The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Ona hili ***** limevamia uzi bila hata kujua uzi unaongelea nini,wewe ***** huko Canada KAFIRI mwenzako ndio ameua watu,Canada nayo imezidi mno kukaribisha wageni, hasa kobazi. Kobazi hawana hekima, busara na akili. Muda wowote na popote kobazi anaweza kukiwasha bila kujali wenzake, ile dini ni ya vichaa kindakindaki
Wenye hekima hawa hapa,wameruhusiwa siku hizi mpaka mna hiji nao Vatican.Canada nayo imezidi mno kukaribisha wageni, hasa kobazi. Kobazi hawana hekima, busara na akili. Muda wowote na popote kobazi anaweza kukiwasha bila kujali wenzake, ile dini ni ya vichaa kindakindaki
Sijui ni kwamba hili swala ni gumu kueleweka au wewe ndio mwenye kichwa kugumu kuelewa.Jibu swali nililokuuliza.
Haya matapishi uliyo yaandika hapa wala hayana maana yeyote ile zaidi ya kuonyesha kua na wewe ni miongoni mwa watu ambao wamekua brainwashed na westeners kwa kuaminishwa kua ugaidi hufanywa na watu wa imani fulani tu,Sijui ni kwamba hili swala ni gumu kueleweka au wewe ndio mwenye kichwa kugumu kuelewa.
Katika Ukristo hakuna maandiko(hata yanayobishaniwa kati ya madhebu tofauti) yanayoelekeza Wakristo kupambana kimwili au kufanya mauaji ya aina yoyote kwa sababu zozote zile, katika Uislamu maandiko ya aina hiyo yapo mengi na ndio yanayoutumika na wenye msimamo mkali(extremists) na jihadists kufanya ugaidi au vita vya mrengo wa kidini.
Uislamu hauwezi kutengewa na siasa, Ukristo unaweza kutengewa na siasa. Mfano katika vita vinavyoendelea Ukraine dhidi ya Urusi huwezi kukukuta Ukristo ukinasibishwa navyo kwa sababu japo jamii zote mbili ni za Kikristo lakini bado hazipati msukumo wake kitokaka katika dini ya Kikristo, kwa upande mwingine vita inayoendelea Somalia, Yemen , Burkina Faso na Nigeria makundi yanyopigana au kuishambulia kwa sehemu kubwa ni kutokana msukumo dini ya Uislamu na wanakiri kabisa wazi wenyewe, mengine majina yao kabisa yanasadifu dini.
Tukija kwenye mass shootings za Marekani, Ulaya na Canada wafyatuaji risasi hawasukumwi na dini ya Ukristo, hakuna aliyewahi kukiri hivyo kwa hiyo inakuwa ni desperation na kituko kutaka kulazimishia kuwaita hao magaidi wa Kikristo.
Wote ndio hao hao....wajukuu wa yesuMods washabadili heading
Wapuuzi hao achananao mkuu!Haya matapishi uliyo yaandika hapa wana hayana maana yeyote ile zaidi ya kuonyesha kua na wewe ni miongoni mwa watu ambao wamekua brainwashed na westeners kwa kuaminishwa kua ugaidi hufanywa na watu wa imani fulani tu,
Ulivyo mpumbavu,mpaka unasema kua eti mpaka majina yao ni ya kidini,ulitaka watumie majina ya ukoo wako?
Unaweza kuleta andiko hapa kwenye uislamu umeruhusu kuua mtu asiyekua na hatia?
Natanyahu ameua wanawake na watoto na kuvunja misikiti na makanisa kule Gaza ila wapumbavu kama wewe hamuwezi kuita huo ni ugaidi,
Ni nani alikuaminisha kua tafsiri ya ugaidi ni kuua kisa udini? Hivi mbona mnakua na upumbavu uliopitiliza? Au hua mnajitoa ufahamu kwa makusudi?
Hadi leo bado sijafanikiwa kuelewa huyu mtu aliyetajwa hapa ni wa jinsia ganipamoja na kaka yake wa kike wa miaka 11 (mwana wa mkwe wa mshukiwa)