TAKUKURU, Bila Kuchunguza hii Rushwa ya Bunge, bora ivunjwe

Hivi zile tuhuma za Mbowe kupokea Bilioni 10 kutoka kwa Lowasa ili aruhusiwe kugombea Urais uchunguzi ulishafanyika?
Hapo ndipo sioni mana ya Takukuru tuhuma za bil.12 za Mbowe wako kimya na hizi watakaa kimya! Si bora ifutwe,
 
Takukuru huwa wanafuatilia tuhuma zenye ushahidi.Mbowe alitakiwa apeleke hizo tuhuma na ushahidi wote TAKUKURU sio kubwabwaja tu bungeni maneno matupu yasiyo na ushahidi wowote kama maneno ya mlevi kwenye kilabu cha mbege.
Utendaji kazi wa vyombo primitive ndio unaohitaji ushahidi kwa anayetoa tuhuma. Ushahidi unatafutwa na vyombo competent vya kukusanya ushahidi kwa wenzetu. Wao wenzetu unapeleka tuhuma wao wanafanyia kazi tuhuma kwa utaalam advanced.
 
Takukuru hawana meno si unakumbuka wale wabunge watatu wala rushwa waliachiwa kabla ya hata kesi haijaanza na yule wa bahi
 
HAKUNA HONGO ILA KIONGOZI WANGU ALIKUWA ANATAFUTA KIKI...SIUNAJUA TUNATAFUTA JINSI YA KUIANGUSHA SERIKALI YA MH MAGUFURI..KWANI BILA KUMTETEMESHA ATATUKAMUA SANA KIASI KWAMBA HATA SAFARI ZA BUNGE HATUTAPATA TENA
 
SIDHANI KAMA KUNARUSHWA..RUSHWA GANI UNAWEZA KUSAIGNI ILI UPOKEE RUSHWA. UNAMUFAHAMU MAGUFURI?? MILLION KUMI KWA KILA MBUNGE NI SH NGAPI? SIO MCHEZO..MBOWE AWE MAKINI ASIJE AKAANGAMIZWA KWA KUDANGANYWA
 
hizi hela si wangewapelekea walioathirika na tetemeko kagera ambao sasa wamepata janga la njaa,na bado wanalala nje wakipigwa mvua
 
Hivi zile tuhuma za Mbowe kupokea Bilioni 10 kutoka kwa Lowasa ili aruhusiwe kugombea Urais uchunguzi ulishafanyika?
Mkuu hoja hapo ni wabunge wa ccm kuhongwa milion 10
Ukitaka hilo la mbowe fungua Uzi wako unaoelezea ishu hiyo.
[HASHTAG]#WABUNGE[/HASHTAG] WA CCM WAHONGWA MILIONI 10#
 
SIDHANI KAMA KUNARUSHWA..RUSHWA GANI UNAWEZA KUSAIGNI ILI UPOKEE RUSHWA. UNAMUFAHAMU MAGUFURI?? MILLION KUMI KWA KILA MBUNGE NI SH NGAPI? SIO MCHEZO..MBOWE AWE MAKINI ASIJE AKAANGAMIZWA KWA KUDANGANYWA
Hayo Mambo ya wakubwa wewe huwezi jua

Buti kubwa havai Mtoto.
 
Takukuru huwa wanafuatilia tuhuma zenye ushahidi.Mbowe alitakiwa apeleke hizo tuhuma na ushahidi wote TAKUKURU sio kubwabwaja tu bungeni maneno matupu yasiyo na ushahidi wowote kama maneno ya mlevi kwenye kilabu cha mbege.
Samahani mkuu, wakati unaandika ulikua umekalia NINI!? KWani Takukuru si ndio kazi yao kutafuta ushahidi ili waupeleke mahakamani? Au
 
Naibu Spika wa Ikulu hataki mjadala wa rushwa bungeni kwakuwa anajua CCM bila rushwa na ufisadi haiwezekani.
 
Achana propaganda na siasa za kibunge hizo
Wewe kweli kwa akili ya kawaida tus
Kweli unaweza amini kuwa serikali
Inaweza kuhonga mil 10 kila mbunge
Kwa kupitisha muswada wa habari?
Swala si kuamini, ndo maana mleta Uzi unasema Takukuru wachunguze kupata ukweli. Jambo dogo kamahilo nalo linaonekana gumu?
 
mkuu, TAKUKURU waende kuchunguza bungeni kwa amri ya nani? thubutu!
 
SIDHANI KAMA KUNARUSHWA..RUSHWA GANI UNAWEZA KUSAIGNI ILI UPOKEE RUSHWA. UNAMUFAHAMU MAGUFURI?? MILLION KUMI KWA KILA MBUNGE NI SH NGAPI? SIO MCHEZO..MBOWE AWE MAKINI ASIJE AKAANGAMIZWA KWA KUDANGANYWA
Hata kama sio milioni 10 kama alivyosema Mbowe bali ni 5 bado ni rushwa tuu.
Na kuhusu huyo mkubwa uliyemtaja kama atakaa kimya basi atakuwa alibariki.
 
We ndio nani wa kuamuru bunge livunjwe kwa story za vijiweni za Mbowe! Ebo!
 
Rushwa yenye baraka za ccm , ambayo Mwenyekiti wake ndio mamlaka ya uteuzi wa mkurugenzi wa Takukuru haitachunguzwa kamwe .
 
Achana propaganda na siasa za kibunge hizo
Wewe kweli kwa akili ya kawaida tu
Kweli unaweza amini kuwa serikali
Inaweza kuhonga mil 10 kila mbunge
Kwa kupitisha muswada wa habari?
Kamanda wa kubadili gia angani ndo ameshawabia hivyo, hapo huwaambii kitu mpaka kamanda atengue!
 
Reactions: nao
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…