Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

Hivi bunduki na risasi ni adimu sana kutumika nchi hii kwenye uonevu na dhuluma, kwenye jambo kama hili mahakama ya nini? I don't do the fakafaka oyo. Mnada uza tupeane chenji other than that no way, flash you out with my shortiiii.
 
Hivi bunduki na risasi ni adimu sana kutumika nchi hii kwenye uonevu na dhuluma, kwenye jambo kama hili mahakama ya nini? I don't do the fakafaka oyo. Mnada uza tupeane chenji other than that no way, flash you out with my shortiiii.
vituo vyote vya polis k/koo wanapinga ndangi wao na posho za mafuta
 
Kwa mlio tanzania ogopeni sana kukopa kwa wachaga na wakinga, hao watu hawafai hata kidogo. Pesa zao huwa ni za kichawi akikupa hata laki basi jua utashindwa tu kuirudisha na matokeo yake anachukua mali yenye thamani kubwa uliyoiweka rehani, kuna jamaa alikopa kwa mkinga milioni 2 kwa bondi ya hati ya gari aina ya noah yenye thamani ya milioni 14 miaka hiyo, ila cha ajabu jamaa aliitelekeza gari mpk ndugu zake walipoingilia kati kwenda kuikomboa , jamaa alipigwa kipapai aisahau kabisa gari yake
 
Nakusoma sana ujinga ni mbaya sana , lakn wajinga siku zote hujiona Wana haki flani

Ogopa ujinga na njaa/shida
Wanasema shida haina adabu.

Unaweza uza Gari la million 50 Kwa bei ya milioni 10 kisa shida.

Mtoa mada inaonekana walikabiliwa na shida Fulani sasa wakawa wanahitaji pesa za haraka
Mungu akawasaidia kukutana na Mushi, wakachekeana na kumshukuru alivyowapa mkopo😀😀 wakaandikishana na kuekeana mkataba, wakasema haina shida 😂😂 tutajulia mbele Huko ilimdi shida yetu Kwa sasa imepata Sawa.
Unaambiwa walimshukuru Sana huyo Mushi.
Licha ya mushi kuwaambia na kusisitiza mmesoma vizuri mkataba, wakasema ndio.

Muda wa marejesho😂😂😂
Mushi mbaya
Mushi Tapeli
Mushi arudi kwao Moshi😀
 
sheria ya mabenk inataka shareholders wawe mchanganyiko lkn wachagga wameanzisha bank kama kikao cha ukoo nenda maendeleo bank ya lutheran mashareholders ni asilimia tisini wamachame hii sio fair kabisa
We jamaaa una chuki sana yani chuki yako ni kiwango cha juu mno. Sio vizuri hivyo unachukia wachaga mno sio sawa wale ni ndg zetu pia.
 
wewe huwajui wakibosho wewe kwanza wanavyama vyeje nguvu sana vikao vya votina ni hatari ndio maana kule manyara vipigwa ban na mnyeti magufuli alikuwa sahihi
 
Hakuna mtu anayeshindikana na serikali bruh
Umetumia kikokotoo gani kupata asilimia 90.9 😆 eti wote ni wachaga kinyume na sheria
 
Sheria gani inakataza majority shareholders Kwny Co kua wachaga?
 

Usitutishe😂😂
 
Huyu ni mtu mmoja kugeneralize kuwa wachaga wote ni matapeli sio sawa.
 
sheria ya mabenk inataka shareholders wawe mchanganyiko lkn wachagga wameanzisha bank kama kikao cha ukoo nenda maendeleo bank ya lutheran mashareholders ni asilimia tisini wamachame hii sio fair kabisa
Wee jamaa Ni mpumbavu Sana,
Ukiskia mchanganyiko akili yako inajua Ni makabila TU.
 
Umeelezea vzuri mno
 
Hans kafilisika? Mzee hao wote uliotakaja hapo hakunaanaemfikia. Usichokijua kaa kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…