Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

Nimekuambia kuwa binti yake ndiyo mtambo wa hela kama huamini sikulazimishi. Ila ukisoma posts za watu kuanzia mwanzo utagundua kuwa analipa hela kati ya saa 12 jioni na usiku. Jiulize kwa nini?

Kama ni juhudi basi jaribu na wewe kama utamfikia
Huna akili mimi nimekaa kkoo na nimefanya biashara kkoo nawajua wauza vitenge wote pamoja ni mushi acha uboya wewe kama umeuza mali ya urithi tulia imeenda hiyo
 
Sema alikuwa mchaga. Ila sasa ni marehemu, COVID-19 ilipita naye kizembe mwaka 2021
SABA ni muungano wa majina ya partners wawili mmoja yuko hai...hao jamaa utajiri wao hapo kariakoo hakuna wa kuwafikia hata nusu,arusha wana ghorofa 3,kariakoo najua zaidi ya 4....mbezi african lile ghorofa kubwa la vioo pembeni lina boa bank lakwao
 
Naomba niulize nikiweka nyumba collateral bank naruhusiwa kuiuza niwalipe bank ? Na kilichobaki nibaki nacho. Dunia imevaa kimini mjinga ndio mtaji wa mwenye mali.
Mazalau , wahuni lazima pindisha , siko apa nikutake nikusaidie maa hata mie sikusaidiwa na mtu , mazalau ipo siku mtajuta
 
Huna akili
Kwenye upuuzi kama huu unahtaji akili gan. Mi huyo hao watu unaowasema nimekuwa nao kwenye biashara hapo kkoo Zaid ya miaka 30. Hakuna hata njembe ya ukweli ulichosema. Japo najua kuwa tajiri kwa TZ ujiandae kupewa jina lolote kutoka kwa wavivu.
 
Mangi hapo anawapiga changa la macho wakopaji......huu mchezo wanao sana kina mangi na wababaishaji wengi hapa mjini. Utakuta mangi anamkopesha pesa kiasi fulani mtu hapo hapo anampiga bumbuwazi ili asikumbuke kulipa deni mwisho wa siku anataifisha ghorofa lake Kariakoo ama nyumba huku mitaani.
 
Kwenye upuuzi kama huu unahtaji akili gan. Mi huyo hao watu unaowasema nimekuwa nao kwenye biashara hapo kkoo Zaid ya miaka 30. Hakuna hata njembe ya ukweli ulichosema. Japo najua kuwa tajiri kwa TZ ujiandae kupewa jina lolote kutoka kwa wavivu.

Kwenye upuuzi kama huu unahtaji akili gan. Mi huyo hao watu unaowasema nimekuwa nao kwenye biashara hapo kkoo Zaid ya miaka 30. Hakuna hata njembe ya ukweli ulichosema. Japo najua kuwa tajiri kwa TZ ujiandae kupewa jina lolote kutoka kwa wavivu.
Nilikua namjibu huihui2
 
Waswahili huko wanachukuachukua pesa ili wafanyie shuguli,sherehe,vibeseni nk
Bila kuweka rekodi badaye wanakuja lalamika wanaumizwa

Ova
 
Mambo haya huishia mpaka damu ya mtu au watu imwagike.

Mmesahau ya kina Ndama ana AM?

AM sasa katubu, kajisalimisha kwa Muumba wake:

Ngoja nipate pesa kwanza nitakuja kujisalimisha huko mbeleni[emoji848]
 
Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu K/koo na maeneo mengine nchin yuko nyuma ya nan?

Wanabodi kama uzi ulivyokaa hapo juu huyu ni mfanyabiashara wa vitengee Karikoo lkn speed yake ya kuwafua watu nyumba K/Koo inatisha yuko nyuma ya nani?

Kwasasa anamiliki zaidi ghorofa 10 Karikoo na nyumba za chini za kumwaga hapa miezi miwili iliyopita Maulid Kitenge alirusha habar mzee mmoja wa K/Koo akilalamika kutapeliwa ghorofa yenye floor 7 mtaa wa Nyamwezi na Narungombe je ni haki mtu kuchukua ghorofa K/Koo kwa deni la billion 1 je, Mushi yuko juu ya sheria?

Je, nyumba alochukua Kipata na Congo ni haki embu jamani tuangalie sisi wanyonge twende wapi
Taarifa yako haijitoshelezi sie kuchangia
 
massawe tumbo anajenga gorofa kwenye kiwanja cha mjane likoma na masasi bila ruhusa ya mahakama na fremu zote zmeshakuliwa bila nyumba kuisha halafu usema unajua kutafuta
alemuzia emma nyumba alimuambia akijenga gorofa asiweke bar na kamari lkn kawapangisha cleoptra casino na galsport
kabla wachagga k/koo walikuwa wanaishi wastraabu hakuna bar wala makari lkn nyumba zao zote zin bar na kamari bar ya kwanza ilijegwa na mchagga hugo kisima mtaaa livingstone zikikaja frontline bar new vunjo nk nk na sasa emmma ndio dealer wa bia na pombe kali wilaya yote ya ilala na fursa hii wameitumia baada ya wapemba na waarabu kukataa makubuni ya betting kupangisha nyumba zao so ya makapuni ya na tafuta nyumba za wachagga kkoo
Umesahau na Mpepo Bar hii ilikuwa pale mtaa wa Nyamwezi na Donge hapo ilipo Cathe Hotel.

Lakini DDC Kariakoo nayo si ilikuwa Bar?mbona hujaitaja au kwa sababu ilimilikiwa na umma ninyi mkiwepo?
 
Hii dawa yakumkopesha mtu ili ukichukue alichoweka zamana ninayo.
Em acha mambo yako mzee!

Kwanini utake kumkopesha mtu ili tu umchukulie vitu vyake vya thamani kwani unafikiri yeye alishindwa kuviuza apate hiyo hela?acheni dhulma na kama kweli unafanya hii michezo nakusihi iache,tuishi kwa haki.
 
Umesahau na Mpepo Bar hii ilikuwa pale mtaa wa Nyamwezi na Donge hapo ilipo Cathe Hotel.

Lakini DDC Kariakoo nayo si ilikuwa Bar?mbona hujaitaja au kwa sababu ilimilikiwa na umma ninyi mkiwepo?
Mzee Hugo Kissima ni tajiri tokea ujana wake..ndio mwenye safari Jewellers,Safari Resort kimara tokea miaka ya sabini ndio mwenye Hugoz Moshi Mjini...Yule mzee ni Mkax na ana hela balaa
 
Back
Top Bottom