kijanamtanashati
JF-Expert Member
- Aug 22, 2014
- 523
- 916
You're right, the point is gaidi huyo ameua kwa sababu za kidini? Labda ameenda kujenga watu wa imani tofauti na yake kama Catholic anakavamie Lutherans au Sunni akalipue msikiti wa Shia au Samia na vibaka wake wawaue Watanganyika.Nipe maana ya ugaidi, ndo maana kila siku nakuambiaga huna akil lkn unakaza fuvu
Tena wanaita ni haki za Binadamu.Duh.. ushoga na iyo dini ni chanda na pete
Hapana hawawakilishi diniKwahiyo wale wanawake wanaocheza movie za Porno wanapokua wamevaa mikufu ya misalaba shingoni hua wanawakilisha dini? Wanapopiga kelele Ooh! God hua wanawakilisha dini yao sio?
Unajua maana ya Gaidi?Hapana hawawakilishi dini
Ila Kuna wale magaidi wanaoua non believers, yani wanaua watu wasiokubaliana na dini yao. Ni case tofauti na wacheza porno
Hata huyo wa Canada ni gaidi piaUnajua maana ya Gaidi?
Uchunguzi bado unaendelea,huwezi kusema chochote wala kudai chochote kwa sasa,hata wewe unayesema mauaji hayakuhusisha issue ya udini,haupo sure pia,Hata huyo wa Canada ni gaidi pia
Lakini mauaji yake hayakahusisha tofauti za kidini kama ambavyo mleta mada analazimisha ionekane
Ndio maana kuna magaidi ya dini fulani, au ya chama fulani. Mtu akijilipua anatamka "People's Power" pale Mnazi Mmoja tunajua ni gaidi la Chadema, mtu akijilipua anamtaja Mtume Mohammad au Allah anakuwa mlengo wa Kiislamu, akimtaja Yesu Kristo ndiye mwokozi kisha akajilipua anakuwa gaidi la Kikristo.Wapumbavu wa TEC hata maana ya gaidi hamjui mpo mpo tu kama kondoo
Gaidi ni mtu anayetumia vurugu, vitisho, au mauaji ili kufikia malengo yake, mara nyingi kwa ajili ya kisiasa au kidini
Unajua kwanini kasema hivyo?Wewe ndio mpumbavu namba moja wa dini. Maana habari ni ya mtu kuua watu na haihusiani na dini lakini umekazia hapo "Gaidi la Kikristo" as if mauaji haya yanahusiana na dini
Ulivyokuja ndio unavyopokelewa
Hata huu uzi kama ungesema gaidi la kiislamu asingetokwa povu kiasi hiki kama mgonjwa wa kifafa.Unajua kwanini kasema hivyo?
Amejifunza kutoka kwenu,huwa gaidi akiwa na jina la kiislamu basi moja kwa moja husema gaidi wa kiislamu
What comes around goes around
Huyo sio gaidi mpaka awe Muislam ndio watamuita gaidiShalom shalom
Gaidi la kikristo na shoga, limeua watu 9 kwenye shule ya sekondari uko Canada
Uchunguz bado unaendelea, gaidi hilo lilibadili jinsia hivi karibuni na kuwa mwanamke
Hata wewe unajua mauaji sio ya kidini. Unakaza fuvu tuUchunguzi bado unaendelea,huwezi kusema chochote wala kudai chochote kwa sasa,hata wewe unayesema mauaji hayakuhusisha issue ya udini,haupo sure pia,
So,wewe na mleta mada wote ndio wale wale tu.
Wanaitwa magaidi wa Kiislamu pale ambapo ugaifi wao umehusisha diniUnajua kwanini kasema hivyo?
Amejifunza kutoka kwenu,huwa gaidi akiwa na jina la kiislamu basi moja kwa moja husema gaidi wa kiislamu
What comes around goes around
Wakati anafanya mauaji alikiwa anapiga kelele za Jesus Akbar?😂😂Shalom shalom
Gaidi la kikristo na shoga, limeua watu 9 kwenye shule ya sekondari uko Canada
Uchunguz bado unaendelea, gaidi hilo lilibadili jinsia hivi karibuni na kuwa mwanamke
Ni wapi mimi nimesema kua ni mauaji ya kidini? Acha kunilisha upumbavu wako.Hata wewe unajua mauaji sio ya kidini. Unakaza fuvu tu
Na kwa kuwa mauaji sio ya kidini basi hakupaswa kusema Gaidi la Kikristo. Dini ya mtu haihusiki kwenye mauaji ambayo hayajasukumwa na itikadi za kidiniNi wapi mimi nimesema kua ni mauaji ya kidini? Acha kunilisha upumbavu wako.