Tajiri wa Machame Safari, Clemence Mbowe akiona cha moto

Tajiri wa Machame Safari, Clemence Mbowe akiona cha moto

Bora hata ingekuwa milioni 200! walau kichwa cha habari kingeendana na habari ya ndani!

Yaani milioni 20 ndiyo akione cha moto!! Kwa maskini kama wewe mtoa mada, hiyo pesa ni nyingi sana. Ila kwa tajiri, hiyo pesa ni ndogo sana!
 
Unawezaje kujiita tajiti na ukajenga kituo cha mafuta cha mamilioni kwenye eneo ambalo huna umiliki halali?Huyu tajiri ana elimu gani?
 
Umasikini mbaya jamanii, kwahiyo ww unaona 20m ni hela ya kumuumiza kichwa tajiri?
 
Hawa matajiri wa kichagga hawa!! Kanisani wana siti zao tena wanaitw a waheshimiwa na michango wanatoa.mikubwa kweli ila.wanapenda sana kuvamia na.kudhulumu ardhi za walalahoi
 
Labda hata account hawana. Cha msingi hapo ni kwamba sio jambo jema kupora mali ya mtu mwingine. Wangeweza kumalizana kwa amani. Ubabe una gharama zake pia
Haya mambo kwenye maisha ya utaftaji yapo sana
 
Pesa inatoka kwa mchaga inaenda kwa mchaga wasukuma hoooiii.
Siku vita ya ukabila itatokea, sukumawar#&chagawar. sijui nani ataamua
hawa watu mtandaoni wanaishi kwa bifu
 
Back
Top Bottom