LDA COMPANY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 340
- 622
- Thread starter
- #121
hawa jamaa wakibosho ni hatari kwa kuwa kiu ya kutapelia nyumba za watuNimepiga kambi hapa nasubiri habari za kariakoo .lete manenoo ( in JK voice)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawa jamaa wakibosho ni hatari kwa kuwa kiu ya kutapelia nyumba za watuNimepiga kambi hapa nasubiri habari za kariakoo .lete manenoo ( in JK voice)
vituo vyote vya polis k/koo wanapinga ndangi wao na posho za mafutaHivi bunduki na risasi ni adimu sana kutumika nchi hii kwenye uonevu na dhuluma, kwenye jambo kama hili mahakama ya nini? I don't do the fakafaka oyo. Mnada uza tupeane chenji other than that no way, flash you out with my shortiiii.
Nakusoma sana ujinga ni mbaya sana , lakn wajinga siku zote hujiona Wana haki flani
We jamaaa una chuki sana yani chuki yako ni kiwango cha juu mno. Sio vizuri hivyo unachukia wachaga mno sio sawa wale ni ndg zetu pia.sheria ya mabenk inataka shareholders wawe mchanganyiko lkn wachagga wameanzisha bank kama kikao cha ukoo nenda maendeleo bank ya lutheran mashareholders ni asilimia tisini wamachame hii sio fair kabisa
wewe huwajui wakibosho wewe kwanza wanavyama vyeje nguvu sana vikao vya votina ni hatari ndio maana kule manyara vipigwa ban na mnyeti magufuli alikuwa sahihiOgopa ujinga na njaa/shida
Wanasema shida haina adabu.
Unaweza uza Gari la million 50 Kwa bei ya milioni 10 kisa shida.
Mtoa mada inaonekana walikabiliwa na shida Fulani sasa wakawa wanahitaji pesa za haraka
Mungu akawasaidia kukutana na Mushi, wakachekeana na kumshukuru alivyowapa mkopo😀😀 wakaandikishana na kuekeana mkataba, wakasema haina shida 😂😂 tutajulia mbele Huko ilimdi shida yetu Kwa sasa imepata Sawa.
Unaambiwa walimshukuru Sana huyo Mushi.
Licha ya mushi kuwaambia na kusisitiza mmesoma vizuri mkataba, wakasema ndio.
Muda wa marejesho😂😂😂
Mushi mbaya
Mushi Tapeli
Mushi arudi kwao Moshi😀
Hakuna mtu anayeshindikana na serikali bruhhuyu tumekuja kuchunguza ni moja ya elite family huko moshi ameshindikana mpaka na serekali ndio mafounders wa akiba commercila bank nyumba zake zote sina mabranch ya hii bank shareholders wake asilimia tisini point tisa ni wachagga kinyume na sheria wakina anna mkapa,elizabeth minde,eng mark njiu,eng david mosha,ernest massawe,raymond mboya,eng joseph chuwa n.k n.k
Sheria gani inakataza majority shareholders Kwny Co kua wachaga?huyu tumekuja kuchunguza ni moja ya elite family huko moshi ameshindikana mpaka na serekali ndio mafounders wa akiba commercila bank nyumba zake zote sina mabranch ya hii bank shareholders wake asilimia tisini point tisa ni wachagga kinyume na sheria wakina anna mkapa,elizabeth minde,eng mark njiu,eng david mosha,ernest massawe,raymond mboya,eng joseph chuwa n.k n.k
Sasa wewe unawajua kwanini ulienda kuwakopa??wewe huwajui wakibosho wewe kwanza wanavyama vyeje nguvu sana vikao vya votina ni hatari ndio maana kule manyara vipigwa ban na mnyeti magufuli alikuwa sahihi
Hakuna hio sheria aiseeesheria ya mabenk inataka shareholders wawe mchanganyiko lkn wachagga wameanzisha bank kama kikao cha ukoo nenda maendeleo bank ya lutheran mashareholders ni asilimia tisini wamachame hii sio fair kabisa
Kutokulipa Deni imegeuka dhulma?Leo ndo nimegundua Kwa nini wachaga wakizeeka wanafirisika au wakifa Mali zao ni migogoro mitupu...
Kumbe wanadhulumu watu...
Kwa nini wasiijenge hiyo Moshi yao
Pole LDA company...and Associate....
..Mna Bahati sana kukutana na Primi..angalau ana utu
..Mngekutana na Tumbo (najua unajua naongea nn) mngejuta
..Mna bahati pia Macha (Hans) amefilisika
..uombe MUNGU sana na kuringe (Masai) kahamia moshi ila kanunua corner bar na unaiona ilivyo...
Ushukuru Mzee Asenga MUNGU Alimchukua (wa King Palace)
Na Ole wenu Mzee Kacheli wa Mti Mmoja angekuwepo
Wewe na wenzio hamuwajui wakibosho....hawa kina primi na kina Kiria ni kizazi cha kistaarabu mno...
Ungekutana na kina mzee Kidumbuyo mallya ungejinyonga...
Hawa kina Beda kileo wanawachekea mnakaa kwa uhuru...
LDA... wewe na mzee wako mngekua mmetangulia mbele za haki...nenda muulize gharib na kaka yake said watakueleza huyo Alex Massawe na msofe Hapo kariakoo walinyanyua mkono...bro...
Unawajua G7? Je unawajua KuDa?
Je ukikutana na kina mama wakina sinyaa wa vipodozi we si utawehuka...
Makoi wa mwika je...wanalipa hela ya clearing na tax 2b kama wanacheza...
Bro hiyo ni premier league....
Lala upumzike mpeni primi 1.7 b mpewe mali yenu,kuna mfipa mmoja pale karibu na city style sinza alirudisha hela akarudishiwa ghorofa lake bro...primi ana nyumba hapa dar hazipungui 250 pale mwenge ghorofa ni lake mikocheni ana ghorofa kama nane....
Bado mna bahati sana...pambaneni nyumba za benki hazina lawama benki zinawaita wenyewe..sijui kwann hakwenda na Tumbo swahiba wake...mngenyooka...pole sana mkuu
Huyu ni mtu mmoja kugeneralize kuwa wachaga wote ni matapeli sio sawa.Hao wachaga ni washenzi na matapeli sana walishamtapeli mzee wa kizaramo nyumba hapo mtaa wa aggrey, mzee alisainishwa mkataba mwaka 2005 kuwa mchaga ataichukia nyumba kujenga fremu za maduka na mzee atakuwa akilopwa shilingi milioni moja kila mwaka! Kwa muda wa miaka 10, ila mzee.alipokuwa na shida alikuwa akimfata mchaga anampa pesa huku anamuandika kwenye daftari lake ,mwisho mzee anakuja kuambiwa kuwa kashapewa milioni 56. Mchaga akarudi na mkataba mwingine kumwambia mzee kuwa anataka kuibomoa nyumba ajenge ghorofa ila atampa floor mbili na maduka mawili chini ila cha ajabu baada ya kumaliza ujenzi hakuna chochote ambacho mzee aliambulia, sasa hivi mzee kashafariki na mchaga amejimilikisha jumla cuz mzee alimkabidhi hati ya ntumba kama dhamana kila alipokuwa na shida ya pesa. Wanawe wamejaribu kufuatilia lakini wapi wanaishia kuzungushwa tu. Mzee mwenyewe alisainishwa mkataba wa kutia sahihi ya dole gumba maana alikuwa hajui kuandika
Kawatapeli huku kawapa mikopo?huwez kuchukua nyuma yenye zaid ya dhamani billion 14 kwa billion moja huyu jamaa kapewa stop order na mahakama lkn kadharau na wanaolalamika ni wengi kutapeliwa na huyu jamaa
Wee jamaa Ni mpumbavu Sana,sheria ya mabenk inataka shareholders wawe mchanganyiko lkn wachagga wameanzisha bank kama kikao cha ukoo nenda maendeleo bank ya lutheran mashareholders ni asilimia tisini wamachame hii sio fair kabisa
Mimi ni Mzee wangu huyu acha kuwalisha watu Ndimuhuko moshi nako malalamiko ni mengi tanga zile nyumba pale mjini za ndugu zangu wadinggo na wabondei keshamaliza arusha mjini nako malalamiko ni mengi
Tulieni acheni uwongokulikuwa na tatizo la kifamilia tukahitaji mkopo wa fasta na mubaliano achukue baadhi ya fremu ili ajilipe
Umeelezea vzuri mnoOgopa ujinga na njaa/shida
Wanasema shida haina adabu.
Unaweza uza Gari la million 50 Kwa bei ya milioni 10 kisa shida.
Mtoa mada inaonekana walikabiliwa na shida Fulani sasa wakawa wanahitaji pesa za haraka
Mungu akawasaidia kukutana na Mushi, wakachekeana na kumshukuru alivyowapa mkopo[emoji3][emoji3] wakaandikishana na kuekeana mkataba, wakasema haina shida [emoji23][emoji23] tutajulia mbele Huko ilimdi shida yetu Kwa sasa imepata Sawa.
Unaambiwa walimshukuru Sana huyo Mushi.
Licha ya mushi kuwaambia na kusisitiza mmesoma vizuri mkataba, wakasema ndio.
Muda wa marejesho[emoji23][emoji23][emoji23]
Mushi mbaya
Mushi Tapeli
Mushi arudi kwao Moshi[emoji3]
Hans kafilisika? Mzee hao wote uliotakaja hapo hakunaanaemfikia. Usichokijua kaa kimyaPole LDA company...and Associate....