Takribani Watu 8 wauawa Canada na wengine kujeruhiwa kwa bastola

Na kwa kuwa mauaji sio ya kidini basi hakupaswa kusema Gaidi la Kikristo. Dini ya mtu haihusiki kwenye mauaji ambayo hayajasukumwa na itikadi za kidini
Hivi wewe una akili ya kusoma jambo na kulielewa kweli? Nimekwambia uchunguzi wa haya mauaji unaendelea,mara useme mimi nimesema ni mauji ya kidini,hata hueleweki,wewe umejuaje kua sio mauaji ya kidini? Police wameshatoa report ya investigation?
 
Ndio uchunguzi umefanyika na mauaji sio ya kidini. Ni ukweli asilimia 100 kuwa mauaji sio ya kidini
 
Kwahiyo hata kama ni mpuuzi mmoja kafanya ugaidi akasema Allahu akbar,hapo itakuwa dini ya kiislamu imemtuma?
Itikadi ambazo zimechochewa na dini yake ndio zimemtuma. Ni dini ya uislamu iliyo ndani yake ndio imemtuma, lakini sio waislamu wengine.
Mfano mtu anayekula watu kwa kutofuata Imani za Kiislamu maana yake ndani yake kuna dini ya uislamu inayomwambia kuwa mtu yoyote ambaye si muislamu anastahili kufa, kwamba Mungu alikosea kuwaleta duniani. Hii Imani ya Kiislamu iliyo ndani yake ndio imemtuma akafanye hivyo, lakini haina maana kwamba Waislamu dunia nzima wanafanya hivyo
 
Wapumbavu wa TEC hata maana ya gaidi hamjui mpo mpo tu kama kondoo

Gaidi ni mtu anayetumia vurugu, vitisho, au mauaji ili kufikia malengo yake, mara nyingi kwa ajili ya kisiasa au kidini
Kati ya kisiasa au kidini huyo mtu tunamuweka wapi?
 
Kwahiyo hata kama ni mpuuzi mmoja kafanya ugaidi akasema Allahu akbar,hapo itakuwa dini ya kiislamu imemtuma?
Juu ya kusema Allahu Akbar wakati wa mauaji ya kigaidi kuna vifungu kabisa katika Quran ambavyo magaidi huvizingatia na ndivyo vinawapelekea kufanya ugaidi.
 
Itikadi ambazo zimechochewa na dini yake ndio zimemtuma. Ni dini ya uislamu iliyo ndani yake ndio imemtuma, lakini sio waislamu wengine.
Mfano mtu anayekula watu kwa kutofuata Imani za Kiislamu maana yake ndani yake kuna dini ya uislamu inayomwambia kuwa mtu yoyote ambaye si muislamu anastahili kufa, kwamba Mungu alikosea kuwaleta duniani. Hii Imani ya Kiislamu iliyo ndani yake ndio imemtuma akafanye hivyo, lakini haina maana kwamba Waislamu dunia nzima wanafanya hivyo
Wewe ni mpuuzi kama wapuuzi wengine,sio mtu sahihi kwangu kwa majadiliano

Asante
 
Attachments

  • downloadfile-305.jpg
    downloadfile-305.jpg
    123.1 KB · Views: 20
Bullying na unyanyasaji wa kijinsia muda mwingine unatengeneza Monsters 💀 na deadliest venomous evil offsprings 😑😑😑
 
Wewe ni mpuuzi kama wapuuzi wengine,sio mtu sahihi kwangu kwa majadiliano

Asante
Nini nilichoandika ambacho sio sahihi? Nimejibu swali lako ulilouliza na huo ndio ukweli, haijalishi umekuumiza au la
 
Itikadi ambazo zimechochewa na dini yake ndio zimemtuma. Ni dini ya uislamu iliyo ndani yake ndio imemtuma, lakini sio waislamu wengine.
Mfano mtu anayekula watu kwa kutofuata Imani za Kiislamu maana yake ndani yake kuna dini ya uislamu inayomwambia kuwa mtu yoyote ambaye si muislamu anastahili kufa, kwamba Mungu alikosea kuwaleta duniani. Hii Imani ya Kiislamu iliyo ndani yake ndio imemtuma akafanye hivyo, lakini haina maana kwamba Waislamu dunia nzima wanafanya hivyo
Wewe ni mpumbavu na unaonekana ni empty upstairs,unaandika kama vile umeinamishwa,

Usiusemee uislamu kwa maneno yako,unaweza kuonyesha maandiko yanayosema hivyo ulivyoandika wewe? Imani ya kiislamu inasema mtu ale watu?kuna sehemu uislamu unasema asiyemuislamu asiishi? Kuna andiko la kiislamu linasema hivyo?

Wale wanawake wanaovaa misalaba kwenye Movie za porno nao hua wanawakilisha dini yako? Wakisema "Ohh! God..Jesus" kwenye porno wanakua wanawakilisha dini yao? Mbona unakua na upumbavu uliopitiliza?
 
Back
Top Bottom