Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena walitunukiwa hati chafuCCM zimepigwa pesa nyingi ni kwa nini Takukuru hawaendi huko?
TAKUKURU POLITICAL PARTY:
Nimecheka sana baada ya Takukuru kuiomba chadema nyaraka za vikao na mikakati yake,Sasa ni rasm Takukuru imekuwa tawi LA ccm nchi hii tunasafari sana kutafuta Uhuru wa kweli,Badala ikague upotevu was 1.5 trillion alizoibua CAG,Wanaomba mikakati ya chadema
Sent from my itel A11 using JamiiForums mobile app
Inasema msumeno ukate upande mmojaUmeisoma vizuri sheria ya Takukuru lakini?
Yeah inataka watu wenye makalio makubwa kama wewe mchangie kila madaUnaijua sheria ya TAKUKURU lakini?
Hii taasisi imegeuka kuwa jumuia muhimu sana ya CCM!Mkurugenzi mkuu wa Takukuru amewajibu Chadema kwa kuwataka wakasome vizuri sheria ya kupambana na rushwa kabla ya kulalamika.
Mkurugenzi amesema taasisi yake inafanya kazi zake kwa mujibu wa sheria na anaamini Chadema wakisoma sheria hawatalalamika tena kwani watajua utaratibu wa uchunguzi ulivyo.
Kadhalika amesisitiza kuwa mwisho wa uchunguzi mmoja inaweza kuwa mwanzo wa uchunguzi mwingine kulingana na kile kinachochunguzwa na yale yaliyobainishwa katika uchunguzi wa kwanza.
Hii Sheria ya Takukuru haitumiki kwa zile bilion 12 alipiga Ndungai akiwa India peke yake?Mkurugenzi mkuu wa Takukuru amewajibu Chadema kwa kuwataka wakasome vizuri sheria ya kupambana na rushwa kabla ya kulalamika.
Mkurugenzi amesema taasisi yake inafanya kazi zake kwa mujibu wa sheria na anaamini Chadema wakisoma sheria hawatalalamika tena kwani watajua utaratibu wa uchunguzi ulivyo.
Kadhalika amesisitiza kuwa mwisho wa uchunguzi mmoja inaweza kuwa mwanzo wa uchunguzi mwingine kulingana na kile kinachochunguzwa na yale yaliyobainishwa katika uchunguzi wa kwanza.
Takukuruccm wanatia Aibu mbinu zao za kufundushwa na CCM zipo waziTAKUKURU POLITICAL PARTY:
Nimecheka sana baada ya Takukuru kuiomba chadema nyaraka za vikao na mikakati yake,Sasa ni rasm Takukuru imekuwa tawi LA ccm nchi hii tunasafari sana kutafuta Uhuru wa kweli,Badala ikague upotevu was 1.5 trillion alizoibua CAG,Wanaomba mikakati ya chadema
Sent from my itel A11 using JamiiForums mobile app
Takukuru hawajui Sheria ya manunuzi? Zile Ndege wamewahi kwenda kuchunguza manunuzi yake?Wao wanajua sheria ya takukuru tu
Takukuru kwenye zile trilion 1.5 mpaka CAG kutolea kafara hawatumii hizo Sheria kule? au Sheria zao ni kwa ajili ya chadema tu?Takukuru acheni siasa za maji taka,mnaombaje mipango na mikakati ya chadema,Takukuru hovyooooo kabisa
Sent from my itel A11 using JamiiForums mobile app
Chadema ndiyo walikula trilion 1.5 kisha mkamtoa CAG kafara? Zile bilion 12 Ndungai kala na chadema? na zile bilion 251 zilipotea wizara ya ujenzi ni chadema walizipiga? Takukuru wamewahi kufika huko kote?Tatizo chadema wanapiga hela wakidhani wanaishi kwenye space .wakiulizwa break ya kwanza ni kwenye mic .nchi imebadirika hii si kila kitu siasa. Zingekuwa siasa kandambili na shuka zingekamatwa?
Hela zimepigwa huko kuliko na hati ya mashaka ya CAG . Je takukuru wamenusa pua huko ?!. HawaweziTatizo chadema wanapiga hela wakidhani wanaishi kwenye space .wakiulizwa break ya kwanza ni kwenye mic .nchi imebadirika hii si kila kitu siasa. Zingekuwa siasa kandambili na shuka zingekamatwa?