Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

Mbona tumeambiwa wachagga hawana hela wameajiriwa tra na serikalini?

Kwa nchi hii ukitoa wageni bado hakuna kabila linalowasogelea hao watu.
Hao wakinga wanaosakiziwa kimsingi bado Sana.

Hao jamaa kizazi Chao cha 80 Kurudi nyuma walikuwa makini Sana kwenye ishu ya kutafuta pesa.
Ila hawa wa 90 kuja mbele naona Kama wamezubaa kidogo
 
Ni issue ya IQ au janja janja tu
 
Hawa jamaa walichukua hela benk wameshindwa kurudisha mkopo benk imeuza nyumba yao kwa mnada. Akina mushi wakainunua hasemi ukweli. Na aliyechukua mkopo ni msimamiz wa mirathi bingwa so hiz stor zote haziwez kuwasaidia. Ooh wachagga wez cjui nini we unafikir itabadili ukweli. Umekuja huku maana unajua ukienda mahakaman huna msaada.ndio maana wenye akili zao wamekuambia leta mkataba unabaki kuruka ruka leta usaidiwe.

Kumbe ndio maana akaleta hoja ya shareholders wa baadhi ya mabenki ni wachagga,
 
Tatizo wengi management ya pesa Ni Changamoto,

Na wengi ukopa pesa za riba kupeleka kusolve kwenye matatizo, hazizalishi.

Ukifika wkt wa rejesho ukifika hujui hate uanzie wapi na pesa ishakata
Hili nakubali kuwa watu wengi hukopa ili kununua liabilities badala assets ambazo zitawaingizia pesa. Kopa pesa ili uendeleze biashara inayoendelea ili faida itakayopatikana ikusaidie kulipa deni.
 
Wakopaji wanasumbua sana.
Mie mwenyewe nakopesha.
Lakini cha moto nakiona.
Ninapata ushauri kutoka sehemu mbali mbali niwe nawaroga.
Nadhani wao wenyewe wakopaji ndo wanasababisha mpaka warogwe.
Harafu hizo hela hawatoi muda wowote wanatoa sana kuanzia jioni na usiku huku watoaji wakiwa na wenge la hatari...jamaangu ashawahi kopa hizo hela alipokuja kunipa story na hela hajazitumia nikamwambia mrudishie hizo hela daah kila akipigiwa simu hapokei maana alianza kwa kumwambia amepata hela anataka azirudishe zile kwanza akamwambia hata siku mbili alipe sijui na riba ya mwezi waliendeshana ila kwa muda kidogo mpaka kufikia makubaliano ya kupokea ile hela yake...yeye anasema kaiweke bank mlipaji anagoma mbona wewe ulikataa ishu ya bank yaani ndio akaja kuamini mambo ya watu kutumia ushirikina kwenye hizo hela gari yake ilikua inapotea..
 
Aseeehh..dunia hiii balaa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hao wachaga ni washenzi na matapeli sana walishamtapeli mzee wa kizaramo nyumba hapo mtaa wa aggrey, mzee alisainishwa mkataba mwaka 2005 kuwa mchaga ataichukia nyumba kujenga fremu za maduka na mzee atakuwa akilopwa shilingi milioni moja kila mwaka! Kwa muda wa miaka 10, ila mzee.alipokuwa na shida alikuwa akimfata mchaga anampa pesa huku anamuandika kwenye daftari lake ,mwisho mzee anakuja kuambiwa kuwa kashapewa milioni 56. Mchaga akarudi na mkataba mwingine kumwambia mzee kuwa anataka kuibomoa nyumba ajenge ghorofa ila atampa floor mbili na maduka mawili chini ila cha ajabu baada ya kumaliza ujenzi hakuna chochote ambacho mzee aliambulia, sasa hivi mzee kashafariki na mchaga amejimilikisha jumla cuz mzee alimkabidhi hati ya ntumba kama dhamana kila alipokuwa na shida ya pesa. Wanawe wamejaribu kufuatilia lakini wapi wanaishia kuzungushwa tu. Mzee mwenyewe alisainishwa mkataba wa kutia sahihi ya dole gumba maana alikuwa hajui kuandika
Hivi hizi Mali wakifa wanaenda nazo au?!!!

Back
Top Bottom