Fred Mwakitundu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 227
- 382
Mfanyabiashara Maarufu Clemence Mbowe anayemiliki mabasi ya Machame Safari amepata pigo baada ya mahakama kuamuru alipe shilingi Milioni 20 kama fidia kutokana na kuvamia eneo lisilo lake na kuanza ujenzi wa kituo cha mafuta kwa wamiliki halali wa eneo hilo David Kimambo na Donald Kimambo huku mahakama hiyo ikifuta hati ya umiliki wa viwanja vitatu alivyokuwa anavyovimiliki katika eneo hilo lililopo Kiboriloni Moshi.
Msingi wa kufutwa kwa hati hizo ni baada ya kubainika kuwa hakuwa na nyaraka zozote za umilki wa eneo hilo lenye ukubwa wacekari robo eka anavyodiwa kuuziwa mwaka 2008 ambako tayari alikuwa ameanza ujenzi wa k ituo cha mafuta.
Uamuzi wa kufutwa kwa hati ya viwanja hivyo umetolewa hvi karibu na Hakimu Mkazi Mfawidhi Bernizhita Maziku ambaye alikubaliana na hoja zilizomo kwenye rufaa ya wamiliki halali wa eneo hilo David Kimambo na Donald Kimambo.