Hao wachaga ni washenzi na matapeli sana walishamtapeli mzee wa kizaramo nyumba hapo mtaa wa aggrey, mzee alisainishwa mkataba mwaka 2005 kuwa mchaga ataichukia nyumba kujenga fremu za maduka na mzee atakuwa akilopwa shilingi milioni moja kila mwaka! Kwa muda wa miaka 10, ila mzee.alipokuwa na shida alikuwa akimfata mchaga anampa pesa huku anamuandika kwenye daftari lake ,mwisho mzee anakuja kuambiwa kuwa kashapewa milioni 56. Mchaga akarudi na mkataba mwingine kumwambia mzee kuwa anataka kuibomoa nyumba ajenge ghorofa ila atampa floor mbili na maduka mawili chini ila cha ajabu baada ya kumaliza ujenzi hakuna chochote ambacho mzee aliambulia, sasa hivi mzee kashafariki na mchaga amejimilikisha jumla cuz mzee alimkabidhi hati ya ntumba kama dhamana kila alipokuwa na shida ya pesa. Wanawe wamejaribu kufuatilia lakini wapi wanaishia kuzungushwa tu. Mzee mwenyewe alisainishwa mkataba wa kutia sahihi ya dole gumba maana alikuwa hajui kuandika