Tajirika na Kilimo cha Nyoka: Tuwapende na kuwatumia Nyoka badala ya kuwaua

mkuu sasa mbeya unawafuga kwa joto gani,nielekeze nifike hapo nipate mawili matatu juu ya fursa hii mpya
 
Kwel Ajira Hakuna Mpaka Hii Pia Ni Trends
Duuu [emoji87][emoji87][emoji87]
 
Ntakutafuta aisee, nawapenda sana nyoka, ila nawaogopa.
 
Nasikia mavi ya nyoka ni mbolea(samadi) nzuri sana hata kama ni machache,pia yanathamani hata kuzidi ile story ya mavi ya radi kuuzwa kwa bei kubwa huko Congo ya Kabila
 
Ukiwa na vifaa vya kumshika nyoka mbona dilii Haya majitu ni kuwa nao makini ila nyoka ni kama kunguru sunajua kunguru hafugiki basi hata Nyoka vivyo hivyo
 
Ndo viwanda vyenyewe hivi sasa kaa chonjo. Na kama unataka ajira unaweza ajiliwa shambani kabisaa (Si mnataka ajira tumeni barua za maombi) hapa hakuna interview unaingia moja kwa moja kazini (Shamba la nyoka a.k.a death farm)
 
Haitatokea nikawa na urafiki na nyoka hata kama amekufa, namchukia sana huyu kiumbe, kwa kweli Bwana anirehemu kwa hili.
 
Jaman, ulimwengu huu kufuga mijoka tena, kwanza utahiudumia vipi hiii mi dudu, da!
 
Tanzania ya Viwanda.....
Mkuu asante kwa maelezo mazuri kwa wale wanaoogopa kufuga nyoka naona kuna fursa ya ku-supply panya kwenye hilo shamba lako.

Nina maswali machache
1.unao wangapi kwa sasa?
2.uvunaji wa sumu unatumia vifaa gani?
3.vipi namna ya kuhifadhi hiyo sumu?
4.bila shaka unafuga nyoka wa aina tofauti je bei ya sumu inategemeana na aina ya nyoka au wote bei ni moja?
5.vipi kuhusu soko wanunuzi wanaifuata au unawapelekea mwenyewe?
 
Tanzania ya Viwanda.....
Mkuu asante kwa maelezo mazuri kwa wale wanaoogopa kufuga nyoka naona kuna fursa ya ku-supply panya kwenye hilo shamba lako.

Nina maswali machache
1.unao wangapi kwa sasa?
2.uvunaji wa sumu unatumia vifaa gani?
3.vipi namna ya kuhifadhi hiyo sumu?
4.bila shaka unafuga nyoka wa aina tofauti je bei ya sumu inategemeana na aina ya nyoka au wote bei ni moja?
5.vipi kuhusu soko wanunuzi wanaifuata au unawapelekea mwenyewe?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…