johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Unaijua sheria ya TAKUKURU lakini?Takukuru hizo siasa za kipuuzi zinawashushia heshima yao.
Unaijua sheria ya Takukuru lakini?
Kwani Tanzania kuna sheria?Unaijua sheria ya Takukuru lakini?
Takukuru yenyewe inawalakini ktk kuitafsiri sheria yake ktk kutekeleza majukumu yake...ni kama lugora kwa kisukuma[emoji52][emoji42]Unaijua sheria ya Takukuru lakini?
Wanao tu mama kieleweke kabla ya uchaguzi, ila Bajaj za Iringa bado zinafanyiwa utafiti kama zipo kweli.Mkurugenzi mkuu wa Takukuru amewajibu Chadema kwa kuwataka wakasome vizuri sheria ya kupambana na rushwa kabla ya kulalamika.
Mkurugenzi amesema taasisi yake inafanya kazi zake kwa mujibu wa sheria na anaamini Chadema wakisoma sheria hawatalalamika tena kwani watajua utaratibu wa uchunguzi ulivyo.
Kadhalika amesisitiza kuwa mwisho wa uchunguzi mmoja inaweza kuwa mwanzo wa uchunguzi mwingine kulingana na kile kinachochunguzwa na yale yaliyobainishwa katika uchunguzi wa kwanza.
Chanzo: ITV digital
Naona ccm mnajua sana sheria.Unaijua sheria ya TAKUKURU lakini?
Nayo eti wanataka kuichunguzaTakukuru acheni siasa za maji taka,mnaombaje mipango na mikakati ya chadema,Takukuru hovyooooo kabisa
Sent from my itel A11 using JamiiForums mobile app
Na kujenga Chato International Airport bila bajeti kupitia bungeniNaona ccm mnajua sana sheria.
Unaweza nunua ndege bila bajeti kupitia bungeni?
Katika hili sheria inasemaje?
Au nyie mnajua sheria ya takukuru tu?
ndio, sheria ya sasa ya hao TAKOKUU ni kupambana na upinzani!!!.Unaijua sheria ya TAKUKURU lakini?
Wao wanajua sheria ya takukuru tuNa kujenga Chato International Airport bila bajeti kupitia bungeni
Bwashee sheria ni msumeno!Wao wanajua sheria ya takukuru tu