Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

juzi waziri wa fedha mwingulu nchemba kawaita wafanyabiasha wote wa kichagga waliopo k/koo usiku serena na kuwaimbia mama yupo pamoja naa hukuna sehem hatujaenda lkn hatusikilizwi cha ajabu mpaka tra wanamkingia kifua kwasababu nyumba zake nyingi kuna branch za benk na juu kafanya magodown wkt sheria hairusuu kuweka godonwn ktk ya mji
WEKA VIELELEZO HAPA USAIDIWE ACHA KUZUNGUKA MBUYU,JE BAADA YA KUPOKEA PESA MLIFANYA MAREJESHO YOYOTE MAANA REKODI YA MAREJESHO INAWEZA KUKULINDA.
UNANIA YA KULIPA ISPOKUWA UMEKWAMA KUTOKANA NA HALI YA KIUCHUMI HIVYO UNAOMBA UONGEZEWE MUDA WA KUKAMILISHA DENI.
 
huwez kuchukua nyuma yenye zaid ya dhamani billion 14 kwa billion moja huyu jamaa kapewa stop order na mahakama lkn kadharau na wanaolalamika ni wengi kutapeliwa na huyu jamaa

Inawezekana Kabisa.

Wewe ndio hujui mambo ya biashara na sheria.

Umekopa mwenyewe, umepewa mkataba mkakubaliana, Wala haukuitwa wala kulazimishwa, alafu uone umetapeliwa.

Hata Rasilimali zetu za nchi mbona ndivyo zinavyochukuliwa na Wazungu hivyohivyo.

Ogopa kitu inaitwa mkataba
 
Company inaenda kukopa kwa Mushi fedha si zipo bank na wanabembeleza hizo hela tunaita za moto kwa jinsi riba yake ilivyo ni ngumu sana kuilipa na hao jamaa wanakopesha Cash hawaweki hela bank huku mganga wake ashaifanyia kazi yeye anashukuru ninyi kushindwa kumlipa ili achukue mali yenu...
Unachosema kweli kuna jamaa Alphard ilienda kwa milioni 4 alipewa mahela machafu jamaa aliyatoa ndani tu sijawahi ona mahela machafu kama yale duuuh.
 
Inawezekana Kabisa.

Wewe ndio hujui mambo ya biashara na sheria.

Umekopa mwenyewe, umepewa mkataba mkakubaliana, Wala haukuitwa wala kulazimishwa, alafu uone umetapeliwa.

Hata Rasilimali zetu za nchi mbona ndivyo zinavyochukuliwa na Wazungu hivyohivyo.

Ogopa kitu inaitwa mkataba
Weka hapa mkataba usaidiwe HATAKI.
 
kulikuwa na tatizo la kifamilia tukahitaji mkopo wa fasta na mubaliano achukue baadhi ya fremu ili ajilipe

Poleni Sana.

Mmeshamaliza shida zenu sasa mnataka nimpe shida aliyewasaidia mkopo.😀😀

Bakini kwenye Mkataba wenu.

Kama anakiuka mkataba Basi ni Tapeli kama hakiuki basi Acha achue hata magorofa yote nchi nzima Kwa watu wajinga
 
Weka hapa mkataba usaidiwe HATAKI.

Hawa ni zile type za watu wakija kukopa wanakuja mikono nyuma wanalia alafu ukiwapa pesa shida zao zikiisha wanaanza kuleta usumbufu usio na lazima sasa wamekutana na wahuni wenzao wasiocheka na Kima.

Hawa dawa Yao ndio kama hii, weka kitu rehani ukishindwa kulipa Kwa muda mliokubaliana unachukua kitu hicho.
 
Itakuwa yaleyale ya akina Alex Masawe na Pedeshe (PDG) Ndama.

Unakopa pesa kwao halafu dhamana inakuwa nyumba mnawekeana na deadline,muda wa kulipa ukifika wanakukwepa ili muda upite wachukue nyumba kwa bei ya kashata.
 
TAJIRI WA KARIAKOO AJULIKANAYE KAMA PRIMI MUSHI KUNUNUA NA KUTAPELI NYUMBA ZA WATU K/KOO NA MAENEO MENGINE NCHIN YUKO NYUMA YA NAN?
Wanabodi kama uzi ulivyokaa hapo juu huyu ni mfanyabiashara wa vitengee karikoo lkn speedd yake ya kuwafua watu nyumba k/koo inatisha yuko nyuma ya nani ?kwasasa anamiliki zaidi gorofa 10 karikoo na nyumba za chin za kumwaga hapa miezi miwili iliyopita maulid kitenge alirusha habar mzee mmoja wa k/koo akilalamika kutapeliwa gorrofa yenye floor 7 mtaa wa nyamwezi na narungombe je ni haki mtu kuchukua gorofa k/koo kwa deni la billion 1 je mushi yuko juu ya sheria? je nyumba alochukua kipata na congo ni haki embu jamani tuangalie sis wanyonge twende wap
Toa ujinga wako hapa yaani ukope bilioni zaidi ya moja halafu uweke ghorofa kama dhamana uje utupigie kelele hapa ,
Pumbav unawajua wanyonge wewe ?
 
Unachosema kweli kuna jamaa Alphard ilienda kwa milioni 4 alipewa mahela machafu jamaa aliyatoa ndani tu sijawahi ona mahela machafu kama yale duuuh.
Kuna nguvu za Giza haswa kwa watu wanaoweka pesa ndani yaani million 100 anaweka ndani ,unakopeshwa izo pesa hamna kitu utaenda fanyia na ukiingiza kweny mzunguko wa biashara unaimaliza kabisa mpaka inafika deadline huna hata mia utajibeba tu ...mikopo Ina laana ya ushetani ndani yake
 
juzi waziri wa fedha mwingulu nchemba kawaita wafanyabiasha wote wa kichagga waliopo k/koo usiku serena na kuwaimbia mama yupo pamoja naa hukuna sehem hatujaenda lkn hatusikilizwi cha ajabu mpaka tra wanamkingia kifua kwasababu nyumba zake nyingi kuna branch za benk na juu kafanya magodown wkt sheria hairusuu kuweka godonwn ktk ya mji
Alafu unatumia account ya kampuni kuna kulalamikia individual, what a failed company!
 
Itakuwa yaleyale ya akina Alex Masawe na Pedeshe (PDG) Ndama.

Unakopa pesa kwao halafu dhamana inakuwa nyumba mnawekeana na deadline,muda wa kulipa ukifika wanakukwepa ili muda upite wachukue nyumba kwa bei ya kashata.
alikuwepo jamaa anaitwa kuringe alipoingia magufuli alikimbia kwenda moshi ndio mwenye red stones club huyu p mushi wkt wa magufuli alikuwa kimya alipokufa anapandisha n=magorofa kama matatu kwa pamoja jiwe alikuwa yuko sahihi kuwachukia hawa jamaa
 
huwez kuchukua nyuma yenye zaid ya dhamani billion 14 kwa billion moja huyu jamaa kapewa stop order na mahakama lkn kadharau na wanaolalamika ni wengi kutapeliwa na huyu jamaa
Unachoandika wala hukijui, mushi au maarufu kwa brand Mr UK alinunua nyumba hiyo kwa mnada kutoka Bank baada ya msimazi wa mirathi kukopa deni na kushindwa kulipa. Kosa Lake nini hapo?
Watoto wa kiswahili wapumbavu wanakopa wananunua subaru na kula bata nyumba zinaenda tu
 
alikuwepo jamaa anaitwa kuringe alipoingia magufuli alikimbia kwenda moshi ndio mwenye red stones club huyu p mushi wkt wa magufuli alikuwa kimya alipokufa anapandisha n=magorofa kama matatu kwa pamoja jiwe alikuwa yuko sahihi kuwachukia hawa jamaa
Huwezi kuwa tajiri kwa kumchukia tajiri, badili mtazamo wako utateseka sana na wachaga
 
alikuwepo kuringe, morio na macha ndio wachagga wamenunua nyumba nyingi kariakoo na kujengesha kwa mikataba ya kitapeli wazair simba wa viwanda na biashara katuita wazawa k/koo diamond jublee kututaka tusiuze nyumba zetu lkn ndugu zangu wazaromo hawakusikia sasa kuna mitaa inaitwa kibosho kariakoo

Kuringe ana mkataba gani wa kitapeli?
 
Back
Top Bottom