Tajiri wa Wananchi afanya yake, Mo atayaweza?

Tajiri wa Wananchi afanya yake, Mo atayaweza?

Sisi tunawaza ngono tu na kuzaliana.

Gsm ni muislam na tajiri wa kufa mfu ila ana mke mmoja tu

Tazama waislam wazawa sasa akiwa na kaajira tu ka mshahara milioni anaoa wake kibao
kiigizo cha dini na role model Wa waislam ni mtumi(saw) maswahaba(ra) wanachuoni waliopata radhi za Allah, na waja wema waliotangulia....kwahiyo waislam hawamuigi gsm au Mimi mmakonde Wa mtwara, huo ni uamuzi wake gsm and he is right by the way, kuwa na mke mmoja pia sunna ya mtumi lijue hilo, acha kufokea watu acha kusemea waislam kama wewe sio miongoni mwao, .
 
Wanawake FAT VIBONGE ni wetu masikin....billionaire hawapatani na vibonge nyama ovyo
 
location iyo ni wapi South africa, kigamboni au state USA
Haijalishi na sifahamu, mambo ya graphics siku hizi unaweza kuwa ahata upo chumbani kwako, vijana wakacheza na graphics ukawa popote pale.

Point ni kuwa kamrahisha mkewe na wanawe, wanafurahia hapo mpaka wengine machozi ya furaha.
 
Hongera zake. Ukinuna jua utakuwa mchawi ukiwa mzee
Screenshot_20230820-033417.jpg

Unawachora tu.
 
This country is for black people. Haven't seen any black person in that video. They are just racists.

Sasa wake zake wengine watajisikiaje? Just imagine these women sharing the samedik na labda kibamyia.

Faizaaaaaaaaa👌🏿👆🏿🙌🏿😘♥️💘
Sasa tuwabadili rangi family yake?

Mama'ke Ghalib, ungemuona usingesema hayo. Usilolijuwa ni usiku wa kiza.
 
Naona watu mnamuona tajiri anatumia vibaya hela zake ambazo WALA HAMJAMSAIDIA KUZITAFUTA….!!! Mara akawape yatima, mara akafanye nini sijui, Daaah..!! Masikini tuna mambo mengi sana aisee…!!
 
ukishaona tajiri ameanza socialization ujue anakaribia kufilisika... matajiri wa ukweli hawanaga hizi mambo
 
Back
Top Bottom