Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
WEKA VIELELEZO HAPA USAIDIWE ACHA KUZUNGUKA MBUYU,JE BAADA YA KUPOKEA PESA MLIFANYA MAREJESHO YOYOTE MAANA REKODI YA MAREJESHO INAWEZA KUKULINDA.juzi waziri wa fedha mwingulu nchemba kawaita wafanyabiasha wote wa kichagga waliopo k/koo usiku serena na kuwaimbia mama yupo pamoja naa hukuna sehem hatujaenda lkn hatusikilizwi cha ajabu mpaka tra wanamkingia kifua kwasababu nyumba zake nyingi kuna branch za benk na juu kafanya magodown wkt sheria hairusuu kuweka godonwn ktk ya mji
huwez kuchukua nyuma yenye zaid ya dhamani billion 14 kwa billion moja huyu jamaa kapewa stop order na mahakama lkn kadharau na wanaolalamika ni wengi kutapeliwa na huyu jamaa
Unachosema kweli kuna jamaa Alphard ilienda kwa milioni 4 alipewa mahela machafu jamaa aliyatoa ndani tu sijawahi ona mahela machafu kama yale duuuh.Company inaenda kukopa kwa Mushi fedha si zipo bank na wanabembeleza hizo hela tunaita za moto kwa jinsi riba yake ilivyo ni ngumu sana kuilipa na hao jamaa wanakopesha Cash hawaweki hela bank huku mganga wake ashaifanyia kazi yeye anashukuru ninyi kushindwa kumlipa ili achukue mali yenu...
Weka hapa mkataba usaidiwe HATAKI.Inawezekana Kabisa.
Wewe ndio hujui mambo ya biashara na sheria.
Umekopa mwenyewe, umepewa mkataba mkakubaliana, Wala haukuitwa wala kulazimishwa, alafu uone umetapeliwa.
Hata Rasilimali zetu za nchi mbona ndivyo zinavyochukuliwa na Wazungu hivyohivyo.
Ogopa kitu inaitwa mkataba
kulikuwa na tatizo la kifamilia tukahitaji mkopo wa fasta na mubaliano achukue baadhi ya fremu ili ajilipe
Weka hapa mkataba usaidiwe HATAKI.
Basi mlipe hiyo hela yake usitusumbuehuwez kuchukua nyuma yenye zaid ya dhamani billion 14 kwa billion moja huyu jamaa kapewa stop order na mahakama lkn kadharau na wanaolalamika ni wengi kutapeliwa na huyu jamaa
Toa ujinga wako hapa yaani ukope bilioni zaidi ya moja halafu uweke ghorofa kama dhamana uje utupigie kelele hapa ,TAJIRI WA KARIAKOO AJULIKANAYE KAMA PRIMI MUSHI KUNUNUA NA KUTAPELI NYUMBA ZA WATU K/KOO NA MAENEO MENGINE NCHIN YUKO NYUMA YA NAN?
Wanabodi kama uzi ulivyokaa hapo juu huyu ni mfanyabiashara wa vitengee karikoo lkn speedd yake ya kuwafua watu nyumba k/koo inatisha yuko nyuma ya nani ?kwasasa anamiliki zaidi gorofa 10 karikoo na nyumba za chin za kumwaga hapa miezi miwili iliyopita maulid kitenge alirusha habar mzee mmoja wa k/koo akilalamika kutapeliwa gorrofa yenye floor 7 mtaa wa nyamwezi na narungombe je ni haki mtu kuchukua gorofa k/koo kwa deni la billion 1 je mushi yuko juu ya sheria? je nyumba alochukua kipata na congo ni haki embu jamani tuangalie sis wanyonge twende wap
Jenga wewe ukopeshe ivyoKwa dhamana ya jengo la ghorofa 7 kariakoo inabidi mkopo usiwe chini ya bilioni 10, ili hata ukishindwa kulipa sio mbaya
Kuna nguvu za Giza haswa kwa watu wanaoweka pesa ndani yaani million 100 anaweka ndani ,unakopeshwa izo pesa hamna kitu utaenda fanyia na ukiingiza kweny mzunguko wa biashara unaimaliza kabisa mpaka inafika deadline huna hata mia utajibeba tu ...mikopo Ina laana ya ushetani ndani yakeUnachosema kweli kuna jamaa Alphard ilienda kwa milioni 4 alipewa mahela machafu jamaa aliyatoa ndani tu sijawahi ona mahela machafu kama yale duuuh.
Alafu unatumia account ya kampuni kuna kulalamikia individual, what a failed company!juzi waziri wa fedha mwingulu nchemba kawaita wafanyabiasha wote wa kichagga waliopo k/koo usiku serena na kuwaimbia mama yupo pamoja naa hukuna sehem hatujaenda lkn hatusikilizwi cha ajabu mpaka tra wanamkingia kifua kwasababu nyumba zake nyingi kuna branch za benk na juu kafanya magodown wkt sheria hairusuu kuweka godonwn ktk ya mji
alikuwepo jamaa anaitwa kuringe alipoingia magufuli alikimbia kwenda moshi ndio mwenye red stones club huyu p mushi wkt wa magufuli alikuwa kimya alipokufa anapandisha n=magorofa kama matatu kwa pamoja jiwe alikuwa yuko sahihi kuwachukia hawa jamaaItakuwa yaleyale ya akina Alex Masawe na Pedeshe (PDG) Ndama.
Unakopa pesa kwao halafu dhamana inakuwa nyumba mnawekeana na deadline,muda wa kulipa ukifika wanakukwepa ili muda upite wachukue nyumba kwa bei ya kashata.
Kwayo Waziri ndio mahakama!?Hili suala afikishiwe waziri wa ujenzi n.k. kila mtu apate haki yake, dhuluma hapana
Unachoandika wala hukijui, mushi au maarufu kwa brand Mr UK alinunua nyumba hiyo kwa mnada kutoka Bank baada ya msimazi wa mirathi kukopa deni na kushindwa kulipa. Kosa Lake nini hapo?huwez kuchukua nyuma yenye zaid ya dhamani billion 14 kwa billion moja huyu jamaa kapewa stop order na mahakama lkn kadharau na wanaolalamika ni wengi kutapeliwa na huyu jamaa
Huwezi kuwa tajiri kwa kumchukia tajiri, badili mtazamo wako utateseka sana na wachagaalikuwepo jamaa anaitwa kuringe alipoingia magufuli alikimbia kwenda moshi ndio mwenye red stones club huyu p mushi wkt wa magufuli alikuwa kimya alipokufa anapandisha n=magorofa kama matatu kwa pamoja jiwe alikuwa yuko sahihi kuwachukia hawa jamaa
Sehemu sahihi ya kukopa huwa ni benkikulikuwa na tatizo la kifamilia tukahitaji mkopo wa fasta na mubaliano achukue baadhi ya fremu ili ajilipe
rudini moshi kwani humwezi kujenga huko moshi hadi hapa darHuwezi kuwa tajiri kwa kumchukia tajiri, badili mtazamo wako utateseka sana na wachaga
kumbe akili hauna ndio maana mmepigwa za usorudini moshi kwani humwezi kujenga huko moshi hadi hapa dar
alikuwepo kuringe, morio na macha ndio wachagga wamenunua nyumba nyingi kariakoo na kujengesha kwa mikataba ya kitapeli wazair simba wa viwanda na biashara katuita wazawa k/koo diamond jublee kututaka tusiuze nyumba zetu lkn ndugu zangu wazaromo hawakusikia sasa kuna mitaa inaitwa kibosho kariakoo