Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,042
- 8,227
Tetesi wanasema ni upinde 🤣🤣GSM ni kama huwa anapenda mashindano au show off ndo maana ana Machawa
Beki hazikabi🤣🤣
Ngoja nimwite mdogo wangu cocastic atupe ripot za hapo daslam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tetesi wanasema ni upinde 🤣🤣GSM ni kama huwa anapenda mashindano au show off ndo maana ana Machawa
MaashaAllahGSM anayaweza ya kimjini mjini, vipi Mo?
Tajiri wa wananchi anamfurahisha bebi wake.
View attachment 2727374
Kakosekana mjomba'o tu hapo, Manara.
Now,this is lifeGSM anayaweza ya kimjini mjini, vipi Mo?
Tajiri wa wananchi anamfurahisha bebi wake.
View attachment 2727374
Kakosekana mjomba'o tu hapo, Manara.
Wew Bib Shule Ulienda kusomea ujingaGSM anayaweza ya kimjini mjini, vipi Mo?
Tajiri wa wananchi anamfurahisha bebi wake.
View attachment 2727374
Kakosekana mjomba'o tu hapo, Manara.
Kwanini hizo pesa za kununua maua ambayo yataharibika with no time...wasingelisha watoto yatima na wenye uhitaji? Allah angewabariki zaidi.Kama ni maua basi wife wa GSM kapewa kwa ma semi trailer
GSM ni kama huwa anapenda mashindano au show off ndo maana ana Machawa
Mo anasimamia duka la wazee wake,tuwaambie Mara ngapi!?Kwakweli wamependeza sana, GSM ni mjanja sana na Mtu wa watu
Mo. hawezi haya, ni kaksi kama Makolo walivyo
Shadeeya
Mbwembwe tu. Magu angekuwa hai angewakomesha wakwepa kodi woteMa shaa Allah. Hiyo nyumba na vyote ni zawadi ya birthday kwa mkewe GSM.
Kuwadi wa bandari. Huko umepigwa za uso umehamia humuee.GSM anayaweza ya kimjini mjini, vipi Mo?
Tajiri wa wananchi anamfurahisha bebi wake.
View attachment 2727374
Kakosekana mjomba'o tu hapo, Manara.
Ila wana uzungu wa kugawa tende msikitiniWanaweza ila hawana uswahili kama wa GSM