Sioni ajabu mtu kujua vipaumbele vya kibiashara vya waliofanikiwa. Ajabu kwangu ni wewe kufuatilia birthday ya mke wa tajiri 😁Unajua mpaka vipaumbele vya mwanaume mwenzako??? Duuhh…!! Una muda sn wa kufuatilia maisha ya watu mkuu…!!!
Ukitaka mtu wa kukustir mim nimejitolea kukustir pamoja na umri ulio naoWewe utakuwa simba.
Mara moja moja si vibaya kuota ndoto za mchana!! Nasikia wale wanaotumia hiyo kitu, akijidunga anajisikia anakula maraha hayaelezeki lakini akiamka anajikuta yuko upenuni amelala nje!!AlhamduliLlah Ma shaa Allah, mume wangu kila birthday yangu amenisafirisha nchi moja tofauti duniani. Hatujarudia mara mbili.
Hongera, nikupongeze!! kuna watu ni mabingwa wa kujitekenya na kucheka wenyewe!!Usilolijuwa ni usiku wa kiza.