Bitoz Jobiso
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 925
- 1,202
Huna akili mimi nimekaa kkoo na nimefanya biashara kkoo nawajua wauza vitenge wote pamoja ni mushi acha uboya wewe kama umeuza mali ya urithi tulia imeenda hiyoNimekuambia kuwa binti yake ndiyo mtambo wa hela kama huamini sikulazimishi. Ila ukisoma posts za watu kuanzia mwanzo utagundua kuwa analipa hela kati ya saa 12 jioni na usiku. Jiulize kwa nini?
Kama ni juhudi basi jaribu na wewe kama utamfikia