The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Hivi wewe una akili ya kusoma jambo na kulielewa kweli? Nimekwambia uchunguzi wa haya mauaji unaendelea,mara useme mimi nimesema ni mauji ya kidini,hata hueleweki,wewe umejuaje kua sio mauaji ya kidini? Police wameshatoa report ya investigation?Na kwa kuwa mauaji sio ya kidini basi hakupaswa kusema Gaidi la Kikristo. Dini ya mtu haihusiki kwenye mauaji ambayo hayajasukumwa na itikadi za kidini
Ndio uchunguzi umefanyika na mauaji sio ya kidini. Ni ukweli asilimia 100 kuwa mauaji sio ya kidiniHivi wewe una akili ya kusoma jambo na kulielewa kweli? Nimekwambia uchunguzi wa haya mauaji unaendelea,mara useme mimi nimesema ni mauji ya kidini,hata hueleweki,wewe umejuaje kua sio mauaji ya kidini? Police wameshatoa report ya investigation?
wafafanulie wadau kwa kina kifupi kidogo gentlemanVp usafiri umeanza huko gentleman
Ova
Wanashida sana hawa jamaaHata huu uzi kama ungesema gaidi la kiislamu asingetokwa povu kiasi hiki kama mgonjwa wa kifafa.
Kwahiyo hata kama ni mpuuzi mmoja kafanya ugaidi akasema Allahu akbar,hapo itakuwa dini ya kiislamu imemtuma?Wanaitwa magaidi wa Kiislamu pale ambapo ugaifi wao umehusisha dini
Itikadi ambazo zimechochewa na dini yake ndio zimemtuma. Ni dini ya uislamu iliyo ndani yake ndio imemtuma, lakini sio waislamu wengine.Kwahiyo hata kama ni mpuuzi mmoja kafanya ugaidi akasema Allahu akbar,hapo itakuwa dini ya kiislamu imemtuma?
Kati ya kisiasa au kidini huyo mtu tunamuweka wapi?Wapumbavu wa TEC hata maana ya gaidi hamjui mpo mpo tu kama kondoo
Gaidi ni mtu anayetumia vurugu, vitisho, au mauaji ili kufikia malengo yake, mara nyingi kwa ajili ya kisiasa au kidini
Sipo huko gentlemanwafafanulie wadau kwa kina kifupi kidogo gentleman
kama taifa tunasonga mbele kwa pamoja na kwa amani gentlemanSipo huko gentleman
Ndomana nmekuliza mdau
Ova
Juu ya kusema Allahu Akbar wakati wa mauaji ya kigaidi kuna vifungu kabisa katika Quran ambavyo magaidi huvizingatia na ndivyo vinawapelekea kufanya ugaidi.Kwahiyo hata kama ni mpuuzi mmoja kafanya ugaidi akasema Allahu akbar,hapo itakuwa dini ya kiislamu imemtuma?
Weka hapa hiyo investigation report tuione.Ndio uchunguzi umefanyika na mauaji sio ya kidini. Ni ukweli asilimia 100 kuwa mauaji sio ya kidini
Wewe ni mpuuzi kama wapuuzi wengine,sio mtu sahihi kwangu kwa majadilianoItikadi ambazo zimechochewa na dini yake ndio zimemtuma. Ni dini ya uislamu iliyo ndani yake ndio imemtuma, lakini sio waislamu wengine.
Mfano mtu anayekula watu kwa kutofuata Imani za Kiislamu maana yake ndani yake kuna dini ya uislamu inayomwambia kuwa mtu yoyote ambaye si muislamu anastahili kufa, kwamba Mungu alikosea kuwaleta duniani. Hii Imani ya Kiislamu iliyo ndani yake ndio imemtuma akafanye hivyo, lakini haina maana kwamba Waislamu dunia nzima wanafanya hivyo
π π π π π π πUmetumwa na sheikh mkata vichwa.
Investigation Report PDFWeka hapa hiyo investigation report tuione.
Nini nilichoandika ambacho sio sahihi? Nimejibu swali lako ulilouliza na huo ndio ukweli, haijalishi umekuumiza au laWewe ni mpuuzi kama wapuuzi wengine,sio mtu sahihi kwangu kwa majadiliano
Asante
Ndio nini hiki?Investigation Report PDF
Wewe ni mpumbavu na unaonekana ni empty upstairs,unaandika kama vile umeinamishwa,Itikadi ambazo zimechochewa na dini yake ndio zimemtuma. Ni dini ya uislamu iliyo ndani yake ndio imemtuma, lakini sio waislamu wengine.
Mfano mtu anayekula watu kwa kutofuata Imani za Kiislamu maana yake ndani yake kuna dini ya uislamu inayomwambia kuwa mtu yoyote ambaye si muislamu anastahili kufa, kwamba Mungu alikosea kuwaleta duniani. Hii Imani ya Kiislamu iliyo ndani yake ndio imemtuma akafanye hivyo, lakini haina maana kwamba Waislamu dunia nzima wanafanya hivyo
Tatizo haka kajamaa kana confidence na upumbavu,ndio maana hakaoni kua kamesha geuka kua kituko hapa kwa kuandika nonsense.Wewe ni mpuuzi kama wapuuzi wengine,sio mtu sahihi kwangu kwa majadiliano
Asante