Tajiri wa Wananchi afanya yake, Mo atayaweza?

Tajiri wa Wananchi afanya yake, Mo atayaweza?

HSC bandari, Silent Ocean bandari, Dp world nayo bandari ! Acha kuzuga na timu ya Yanga
 
Ujumbe ni mmoja tu hapo, Wanaume tutafute hela.

Maana kwa hesabu za haraka haraka naona imekatika zaidi ya milioni 35 kukamilisha furaha ya huyo Mrs GSM

Wakati mwingine anatumia hiyo 35M kufanya birthday ya Mpenzi wake, mwingine anaihitaji hiyo hela kuweza kutimiza biashara yake mpya aliyoibuni.

Hii ndiyo Dunia ya Ubepari tunayoiishi.

Anyways, heri ya kuzaliwa Mrs GSM
 
Back
Top Bottom