Tajiri wa Machame Safari, Clemence Mbowe akiona cha moto

Umeandika kwa shangwe kweli as if una pasent kwenye 20m.
 
Eti akiona cha moto.. nikajua labda katekwa [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hapo kituo cha mafuta kinatakiwa kuondolewa kwenye aridh isiyo halali,atalipa gharama za kesi,atalipa 20m, hati tatu zimefutwa, eneo hilo alinunua kitapeli na fedha zimepotea, jina lake kama tajiri limechafuka kWa kuchukua mali za yatima.
Tafuta pesa.. Acha wivu wa kitoto dogo.
 
Matajiri wa kichaga wamejaa wizi na dhuluma.
 
Hapo kituo cha mafuta kinatakiwa kuondolewa kwenye aridh isiyo halali,atalipa gharama za kesi,atalipa 20m, hati tatu zimefutwa, eneo hilo alinunua kitapeli na fedha zimepotea, jina lake kama tajiri limechafuka kWa kuchukua mali za yatima.
Hahahaa unajifariji mwenyewe..tajiri unachafuaje jina kwa.mfano? Tunachafukaga sisi wa chini...
 
Back
Top Bottom