga. Ila sasa ni marehemu, COVID-19 ilipita naye kizembe mwaka 2021
SABA ni muungano wa majina ya partners wawili mmoja yuko hai...hao jamaa utajiri wao hapo kariakoo hakuna wa kuwafikia hata nusu,arusha wana ghorofa 3,kariakoo najua zaidi ya 4....mbezi african lile ghorofa kubwa la vioo pembeni lina boa bank lakwao
 
Naomba niulize nikiweka nyumba collateral bank naruhusiwa kuiuza niwalipe bank ? Na kilichobaki nibaki nacho. Dunia imevaa kimini mjinga ndio mtaji wa mwenye mali.
Mazalau , wahuni lazima pindisha , siko apa nikutake nikusaidie maa hata mie sikusaidiwa na mtu , mazalau ipo siku mtajuta
 
Huna akili
Kwenye upuuzi kama huu unahtaji akili gan. Mi huyo hao watu unaowasema nimekuwa nao kwenye biashara hapo kkoo Zaid ya miaka 30. Hakuna hata njembe ya ukweli ulichosema. Japo najua kuwa tajiri kwa TZ ujiandae kupewa jina lolote kutoka kwa wavivu.
 
Mangi hapo anawapiga changa la macho wakopaji......huu mchezo wanao sana kina mangi na wababaishaji wengi hapa mjini. Utakuta mangi anamkopesha pesa kiasi fulani mtu hapo hapo anampiga bumbuwazi ili asikumbuke kulipa deni mwisho wa siku anataifisha ghorofa lake Kariakoo ama nyumba huku mitaani.
 
Kwenye upuuzi kama huu unahtaji akili gan. Mi huyo hao watu unaowasema nimekuwa nao kwenye biashara hapo kkoo Zaid ya miaka 30. Hakuna hata njembe ya ukweli ulichosema. Japo najua kuwa tajiri kwa TZ ujiandae kupewa jina lolote kutoka kwa wavivu.

Kwenye upuuzi kama huu unahtaji akili gan. Mi huyo hao watu unaowasema nimekuwa nao kwenye biashara hapo kkoo Zaid ya miaka 30. Hakuna hata njembe ya ukweli ulichosema. Japo najua kuwa tajiri kwa TZ ujiandae kupewa jina lolote kutoka kwa wavivu.
Nilikua namjibu huihui2
 
Waswahili huko wanachukuachukua pesa ili wafanyie shuguli,sherehe,vibeseni nk
Bila kuweka rekodi badaye wanakuja lalamika wanaumizwa

Ova
 
Ngoja nipate pesa kwanza nitakuja kujisalimisha huko mbeleni[emoji848]
 
Taarifa yako haijitoshelezi sie kuchangia
 
Umesahau na Mpepo Bar hii ilikuwa pale mtaa wa Nyamwezi na Donge hapo ilipo Cathe Hotel.

Lakini DDC Kariakoo nayo si ilikuwa Bar?mbona hujaitaja au kwa sababu ilimilikiwa na umma ninyi mkiwepo?
 
Hii dawa yakumkopesha mtu ili ukichukue alichoweka zamana ninayo.
Em acha mambo yako mzee!

Kwanini utake kumkopesha mtu ili tu umchukulie vitu vyake vya thamani kwani unafikiri yeye alishindwa kuviuza apate hiyo hela?acheni dhulma na kama kweli unafanya hii michezo nakusihi iache,tuishi kwa haki.
 
Umesahau na Mpepo Bar hii ilikuwa pale mtaa wa Nyamwezi na Donge hapo ilipo Cathe Hotel.

Lakini DDC Kariakoo nayo si ilikuwa Bar?mbona hujaitaja au kwa sababu ilimilikiwa na umma ninyi mkiwepo?
Mzee Hugo Kissima ni tajiri tokea ujana wake..ndio mwenye safari Jewellers,Safari Resort kimara tokea miaka ya sabini ndio mwenye Hugoz Moshi Mjini...Yule mzee ni Mkax na ana hela balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…