Tajiri wa Wananchi afanya yake, Mo atayaweza?

Tajiri wa Wananchi afanya yake, Mo atayaweza?

Yaani mnataka kulazmisha kila anaejamba atoe na ushuzi...unajua ni vile dewji hapendi life la kujificha huyu jamaa ni exeptional sana mnatak life lake liwe sawa na GSM [emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]
 
Mbona vídeo Yako ulio weka hapa ina nyimbo zakidunia?

Halafu unamtaja Allah hovyo?
unaakili sawasawa kweli wewe au umelogwa?
usimtaje Allah kwenye mambo Yako yakishenzi☹️😕👉
Kwani wewe uko wapi? Akhera?
 
Hivi kuna wabongo ambao wako nchi zakigeni wanafanya makubwa kama Hawa waarabu na wahindi wanavyo tusumbua?

Maana Sisi Nanchi yetu lakini ndio tumegeuka kuwashabikia wao.dah☹️

Sisi tunawaza ngono tu na kuzaliana.

Gsm ni muislam na tajiri wa kufa mfu ila ana mke mmoja tu

Tazama waislam wazawa sasa akiwa na kaajira tu ka mshahara milioni anaoa wake kibao
 
Sisi tunawaza ngono tu na kuzaliana.

Gsm ni muislam na tajiri wa kufa mfu ila ana mke mmoja tu

Tazama waislam wazawa sasa akiwa na kaajira tu ka mshahara milioni anaoa wake kibao
Mambo mengine yanategemea na nguvu za...; wenye hela wengi wako bize na wanakutana na changamoto mbali mbali ikiwemo za nguvu n.k, wengine ni miiko, ukiongeza unapukutika.
 
GSM anayaweza ya kimjini mjini, vipi Mo?

Tajiri wa wananchi anamfurahisha bebi wake.

View attachment 2727374


Kakosekana mjomba'o tu hapo, Manara.
Show imejaa waarabu Koko tuu ukiuliza hapo unaambiwa kwetu nata, mwingine Choma Cha nkola, mwingine shelui bado wale wa Yemen, kwa Tumbo na magomen mapipa.

Mandhari mazuri sana hayo ndo matumizi ya pesa.
 
Back
Top Bottom