Takribani Watu 8 wauawa Canada na wengine kujeruhiwa kwa bastola

Takribani Watu 8 wauawa Canada na wengine kujeruhiwa kwa bastola

Canada nayo imezidi mno kukaribisha wageni, hasa kobazi. Kobazi hawana hekima, busara na akili. Muda wowote na popote kobazi anaweza kukiwasha bila kujali wenzake, ile dini ni ya vichaa kindakindaki
Ona hili ***** limevamia uzi bila hata kujua uzi unaongelea nini,wewe ***** huko Canada KAFIRI mwenzako ndio ameua watu,

Yani mumeo kuondoka Nyumbani kidogo tu ukakurupuka kushika simu yake na kucomment JF bila hata kujua mada inahusu nini?

Haya badilisha hizo lawama zako na uzipeleke kwa Kafiri mwenzako ndiye aliyeua watu huko Canada.
 
Canada nayo imezidi mno kukaribisha wageni, hasa kobazi. Kobazi hawana hekima, busara na akili. Muda wowote na popote kobazi anaweza kukiwasha bila kujali wenzake, ile dini ni ya vichaa kindakindaki
Wenye hekima hawa hapa,wameruhusiwa siku hizi mpaka mna hiji nao Vatican.
 

Attachments

  • Screenshot_20251223_142633_Gallery.jpg
    Screenshot_20251223_142633_Gallery.jpg
    144.3 KB · Views: 25
Jibu swali nililokuuliza.
Sijui ni kwamba hili swala ni gumu kueleweka au wewe ndio mwenye kichwa kugumu kuelewa.
Katika Ukristo hakuna maandiko(hata yanayobishaniwa kati ya madhebu tofauti) yanayoelekeza Wakristo kupambana kimwili au kufanya mauaji ya aina yoyote kwa sababu zozote zile, katika Uislamu maandiko ya aina hiyo yapo mengi na ndio yanayoutumika na wenye msimamo mkali(extremists) na jihadists kufanya ugaidi au vita vya mrengo wa kidini.

Uislamu hauwezi kutengewa na siasa, Ukristo unaweza kutengewa na siasa. Mfano katika vita vinavyoendelea Ukraine dhidi ya Urusi huwezi kukukuta Ukristo ukinasibishwa navyo kwa sababu japo jamii zote mbili ni za Kikristo lakini bado hazipati msukumo wake kitokaka katika dini ya Kikristo, kwa upande mwingine vita inayoendelea Somalia, Yemen , Burkina Faso na Nigeria makundi yanyopigana au kuishambulia kwa sehemu kubwa ni kutokana msukumo dini ya Uislamu na wanakiri kabisa wazi wenyewe, mengine majina yao kabisa yanasadifu dini mfano Al Shaban, ISIS n.k.

Tukija kwenye mass shootings za Marekani, Ulaya na Canada wafyatuaji risasi hawasukumwi na dini ya Ukristo, hakuna aliyewahi kukiri hivyo kwa hiyo inakuwa ni desperation na kituko kutaka kulazimishia kuwaita hao magaidi wa Kikristo.
 
Sijui ni kwamba hili swala ni gumu kueleweka au wewe ndio mwenye kichwa kugumu kuelewa.
Katika Ukristo hakuna maandiko(hata yanayobishaniwa kati ya madhebu tofauti) yanayoelekeza Wakristo kupambana kimwili au kufanya mauaji ya aina yoyote kwa sababu zozote zile, katika Uislamu maandiko ya aina hiyo yapo mengi na ndio yanayoutumika na wenye msimamo mkali(extremists) na jihadists kufanya ugaidi au vita vya mrengo wa kidini.

Uislamu hauwezi kutengewa na siasa, Ukristo unaweza kutengewa na siasa. Mfano katika vita vinavyoendelea Ukraine dhidi ya Urusi huwezi kukukuta Ukristo ukinasibishwa navyo kwa sababu japo jamii zote mbili ni za Kikristo lakini bado hazipati msukumo wake kitokaka katika dini ya Kikristo, kwa upande mwingine vita inayoendelea Somalia, Yemen , Burkina Faso na Nigeria makundi yanyopigana au kuishambulia kwa sehemu kubwa ni kutokana msukumo dini ya Uislamu na wanakiri kabisa wazi wenyewe, mengine majina yao kabisa yanasadifu dini.

Tukija kwenye mass shootings za Marekani, Ulaya na Canada wafyatuaji risasi hawasukumwi na dini ya Ukristo, hakuna aliyewahi kukiri hivyo kwa hiyo inakuwa ni desperation na kituko kutaka kulazimishia kuwaita hao magaidi wa Kikristo.
Haya matapishi uliyo yaandika hapa wala hayana maana yeyote ile zaidi ya kuonyesha kua na wewe ni miongoni mwa watu ambao wamekua brainwashed na westeners kwa kuaminishwa kua ugaidi hufanywa na watu wa imani fulani tu,

Ulivyo mpumbavu,mpaka unasema kua eti mpaka majina yao ni ya kidini,ulitaka watumie majina ya ukoo wako?

Unaweza kuleta andiko hapa kwenye uislamu umeruhusu kuua mtu asiyekua na hatia?

Natanyahu ameua wanawake na watoto na kuvunja misikiti na makanisa kule Gaza ila wapumbavu kama wewe hamuwezi kuita huo ni ugaidi,

Ni nani alikuaminisha kua tafsiri ya ugaidi ni kuua kisa udini? Hivi mbona mnakua na upumbavu uliopitiliza? Au hua mnajitoa ufahamu kwa makusudi?
 
Guns don't kill people but People kill people.
 
Haya matapishi uliyo yaandika hapa wana hayana maana yeyote ile zaidi ya kuonyesha kua na wewe ni miongoni mwa watu ambao wamekua brainwashed na westeners kwa kuaminishwa kua ugaidi hufanywa na watu wa imani fulani tu,

Ulivyo mpumbavu,mpaka unasema kua eti mpaka majina yao ni ya kidini,ulitaka watumie majina ya ukoo wako?

Unaweza kuleta andiko hapa kwenye uislamu umeruhusu kuua mtu asiyekua na hatia?

Natanyahu ameua wanawake na watoto na kuvunja misikiti na makanisa kule Gaza ila wapumbavu kama wewe hamuwezi kuita huo ni ugaidi,

Ni nani alikuaminisha kua tafsiri ya ugaidi ni kuua kisa udini? Hivi mbona mnakua na upumbavu uliopitiliza? Au hua mnajitoa ufahamu kwa makusudi?
Wapuuzi hao achananao mkuu!
 
Kwenye nyuzi kama hizi ndiyo unaona baadhi ya wakiristo walivyo mbumbumbu na wanafiki wa kiwango cha juu kabisa.
 
Back
Top Bottom