KERO Takataka zimekuwa kero kubwa sana Mbeya Mjini kipindi hiki cha mvua

KERO Takataka zimekuwa kero kubwa sana Mbeya Mjini kipindi hiki cha mvua

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Mwanongwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2023
Posts
611
Reaction score
567
Mpaka mjirekebishe ndiyo nitaacha kuwasakama.

Halmashauri ya Jiji la Mbeya kama inawezekena badilisheni mfumo wa kukusanya taka au tafuteni kampuni nyingine ya kukusanya taka.

Hawa JKT wamefeli kabisa, kwanza magari yao mengi ni mabovu sana tena sana.
Ukipita Kwenye mitaa mingi ya Jiji hili imekuwa na uchafu mwingi sana, mitaa kama Isanga, Ilemi, Mama John, Soko la Sido na mitaa mingine mingi uchafu umetapakaa haswa.

Najua mnachukia ila acha ukweli niwaambie.

DSC_0161.JPG

Mitaa ya Forest ya Zamani

Mitaa ya Soko la Sido


WhatsApp Image 2024-11-17 at 17.28.12_0abc3bf9.jpg

WhatsApp Image 2024-11-17 at 17.28.10_080fa5de.jpg
 
Back
Top Bottom