Tajiri wa Wananchi afanya yake, Mo atayaweza?

Tajiri wa Wananchi afanya yake, Mo atayaweza?

Unajua mpaka vipaumbele vya mwanaume mwenzako??? Duuhh…!! Una muda sn wa kufuatilia maisha ya watu mkuu…!!!
Sioni ajabu mtu kujua vipaumbele vya kibiashara vya waliofanikiwa. Ajabu kwangu ni wewe kufuatilia birthday ya mke wa tajiri 😁
 
AlhamduliLlah Ma shaa Allah, mume wangu kila birthday yangu amenisafirisha nchi moja tofauti duniani. Hatujarudia mara mbili.
Mara moja moja si vibaya kuota ndoto za mchana!! Nasikia wale wanaotumia hiyo kitu, akijidunga anajisikia anakula maraha hayaelezeki lakini akiamka anajikuta yuko upenuni amelala nje!!
 
Mara moja moja si vibaya kuota ndoto za mchana!! Nasikia wale wanaotumia hiyo kitu, akijidunga anajisikia anakula maraha hayaelezeki lakini akiamka anajikuta yuko upenuni amelala nje!!
Usilolijuwa ni usiku wa kiza.
 
Back
Top Bottom