Halmashauri ya Jiji la Mbeya kama inawezekena badilisheni mfumo wa kukusanya taka au tafuteni kampuni nyingine ya kukusanya taka.
Hawa JKT wamefeli kabisa, kwanza magari yao mengi ni mabovu sana tena sana.
Ukipita Kwenye mitaa mingi ya Jiji hili imekuwa na uchafu mwingi sana, mitaa kama Isanga, Ilemi, Mama John, Soko la Sido na mitaa mingine mingi uchafu umetapakaa haswa.