Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
WEKA VIELELEZO HAPA USAIDIWE ACHA KUZUNGUKA MBUYU,JE BAADA YA KUPOKEA PESA MLIFANYA MAREJESHO YOYOTE MAANA REKODI YA MAREJESHO INAWEZA KUKULINDA.juzi waziri wa fedha mwingulu nchemba kawaita wafanyabiasha wote wa kichagga waliopo k/koo usiku serena na kuwaimbia mama yupo pamoja naa hukuna sehem hatujaenda lkn hatusikilizwi cha ajabu mpaka tra wanamkingia kifua kwasababu nyumba zake nyingi kuna branch za benk na juu kafanya magodown wkt sheria hairusuu kuweka godonwn ktk ya mji
UNANIA YA KULIPA ISPOKUWA UMEKWAMA KUTOKANA NA HALI YA KIUCHUMI HIVYO UNAOMBA UONGEZEWE MUDA WA KUKAMILISHA DENI.