Tajiri wa Wananchi afanya yake, Mo atayaweza?

Baaasi hii ndo kazi inakufaa na kukupendeza hii uliyoleta leo tena nikushauri jikite kwenye hii kazi.
Watu maarufu wote hakikisha unatuletea matukio yanayowahusu.

Lakini kule kwingine kwenye siasa hasa za kumpamba rais na lile limkataba lake achana na ile kazi mama kule hapakufai hujui kitu kule!

Asante kwa topic ya leo ubarikiwe sana!
 
Jimama la mjini hilo halitaki kupitwa na kitu kula yake ikosekane.
 
Baaasi hii ndo kazi inakufaa na kukupendeza hii uliyoleta leo tena nikushauri jikite kwenye hii kazi.
Watu maarufu wote hakikisha unatuletea matukio yanayowahusu.

Lakini kule kwingine kwenye siasa hasa za kumpamba rais na lile limkataba lake achana na ile kazi mama kule hapakufai hujui kitu kule!

Asante kwa topic ya leo ubarikiwe sana!
Wewe utakuwa mwananchi.
 
GSM anayaweza ya kimjini mjini, vipi Mo?

Tajiri wa wananchi anamfurahisha bebi wake.

View attachment 2727374

Kakosekana mjomba'o tu hapo, Manara.
GSM hapa kanikosha na kuusuuza moyo wangu. Hakumfurahisha mkewe tu kwenye birthday yake, katufurahisha sote.

Hata Simba hapa wamefurahia.

Happy Birthday Salha.

Hongera Ghalib.
 
Back
Top Bottom